Search results

  1. ze kokuyo

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Israel wamesubiri birthday ya Ayatollah ifike ndo washambulie 😂😂😂
  2. ze kokuyo

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Hii vita ikitokea Lita moja tutanunua 10,000.
  3. ze kokuyo

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Jamaa kapiga sehemu tatu kwa mpigo Iran, Iraq na Syria.
  4. ze kokuyo

    Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    Shekhe mbona jazba?! Wapi nimetaja Fattah?! Tatizo lako hujui Ila mbishi, kuna tofauti Kati ya Hypersonic missile Hypersonic ballistic missile Hypersonic rocket *Hypersonic missile inakimbia 5x kasi ya sauti huku ikifanya maneuver kuevade missile defense. *Hypersonic ballistic missile hizi...
  5. ze kokuyo

    Wanajeshi 18 wa Israel wauliwa na Hezbollah leo

    Unamuongopea nani shekhe, au siku hizi kujeruhiwa ndo kufa!!!! Hezbollah launches missiles and drones at northern Israel At least 14 Israeli soldiers are wounded in an attack launched from Lebanon as regional tensions escalate...
  6. ze kokuyo

    Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    Ndo maana nakwambia unabwabwaja bila kua na taarifa kamili. Haya bishana na Iran state media bhas Kheibar Shekan ballistic missile is one of Iran's most modern ballistic missiles. It is an Iranian solid-fuel ballistic missile unveiled by the Islamic Revolution Guards Corps Aerospace Force in...
  7. ze kokuyo

    Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    Unabwabwaja sana wakati huna uthibisho. Iran wenyewe kupitia chaneli yao ya Taifa walithibisha kutumia halafu ww mbongo toka Tandale kwa tumbo unabisha, Kheibar sio Mara kwa kwanza kutumika lilitumika mapema mwaka huu Syria na Iraq kama kisasi baada ya Iran kushambuliwa na IS. Iran's state news...
  8. ze kokuyo

    Iran kupitia Waziri wake wa Nje Hossein Amirabdollahian kisasi cha kupiga Israel hakitarudiwa tena na Iran labda ichokozwe

    Weka hapa hayo makubaliano sio kuleta story za kahawa!!! 2020 wakati Iran anarusha ballistic missile Iraq, Iran ilitoa taarifa kwa Marekani... US akahamisha assets zake pamoja na wanajeshi mapipa ya Iran yakaishia kulipua naadhi ya majengo na hakuna mwanajeshi aliyepoteza Marshall, kama yupo...
  9. ze kokuyo

    Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    Mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe. 😂😂😂 Makombora aliyotumia Iran yote ni mapya Lengo likiwa ku evade missile defense lakini zilishindwa. Iran walitumia Kheibar ballistic missile hii walilizindua mwaka juzi 2022. Hili ni Hypersonic ballistic missile linakimbia mara 16 zaidi ya kasi ya sauti...
  10. ze kokuyo

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Ndo yaleyale ya Russia kudai Kinzal na Zircon ni Hypersonic badala yake zikaja kushushwa na Patriot mfumo wa anga uliojizeekea tech ya zaidi ya miaka 30. Wakati huohuo S400 inashindwa kudaka Storm shadow za Muingereza mpaka inaenda kuteketeza makao makuu ya Black See Fleet.
  11. ze kokuyo

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Kobazi mbona jazba sana, shusha pumzi huu mchezo hauhitaji hasira. Mapipa yenu yaliyoshushwa haya hapa, mlikua mkiyasifu eti hayawezi kuzuilika kumbe hakuna kitu. Aiseee kombora kama Costa ya abiria halafu linaishia kujeruhi mcheza rede wa kiyahudi lazima Uwe jazba...
  12. ze kokuyo

    Iran kupitia Waziri wake wa Nje Hossein Amirabdollahian kisasi cha kupiga Israel hakitarudiwa tena na Iran labda ichokozwe

    Matusi ya nini Shekhe?! Bado hujasema.😂😂😂 Halafu kuna gaidi lenu lingine limekatwa kichwa Leo baada ya wale 7 yaliyolipuliwa pale ubalozini https://twitter.com/Osint613/status/1780223312863367566?t=OjrmPZUtkhsE4r4_YYF6bw&s=19
  13. ze kokuyo

    Iran kupitia Waziri wake wa Nje Hossein Amirabdollahian kisasi cha kupiga Israel hakitarudiwa tena na Iran labda ichokozwe

    Angalia unavyopuyanga😂. Umeona wapi Israel imeomba UK ipeleke hizo fighters middle East?! Wamepeleka kwa utashi wao na kwenye hicho ki taarifa chako wamekuelezea, ndo ujue kwamba ni utashi wao hawajaombwa na mtu kama michepuko ya Ayatollah wanavyofanya. Russia hizi Shaheed si ndo zinashushwa...
  14. ze kokuyo

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Iran has closed its nuclear facilities for a day over “security considerations” in wake of attack on Israel, says head of UN’s atomic watchdog.
  15. ze kokuyo

    Iran kupitia Waziri wake wa Nje Hossein Amirabdollahian kisasi cha kupiga Israel hakitarudiwa tena na Iran labda ichokozwe

    Europe wanataka air defense za Israel EUROPE: When can we get those Israeli air defenses? "When will we get one too? The best thing we know in the market": In Europe, eyes are gleaming, and interest in Israeli aviation systems is at its peak. Via @N12News Ujerumani ilishatoa order kununua...
  16. ze kokuyo

    Iran kupitia Waziri wake wa Nje Hossein Amirabdollahian kisasi cha kupiga Israel hakitarudiwa tena na Iran labda ichokozwe

    Mzee mbona unaongea kama umekatwa kichwa!!! Houthi na Hezbollah walirusha kwa utashi wao lakini US hakutungua kwa utashi wake😂. Israel aliwaomba Hao majamaa watungue hayo makombora?! Si walitungua kwa utashi wao, sasa hasira za nini?! Halafu nikukumbushe tu hata hayo 7 yaliyopenya mengi...
  17. ze kokuyo

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Kwahiyo wewe kwa akili yako ulidhani Israel ingekaa kizembe baada ya kulipua ule ubalozi na kuua majenerali 7?! Mbona unaongea kama umekatwa kichwa!!! Tangu Israel ashambulie ule ubalozi missile defense units zote zilikua kwenye high alert huku wakifatilia kwa karibu kila kinachoendelea Iran...
  18. ze kokuyo

    Iran kupitia Waziri wake wa Nje Hossein Amirabdollahian kisasi cha kupiga Israel hakitarudiwa tena na Iran labda ichokozwe

    Hasira za nini?! Mbona husemi Iran alitumia michepuko yake kina Hezbollah na Houthi kurusha makombora Israel. Imagine unarusha makombora na drones 350 halafu yanapenya 7 sasa hapo una makombora au mapipa. Halafu makombora mapya kabisa 😂😂😂 Makombora yaliyotumika Kheibar Shekan ballistic...
  19. ze kokuyo

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Tujifariji kwa lipi. Dunia nzima imeshuhudia jinsi mikombora ilivyokua ikishushwa kama nzige, tena yale makombora mliyokua mkiyasifu kila siku eti hayazuiliki. Israel iliua majenerali 7 wa ngazi za juu wa iran, je Iran imeua nani Israel?!
  20. ze kokuyo

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Nimesema wapi?! Usinilishe maneno... Weka ushahidi. https://twitter.com/visegrad24/status/1779561011617333358?t=qT7iVnVeSav5TYlDidFgyA&s=19
Back
Top Bottom