Search results

  1. S

    Jana nimekatwa shilingi 1500 nikinunua umeme baada ya shilingi 1ooo hii 500 imeongezeka lini?

    Tangu zoezi lianze miaka michache iliyopita nimekuwa nikikatwa elfu moja,lakini jana ikakusanywa 1500 bila maelezo hiyo 500 imeongezekaje. Sijajua kwenu wakuu imekuaje pia kama mmekutana na ongezeko hilo.Mamlaka husika imeshawahi ongelea ongezeko hilo na hiyo tsh 500 inaenda kumfanyia nini...
  2. S

    My dream in Malawi, ndoto inayoweza kuwa movie bora kutoka Afrika 2024

    Wakuu niko usingizini najikuta mimi na wanajeshi wenzangu (japo mimi sio mwanajeshi) tumetumwa nchini Malawi kupeleleza mienendo ya kikundi cha uasi kinachoweza kuzusha vita katika nchi hiyo. Tukiwa katika kijiji kimoja ambacho kinakaliwa na waasi inatokea majeshi ya nchi hiyo wanashambulia...
  3. S

    Mastaa wa Bongo wanaisaidiaje jamii? Ubinadamu wa Mane na Ronaldo wanaoufanya sijawahi sikia huku kwa mastaa wetu

    Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya. Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
  4. S

    TANESCO mnafeli hasa huku mikoani, ufunguzi wa AFCON na mechi ya mapema Simba mmeshaukata umeme

    Mnashindwaje kuyachukulia uzito matukio makubwa mawili kama haya? Rais wetu Ndugu mueshimiwa mwinyi ametumia kukarabati uwanja wa Amani kwa usd kadhaa na tukio kubwa la Tanzania liko zenji mmetukatia sisi wa mikoani umeme tusokuwa na majereta tusione, mnauangusha uchumi wa blue ndugu zangu...
  5. S

    Je, ni dhambi kumuahidi mtu anayekunyanyasa kuwa wakati mwengine akikutana na wewe utakuwa mkubwa kuliko yeye akumbuke hilo

    Wakuu nimeianza 2024 nikiwa wa moto sana kwasababu ya kujua hatima yangu itapofika 2024 sitakiwi kuwa na ndoa na jamaa wa 2023 alokuwa akinitumikisha, kwani 2023 alishadiriki kuivunja ndoa yetu na akaomba hiyo 2023 kabla haujaisha mwaka turudiane, kweli tukarudiana mi nikiwa na akili mbili mbili...
  6. S

    Merry christmass TAnesco & Happy new year

    Ninakupenda sana na kukuhitaji kila wakati,ingawa wewe unihitaji kihivyo,ninakulipa kwa wakati kukuonyesha mimi ninakujari sana sijari kama utanilipa kwa wakati,mwaka mzima ninavumulia mateso yako unajua sina ujanja wa kuachana na wewe,ueleweki mchana uuleweki usiku penzi lako aliniweki kwenye...
  7. S

    UONEVU: Tanesco Arusha pitieni upya migawo yenu

    Habari wakuu humu ndani. Tangu asubuhi wamekata huduma yao mitaa ya nane nane, jioni wakurudisha dakika 5 wamepita nao hadi muda huu lakini mitaa mingine umeme bado wanao. Ni utaratibu upi unatumika kwenye migawo au hadi na sisi tumsubili Mwenezi akizuru Arusha tumpe kero zetu kuu?
  8. S

    Nyerere day imepita na mambo mengi bado hayako sawa

    Nimeona ukimya wa kitaifa kuhusiana na migogoro ya kimataifa,nimeona tumeshindwa kutumia walau fursa hiyo kuwaenzi Aman karume na jk kuwaonya majirani zetu wa karibu kupatana sisi kama moja ya wakubwa wa east africa,hamna tumaini jipya juu ya migao ya umeme,hamna kauli yoyote juu ya upandaji wa...
  9. S

    Kazi yoyote ndani ya Arusha ya halali niko tayari kufanya

    Habari wakuu, mimi ni mwanaume ninayehitaji msaada wenu, mambo yamekwama na hayaendi kabisa. Nimejaribu kupita huko na huko lakini bado sijafanikiwa, mdau yoyote atayeweza nisaidia nipate mahali pa kufanya kazi nitashukuru sana. Nina uzoefu na mambo ya migawaha ya kimataifa, pia naweza...
  10. S

    Usalama wa wasafiri Arusha siku ya leo, Julai 3, 2023

    Ninaanza kwa masikitiko makubwa sana sina muda wa salamu. Kila Mtanzania anajua kinachoendelea Arusha leo sitaki kuelezea hilo, ila nitaenda moja kwa moja kwenye mada, mnisamehe kwa uandishi mmbovu. Leo hii jiji kubwa la Arusha liko kwenye kadhia kubwa ya usafiri wa umma kutokana na mgomo wa...
  11. S

    Je, hii ni kweli au uzushi kuhusiana na bei za vocha za simu kupanda bei?

