Search results

  1. Nelson nely

    Mwenye Picha Inayoonesha Muundo Wa Ulinzi Alionao Mwanamfalme Mohammed Bin Salman

    Naomba Anisaidie Kuweka Hapa,ama Ani PM Mfumo Wa Ulinzi Wake Ulivyo.
  2. Nelson nely

    Asante Mungu nimegundua VIRUS

    Habari zenu, . Mwaka 2001,niliamua kuwa karibu na kompyuta.Katika mambo mengi,nilikutana na neno Virus,Nilitaka kufahamu inasababishwa na nini?halafu nikafanikiwa kufahamu namna ya kukabiliana na virus iwe kwenye kompyuta ama device nyengine yeyote.Swali likaja,virus inatokanaje?nikajikita...
  3. Nelson nely

    Enyi waganga wa kienyeji...

    NATAKA UTAJIRI.... ... ... Maisha yamekuwa balaa. Naombeni mnipe masharti.
  4. Nelson nely

    Wako wapi hawa malegend?

    Niseme wazi mimi ni mpenzi wa kusikiliza TBC taifa radio,hasa vipindi vyao vya Pwagu na pwaguzi(kinarushwa kila siku ya j3 hadi ijumaa saa 11:45 jioni) na kile cha TUNZA IKUTUNZE(Kinarushwa kila jpili saa 3:30 usiku)sisikilizi zaidi ya hivyo vipindi.Ni michezo ya radio ya kuigiza.Kwenye mchezo...
  5. Nelson nely

    Manguli wa ndoto hii imekaaje?

    Wakuu salaam.. . Hivi inawezekanaje mtu kuota ndoto ndefu ndani ya muda mfupi sana?hii inanitokea sana,kwa mfano leo mida ya saa 5 asubuhi wakati nasikiliza taarifa ya habari bbc,nikasinzia.Ile taarifa ya habari huwa inachukua kama dk 5 hivi,basi nikaanza kuota niko kijijini,tunatoka mimi na...
  6. Nelson nely

    Hivi kwanini mvua isinyeshe kuelekea juu..Badala yake inanyesha kushuka chini?

    Kwa sababu ninavyofahamu kwa elimu ya shule ya msingi,Mawingu pale yalipo ni mvuke ulioganda,ambao ukijisikia unatoa mvua,tunalima na tunavuna.Sasa je,kwanini mvua ikitaka kunyesha hainyeshi kwenda juu na badala yake inanyesha kuja chini?
  7. Nelson nely

    Hivi yale mapepo yakishatimuliwa na watumishi wa Mungu huwa yanakwenda wapi?

    Huwa yana kwao?kama ndivyo iweje yaje yajazane kwa binadamu hadi kufikia hatua ya kuaibishwa na kudhalilishwa kwa kutimuliwa na watu wa Mungu?je yakishamtoka mtu huwa yanaenda wapi?ama ni kweli kwamba huwa yanajificha kwenye kona za nyumba za ibada na kuwavagaa wengine?na kwanini watu wa Mungu...
  8. Nelson nely

    Heri yenu walimu wa dar mnaletewa masofa,wenzenu huku wanakalia vigoda na kazi wanapiga!

    Mungu awape nini tena?fungeni na kuomba yalipiwe kodi,maisha magumu sana.Nasema tena hongereni maana huku wenzenu hali tete!fungeni na kuomba vinginevyo yananunuliwa na team B.
  9. Nelson nely

    Ni kipi hasa kinachokufanya uwe na wivu kwa mkeo?

    1:Papuchi? 2:Gharama ulizotumia/unazotumia kwake? 3:Uchoyo tu? . Wanaume mliooa kaeni mkijua hao wake zenu walikuwa wakipendwa na wengi,ila viherehere vyenu na ubinafsi ndo ukawafanya muwafungie ndani.Sikatai,ni kweli tunatofautiana elimu,kipato,muonekano nk lakini hilo halibadili ukweli kwamba...
  10. Nelson nely

    Vijana wa Dar es Salaam acheni kutumia bangi

    Inasikitisha sana.Vijana wadogo umri ambao inatakiwa wawe shule kidato cha kwanza au cha pili wapo kitaa wanakula bangi!kibaya zaidi baadhi yao hadi wazazi wao wanafahamu fika kuwa wanavuta bangi.Kwa mfano hapa mtaani kapo kadogo kanaitwa adam.Kamezaliwa 2002.Kamesuka rasta.Ni ka ras!Baba yake...
  11. Nelson nely

    Au nimerogwa?

