Search results

  1. S

    Mussa Al Bique: Baba wa Taifa la Msumbiji

    Comoro nayo ni Qamar (mwezi) juzu`u qamar. Portugal nayo ni burtuqaal (chungwa) ardhu burtqaal. Siberia nayo ni Sabriyah (subra) kunahitaji uvumilivu wa hali ya juu kuishi huko kutokana na baridi. Sofala ni Yusuf Alliy. kuna Hawaii, honolulu n.k Haters gonna love this...
  2. S

    CHADEMA ni chama cha bara kilichokataliwa ukanda wa Pwani na Zanzibar

    Wapwani bado ipo katika vichwa vyao kuwa CCM imetokana na TANU iliyoasisiwa na wazee wao hivyo "automatically" wao ni wana CCM na wanajivunia nayo. Yoyote yule anayetaka kuing`oa CCM Pwani basi hana budi kuziondoa fikra hizi vichwani mwa Wapwani kwanza.
  3. S

    Unabii wa Taifa Kubwa Israel waanza kutimia: Waisrael waanza kununua Nyumba Kaskazini mwa Iraq

    Najikita kwenye mada yenyewe. Mleta mada anaonyesha kuwa aidha haelewi au anajitoa ufahamu kwa makusudi kabisa kuwa Mturuki pia anaweza kuwa ni myahudi. Ana uhakika gani kuwa hao Waturuki, "Wayazidi" na hata hao wanaoitwa Wakristo si Mayahudi?i Pointi hapa ni kuwa article haijitoshelezi...
  4. S

    Unabii wa Taifa Kubwa Israel waanza kutimia: Waisrael waanza kununua Nyumba Kaskazini mwa Iraq

    Mwanzilishi wa huu uzi ameamua kujifariji tu. Wenzake Mayahudi wengine wana uhakika kabisa kuwa siku moja watakuja kung`olewa hivyo wanaamua kuhamia Palestine (Holy Land), ili siku hiyo ya kiama chao ikifika basi angalau iwafikie Holy Land! Wengine wameamua kukaa mbali kabisa na "maeneo ya...
  5. S

    Unabii wa Taifa Kubwa Israel waanza kutimia: Waisrael waanza kununua Nyumba Kaskazini mwa Iraq

    51 W 52 Street, NYCJune 17, 2010, 5-7 PM In recent months we have seen a dramatic increase in the desecration of graves throughout the Holy Land - the latest stage in the Zionist regime's long-term plan to uproot Torah tradition. On March 9, 2010 in Zippori, hometown of the redactor of the...
  6. S

    Maaskofu: Watuhumiwa wa Escrow washitakiwe

    Maaskofu wanamtaka Rais kutowaonea haya viongozi wasiokuwa waadilifu wanaokwenda kinyume cha maadili wakati huo huo Rais alishasema katika hotuba yake aliyoongea na wazee wa Dar kuwa hana la kuwafanya viongozi wa kidini! Tafsiri hapa ni rahisi: JK aliwapa nafasi washughulikiane wenyewe kwa...
  7. S

    Unabii wa Taifa Kubwa Israel waanza kutimia: Waisrael waanza kununua Nyumba Kaskazini mwa Iraq

    http://nkusa.org/activities/Demonstrations/2014/20140811boston/big/DSC02930.jpg
  8. S

    Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

    Mh! Waafrika nao walimiliki watumwa ndani na nje ya Afrika! Kule Marekani ripoti zinatoka sasa kuwa Waafrika nao walikuwa wakimiliki watumwa ndani ya Marekani hadi karne ya 16 ilipopitishwa sheria kuwa weusi wote popote pale walipo wanakuwa watumwa. ...nani atamshitaki nani? hata suala la...
  9. S

    Jussa na Muungano

    Kivipi? hebu nifafanulie.
  10. S

    Yahusu serikali tatu

    Kwenye "ground" hakuna vitu kama hivyo, hivyo vinabakia huko huko kwenye vitabu badala yake muungano wowote ule katika nadharia unatakiwa uwe wa ki-justice! Anayestahiki kutoa 10 atoe kumi, anayestahiki kutoa 100 atoe mia na kwenye kupokea ndiyo iwe hivyo hivyo, halafu hii justice inafuatana na...
  11. S

    Hivi hijab ni vazi rasmi bbc swahili?

    Wakristo wanaona na kuingia kanisani na suti, wanazikana na suti, wabunifu na wavaaji suti ni Wakristo.. Hili vazi la suti nalo lipigwe marufuku maofisini kwa vile ni vazi la kidini..
  12. S

    KASHFA: Serikali yawanyang'anya wamasai ardhi na kuwapa DUBAI ROYAL FAMILY

    Una maana hao Waarabu walitoka kwao Arabuni na kuja Tanzania kuilazimisha serikali kwa kutumia silaha ili wauziwe helo eneo? Tusizunguke mbuyu, wa kushikana naye mashati ni serikali yako mwenyewe kabla ya kumlaumu yoyote yule awe Muarabu,Mzungu,Myahudi ...
  13. S

    KASHFA: Serikali yawanyang'anya wamasai ardhi na kuwapa DUBAI ROYAL FAMILY

    Ah mimi nilifikiri amezichukua kinguvu kumbe amezinunua! Kosa lake ni nini?
  14. S

    Jussa na Muungano

    Kwani kuna ubaya gani ukivunjwa? Hebu leo hii ni-convince ubaya wa kuvunjwa muungano kwa Tanganyika ni upi na Zanzibar ni upi. feel free.
  15. S

    Vitendo vya ubakaji, kulawiti watoto vyaongezeka Zanzibar

    Pumba bin mchele! Wanaposema vimeongezeka kutoka 2012 mpaka 2014 ina maana kuna tofauti ya zaidi ya miaka miwili ndani yake! Hivyo walipaswa kueleza pia ongezeko la idadi ya watu Zanzibar kutoka 2012 mpaka 2014 ni kiasi gani ili tupate "per ratio" Hii ni ya kutupwa kwenye takataka.
  16. S

    Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

    Povu la nini? Unachoambiwa ni uchunguzi na ndio utakaokuja na jibu kama ubalozi nao unajihusisha na uhujumu wa nchi au vipi.
  17. S

    Baba askofu Kilaini akiri kupokea milioni 80.5

    Naelewa ugumu wa kuuchunguza ubalozi/balozi lakini mataifa wahisani hasa yaliyozuia misaada yanaweza kushirikishwa ili kufanikisha uchunguzi wa ubalozi wa Vatican kuhusiana na "pesa za ESCROW". Kuna pa kuanzia; Askofu Kilaini aliyeshiriki wizi ni kiongozi wa kanisa Katoliki, Mkombozi Bank...
  18. S

    Rais Kikwete amteua Profesa Asad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja. Aidha, Rais Kikwete amefanya uteuzi na uhamisho wa Makatibu Tawala wa Mikoa. Taarifa iliyotolewa mjini Dodoma jioni ya...
Back
Top Bottom