Search results

  1. kson m

    Chama cha Walimu kinazidi kuwakamua Wanachama wetu

    Cwt imeamua kupora fedha za wanachama ambazo kikawaida zinarudishwa tawini kutoka kwenye makato ya ada za wanachama. Huu ni mwendelezo wa ubabe na uporaji wa wazi.
  2. kson m

    Nini sababu Dar kuburuza mkia matokeo kidato cha nne 2016 ?

    Mkoa wa DSM umetoa shule sita za mwisho kwenye matokeo ya kidato cha nne-mitihani iliyofanyika 2016 na matokeo kutoka siku chache zilizopita.licha ya mkoa huu kuwa na makao makuu ya mamlaka zote za wadau wa elimu ,mkoa umedondokea pua.ni nini hasa kimechangia matokeo kuwa yalivyo?
  3. kson m

    Tume ya utumishi wa walimu ilishaundwa?

    Naomba kujua kama chombo hiki kilishaundwa baada ya ile Sheria ya kukianzisha kupitishwa na bunge June 2015. Pili kama kimeanzishwa kina majukumu gani hadi sasa. Natanguliza shukrani kwa mchango wako.
  4. kson m

    Tiba ya enlarged prostate

    Wadau naomba kujua hospitali inayowezakutibu hilo tatizo kwa bei nafuu.vipi kcmc, mawenzi? Je huduma za bure kwa wazee (zaidi ya miaka 60) zinapatikana kwenye hospitali hizo? natanguliza shukrani.
  5. kson m

    Settings ya internet ya halotel

    Tafadhali mwenye kujua namna ya kufanya settings ya internet ya halotel anipe maarifa kidogo. ahsante.
  6. kson m

    CCM wanatangaza ilani au hoja yao ni Lowassa

    Nimekuwa nafuatilia mikutano ya mheshimiwa Magufuli kwa muda sasa. Nilichogundua ni kwamba utitiri wa wapiga kampeni wake hawana hoja zaidi ya kuporomosha zile ngonjera za matusi kwa mh LOWASSA na Sumaye. Jipya nililoona ni kibwagizo cha kuvua miwani au kutokuvua. CCM ilichagua wehu au ndivyo...
  7. kson m

    Ugawaji wa pato la taifa

    Ugawaji wa keki ya taifa sio sawa.Mh naibu waziri wa fedha aliwahi kutamka kuwa mgawo wa fungu la mshahara katika budgeti ni kwamba, walimu ni 70% ya wafanyakazo wote serikalini na wanalipwa 30% ya fungu la mshahara.watumishi wengine wote ni 30% lakini wanalipwa 70% ya fungu la mshahara wa...
  8. kson m

    Nyumba ya kupngisha inahitajika Kisongo/Ngaramtoni ya chini

    Nyumba ya kupangisha yenye vyumba viwili/vitatu vya kulala na huduma muhimu kama maji na umeme.iwe inajitegemea.
  9. kson m

    DECI na mbegu zetu imeishia wapi, Serikali itujibu hatima ya pesa zetu

    Serikali iliwakamata na kuzuilia accounts za DECI na kusababisha maelfu ya waliowekeza kupoteza fedha zao. Je Serikali ndio imetupora au ni lini itarudisha fedha zetu?
  10. kson m

    Nyongeza ya mshahara ya mwaka

    Kwenye mikataba ya ajira suala la nyongeza ya mishahara kwa mwaka lipo wazi kabisa. Mtumishi anatakiwa kubadilika toka kiwango kimoja kwenda kingine kila mwaka. Mfano toka tgts c1 kwenda tgts c2 mwaka unaofuata. Siku hizi jambo hili halifanyiki na matokeo yake hakuna tofauti ya mshahara kati...
  11. kson m

    Msaada: Viwango vya Payee

    Wenye ufahamu naomba kujua viwango vya payee.Mimi ninakatwa zaidi ya 18%.hata hivyo tunaelezwa na wanasiasa kuwa imeshushwa hadi 11% ukweli ukoje?Nimecheki miaka yote haikuwahi kushuka. Kuna nini?
  12. kson m

    uhamisho wa watumishi bila malipo stahiki

    Serikali ilitoa utaratibu au maelekezo kwa maofisa elimu na wakurugenzi kutokuhamisha watumishi kabla ya kutenga bajeti kwa ajili hiyo.hata hivyo baadhi yao wanaendelea na Tabia hiyo bila kujali agizo la raisi,waziri mkuu,waziri Wa elimu tamisemi na wakuu wengine serikalini.hivi hiki kiburi...
  13. kson m

    Serikali ya CCM kuwakamua walimu 50000 kwa ajili ya ujenzi maabara mashuleni

    Kuna tetesi kuwa mkuu wa wilaya ya arumeru ameagiza watumishi waketwe kuanzia shs 50000 toka kwenye mishahara yao kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maabara mashuleni.hivi ni kweli? kama ndivyo basi ccm kwshney.zile za rada vipi?hamwoni tu hali duni ya mtumishi?hamwoni anavyolemewa na mzigo...
  14. kson m

    Serikali ilipe madeni ya Walimu

    serikali kwa muda mrefu imekuwa ikitoa ahadi za kulipa madeni ya walimu bila utekelezaji.walimu wamefanywa uwanja wa maigizo na viongozi ea kitaifa.kuanzia rais waziri mkuu, utumishi,elimu wote wamekuwa wakiwadanganya walimu kwa ahadi hewa.lini mtakuwa wakweli na kulipa madeni yetu?hao...
Back
Top Bottom