    Toka wiki mbili zilizopita hadi leo ninapoandika hapa...kila nikiona tu wowowo la mwanamke dushe linasimama!!hali hii imekuwa ikininyima amani sana hasa niwapo kwenye gari,mtaani ama kazini maana huwa likiamka ni vigumu sana kurudisha majeshi nyuma kwa haraka.Nimekuwa nikijitahidi kutofikiria...
  12. Nelson nely

    Msaada wa matibabu wa elfu 20 kwa atakayeguswa

    Habari za asubuhi,wakuu nilipata ajali wiki iliyopita baada ya kujichimba na sururu mguuni wakati nachimbua visiki nikiwa kwenye maandalizi ya kuchoma mkaa huku porini,sikupata matibabu yoyote maana sikuwa na pesa japo maumivu niliyoyapata hayaelezeki,mguu ulionesha matumaini kidogo ndani ya...
  13. Nelson nely

    MSAADA WA MATIBABU ELFU 20

    Habari za asubuhi,wakuu wiki iliyopita jumanne huku porini nikiwa nachimbua visiki kwa ajili ya maandalizi ya kuchoma mkaa kwa bahati mbaya sururu iliteleza na kukita kwa juu kidogo ya vidole vya mguu wa kulia,maumivu niliyoyapata siwezi kuelezea,sikutumia dawa yoyote zaidi ya panadol maana...
  14. Nelson nely

    Nimemtukana mganga wa kienyeji

    Huyu mzee mara ya kwanza tulikutana hapa mtaani nikiwa bado mgeni na bahasha yangu ya khaki mkononi.Ilikuwa mahala fulani napata kahawa hapa tegeta.Akanichangamkia sana halafu akaninunulia kahawa ya kutosha then akaniita pembeni akaniambia kuwa yeye ni mganga na jini wake amemuotesha leo aje...
  15. Nelson nely

    Kwa tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa

    Siwezi kusahau japo sitaki kukumbuka.Ilikuwa mwaka 2012 tar 28 february,usiku,dodoma.Nimepata demu tumekubaliana tukaondoka KWAKE.Hii ya kukubali kwenda kwake ilinigharimu,kumbe yule dada alikuwa na mumewe ila walikuwa wamdtofautiana kwa muda tuu.Nikienea nae na nikagegeda kimoja,ghafla mlango...
  16. Nelson nely

    Msaada haka kaswali

    Humu tunaitana mkuu bila kujuana jinsia(kama member wamezuia profile zao kwa baadhi ya watu{halafu kwanini watu mnalimit watu wa kuona profile zenu?hata gender tu?}),umri au vyeo.Sasa ikitokea members humu wamependana wakakubaliana kuishi kama mke na mume(kama members fulani maarufu humu),je...
  17. Nelson nely

    Jukwaa la utambulisho

    Salaam Kwa utafiti nilioufanya leo asubuhi,inaonesha jukwaa la utambulisho/intro forum,watu jinsia ya kike wanapata mapokezi makubwa na ya kipekee kuliko watu wa jinsia kama yangu. Tuache ubaguzi. Asanteni.
  18. Nelson nely

    Mbalamwezi na nadharia zake

    Mbalamwezi ikiwa kwenye umbo lake kamili huwa kuna vivuli fulani vinaonekana pale,hivi vivuli vinazungumziwa kwa namna mbalimbali kulingana na mawazo na mazingira tofauti,mfano: Dodoma Nikiwa mdogo kijijini kwetu kongwa huko,niliambiwa vile vivuli ni mwanaume na mkewe wakikata kuni porini...
  19. Nelson nely

    Wakristo wenzangu, kwanini tusiombe na sisi tuoe wake wanne?

    Salaam wapendwa, Roho inaniuma sana ninaposhuhudia ndugu zetu wa upande wa pili wakiwa huru kuoa hadi wake wanne, kwa mambo ninayoyapitia nadhani ni haki yangu roho iniume.Kwa mfano hapa jirani leo baba Nasra anaongeza mke wa tatu na pilau linapikwa hapa, mbuzi wamechinjwa tuyaache hayo. Ombi...
  20. Nelson nely

    Wanawake wa Dar mnapenda sana hela

    Labda ndio maana wengi wenu hamuolewi.Yaani wengi wenu mkiona mwanaume anahesabu pesa vimacho vyenu vinakuwa juujuu kama mdoli!hatukatai wote tunapenda pesa ila nyie mmezidi hadi kero.....sijui mliona nini humo...hamtaolewa ng'o,jifunzeni kwa wenzenu wa mikoani.
Back
Top Bottom