Search results

  1. xfactor

    Yeye kajuaje kama Kamanda Sirro anajua?

    Umetujazia server mkuu, Kwani unahitaji akili nyingi kujua Kama anajua? Weka pembeni akili zako za Lumumba halafu msikilize vizuri kamanda Ndio utaelewa
  2. xfactor

    Nimuachaje D?

    Twende kazi kaka achana na uoga wa karma, pengine wewe ndio karma ya D kwa kumuacha boyfriend wake, inawezekana alimuacha bila sababu ili awe na wewe so ni mipango ya Mungu wewe kumuacha ili naye ajifunze. Kamata tu M huyo na wewe akija kukutenda sio ishu Ndio maisha yalivyo cha msingi ni...
  3. xfactor

    Nimuachaje D?

    Ndio shida ya kuomba ushauri kwa watu, binadamu tumeumbwa na moyo wa huruma. Naona karibu wote wamekushauri ubaki na D sababu ya huruma ambayo binadamu kaumbwa nayo bila kuangalia furaha yako Nikwambie kitu kimoja na pengine hata wengine pia wakitilie maanani, mambo yote tunayofanya katika...
  4. xfactor

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Hii comment ilitakiwa iwe Ndio uzi ili jamii ipate taarifa sahihi na sio huu upotoshaji unaofanywa na wanaojali matumbo. Mkuu pole sana kwa kupoteza ndugu. Umetoa ushuhuda ambao wengi Naona hawajatilia maanani. Hakuna lisilo na mwisho wapotishaji na wazembe wakati wao wa hukumu utafika tu
  5. xfactor

    Nani amewahi kuuza mitiki? Mwenye ufahamu wa hii biashara naomba kujuzwa

    https://www.ippmedia.com/sw/biashara/serikali-yakusanya-bil-14-mnada-wa-hadhara-wa-miti Watafute wakala wa mbegu za miti ofisi zao zipo morogoro njia ya kwenda Dodoma utaelewa
  6. xfactor

    Nafanya biashara lakini sijamwambia mume wangu, ushauri tafadhali

    Je unajua vipato vyote vya mume wako? Na unajua matumizi yake? Kuna wakati mke unaweza kusema kuwa mume wako ni mtumiaji mbaya wa pesa Kumbe si kweli Bali ni kwamba majukumu yake ya kuihudumia familia yenu ni mengi kuliko kipato chake. Mwanaume hawezi kukubali kuona kuna gap kwenye familia...
  7. xfactor

    Natamani kujenga ghorofa lakini najikatisha tamaa

    Gharama roughly za ujenzi, Ila usiogope Msingi - 25M Kuinua tofauli na nguzo - 20M Vibali vya ujenzi - 4M Slab - 25M Kuinua tofali za juu - 10M Kupau - 30M Finishing - 50M (Hii ni ya kawaida) Jumla piga mwenyewe. Msingi, slab na kupau lazima uwe na hela kamili NB: Hakuna kinacho...
  8. xfactor

    Tukutane hapa ambao hatuna mpango wa kuoa kwa Me au kuolewa kwa Ke

    Huwezi elewa umuhimu wa ndoa mpaka ukutane na mtu aliye lelewa bila mzazi mmoja. Jiulize wewe baba yako asingemuoa Mama yako na ukaishi na mzazi mmoja ingekuaje? Kuna mkuu nimesoma anajisifu kabisa kuwa analea kwa whatsap na anaona sifa. Ukiamua kutokuoa Au kuolewa basi pia usizae sababu...
  9. xfactor

    Serikali ikipeleka Trekta kila kijiji itapendeza

    Kitu cha kumilikiwa na watu wengi huwa ni shida sana kukisimamia. Trekta moja kijiji kizima sijui watajipangaje kumlimia kila mtu. Mafuta ataweka, service yake na matengenezo pia atagharamia nani? Suluhisho ni kuwawezesha wanakijiji kupata soko la uhakika Kama la korosho ili waweze kukopesheka...
  10. xfactor

    Biashara zangu zimegeuzwa kuwa za ukoo

    Haupo serious aisee, eti unasemaje? Kuwa huna cha kufanya dada yako kachukua hela kwenye biashara? Hivi una miaka mingapi?
  11. xfactor

    Tupeane dondoo za nchi mbalimbali tulizowahi kutembelea ikiwa ni Fursa na Changamoto

    Mt. Vernon Wenyeji Walikupeleka kwa Mbrazil ukale nyama choma ya kupima kwenye mizani?
  12. xfactor

    Series (Special thread)

    Hii ndio season sasa, nitumie email nikitumie torrents files uzi download
  13. xfactor

    Msaada : Vitunguu vyangu vinakufa

    Sasa mkuu umelima bila kuwa na mzoefu wa hicho kilimo? Yani unategemea kupata suluhisho jf sidhani Kama utapata kwa wakati. Uliza jirani zako huko ruaha wakulima si wengi!!
  14. xfactor

    Fursa za kibiashara zipatikanazo Comoro

    Nadhani Changamoto itakuwa uwepo wa kontena zenye friji kuhakikisha nyama hairibiki Hili ni tatizo lkn ni fursa mkuu kwahiyo Kama unaweza kupata kontena za namna hiyo ukawapa hili wazo wanao safirisha ng'ombe na ukaanza kuwakodisha hizo kontena utakuwa umekuwa mjasiriamali original maana...
  15. xfactor

    Tupeane dondoo za nchi mbalimbali tulizowahi kutembelea ikiwa ni Fursa na Changamoto

    Namalizia UK - London Huu mji ni gharama mnoo, yani pound 100 sawa Kama Tsh 300,000 inaisha kirahisi mnoo. Nilikuwa naishi kwenye chumba kimoja kwenye nyumba yenye vyumba vinne tuna share sebule, jiko na choo kodi ilikuwa pound 350 ambayo ni kama Tsh 1M, chumba cha bei ya chini kabisa ni...
  16. xfactor

    Tupeane dondoo za nchi mbalimbali tulizowahi kutembelea ikiwa ni Fursa na Changamoto

    Sijabahatika mkuu Ila natamani sana kutembelea Brazil, Cuba na Colombia inshallah Mungu akijalia nitafika
  17. xfactor

    Shule za Sekondari za Waja zakumbwa na skendo kubwa

    Haya majungu ya kibiashara, mkuu mchawi ni kuwalipa wazuri walimu wako tu lkn kutaka kuiangusha shule ya mweizio ili yako ipande haifai
  18. xfactor

    Tupeane dondoo za nchi mbalimbali tulizowahi kutembelea ikiwa ni Fursa na Changamoto

    Kwanza nianze kwa kusema go east go west home is the best. Bongo pazuri na patamu sababu ya ujamaa wetu, umoja na upendo Nyerere ashukuriwe. Mungu kaniwezesha kutembea nchi hizi zikiwa kwenye mpangilio ya kwanza mpaka ya mwisho, nitaweka na interesting facts ninazo kumbuka 1. Botswana - 2008...
  19. xfactor

    Masikio ya Kenge.. based on true story

    Hivi vitabu napata wapi mkuu?
Back
Top Bottom