    Wakuu niko huku a town lakini kuna habari zinaendelea kuenea kuwa utapoenda dukani kununua vocha ya buku itakulazimu utoe buku na Mia au vinginevyo ununue kupitia huduma za simu au kama ni vocha ya tsh 2000 itabidi ulipie 2200,imekuwa wiki nzima nikisikia habari hii na kuna jamaa...
  12. S

    Msaada wa namba za mauzo watu wa Heineken Arusha

    Wakuu kama mtanisaidia ntashukuru sana.
  13. S

    Umeme na maji vitaendelea kupatikana kila siku baada ya Rais kuondoka Arusha?

    Tunajiuliza sana je, umeme huu tuliyoushudia ukiwaka full time tutaendelea kuwa nao? Au ndiyo ataondoka nao? Tunamshukuru sana kwa kuwa hapa, maana kwetu tunatamani angeendelea kubaki kwani hata maji yapo ya kutosha. Je, akioondoka itakuwaje? Hatuna mengi sisi tunasubiri yajayo!
  14. S

    Baada ya haya nani anastahili kuwajibishwa

    Ninaandika kwa mwandiko wa machozi mengi baada ya kushuhudia kilichotokea Bukoba ziwani namna tulivyoshughulika kuokoa watanzania wenzetu na hata wengine kupelekea kupoteza maisha Sitaki kujikita sana huko maana tuko siku nyengine mpya. Je hii inchi yetu. Imekosa kweli vifaa vya uokaji? Mpaka...
  15. S

    Vifo barabara ya kijenge, nakuomba mkuu wa Mkoa ingilia kati

    Naandika kwa majonzi sana hawa ndugu zetu wa huku Arusha nao wamebahatika kuwekeawa lami mwaka huu japo ni nusu mradi kamili wa kuifikisha lami inapotakiwa kuishia bado aujakamilika. Lami hii sasa imekuwa ikileta huzuni baada ya furaha kwani waendesha bodaboda wa huu mtaa wameigeuza rami hii...
  16. S

    Jinsi tunavyopigwa watanzania pitia hapa. Fumba town buyer’s from all over the world have already invested

    Sina mengi mi maana hata karani tangu tuanze zoezi la kuhesabiwa hadi Leo karani wa sensa hajafika kwangu sina neno na hilo maana siku zimebaki kidogo labda watafika maana huu si uchaguzi matokeo ya watanzania tuko wangapi ni swala dogo sana kuliko speed ya uhesabuji wa kura kumuhalalisha...
  17. S

    Msaada: Inawezekanaje TANESCO kuweka nguzo kwenye eneo la mtu bila mwenye eneo kushirikishwa?

    Wakuu kwanza poleni na majukumu,ninaomba kujuzwa kitendo kilichofanywa na tanesco magomeni kama Kiko sahihi au si sahihi. Kuna mtu walikuwa wakimuunganishia umeme lakini bila kujari au kumshirikisha mwenye eneo kama mahali waliposimika nguzo ni sahihi au laah wao wakachomeka nguzo ambayo...
  18. S

    Ikitokea TANESCO wameunguza vitu kwa mchezo wa kukata na kurudisha naenda kulalamika wapi?

    Tulishasahau kero za tanesco jpm alitusaulisha huko aliko mwanga wa milele amwangazie Bwana.naomba wajuzi wa Mambo kama TANESCO Wana uwezo wakulipa vitu vinavyoharibika kutokana na kukata kwao dakika moja na kuurudisha dakika ya pili,Tangu Jana mchezo wao ulikuwa huo jioni ukatulia. Leo ni Mara...
  19. S

    Ibada ya kuaga mwili wa TB. Joshua inaendelea muda huu

    Ibada inaendelea mda huu wageni toka sehemu mbalimbali duniani wamehudhuria, kwa hapa Tanzania inaonyeshwa kupitia wrm TV ya Chief suguye ambayo inapatikana kwenye kisambuzi cha startimes, tuendelea kufatilia ibada hii ya kusherekea maisha yake.
  20. S

    Mbunge wa Kinondoni, lini tunaanza kuona miradi ya ujenzi wa barabara za mitaani Kigogo?

    Mara ya mwisho kukuona ilikuwa kwenye kampeni, sababu kubwa ya uzi huu ni kutaka kujua sisi wakazi wa Kigogo lini tutaanza kuona miradi ya barabara za mitaani maana mitaa mingi jijini Dar ujenzi wa barabara za mitaani zinaendelea tena huku zikinakishiwa na mataa pembezoni, wote tumo ndani ya...
Back
Top Bottom