Search results

  1. kson m

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    America kukaa kando ni ndoto !! Ni kama mjomba kukwambia kuwa mama yako sio dada yangu !!!
  2. kson m

    Serikali yarejesha Mikopo ya 10% ya kwa majaribio

    Hiyo tumeelewa.. . UCHAGUZI umekaribia...lazima kuku watupiwe mahindi... !!
  3. kson m

    Serikali kutumia Tsh. Bilioni 190.57 kununua V8 mpya za Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ujenzi wa Makazi na Utawala

    Ni mwendelezo wa matumizi mabaya serikalini...hakuna lugha nyingine.
  4. kson m

    Hizi jeuri za fedha Maulid Kitenge anazitoa wapi?

    Dada mange katoboa Siri !!! Wapo wawekezaji.... Mapato ya fedheha... Yaani kudanga... According to taarifa alizotunyetisha dada wa taifa !!
  5. kson m

    Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Kila mbunge angetoa nusu ya mapato wanayovuna wakiwa usingizini...... Wangestahili wapate milioni 5 na the rest zikatumike bima ya afya !!
  6. kson m

    Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Nilitaraji ataitaka serikali ijibane na pia iwabane wote waliofisidi michango ya bima na kusababisha kadhia hii.
  7. kson m

    Kanisa Katoliki laanzisha bima yake ya afya kwa ajili ya waumini wao baada ya kuona wanahangaika

    W Wale 3000 aliyesema mkubwa mmoja kule zenj wamepelekwa na wakatiliki ??
  8. kson m

    Waandishi wa Habari Simiyu watangaza kutofanya kazi na DC Bariadi

    Tanzania Kuna waandishi wa habari au watoa ripoti??
  9. kson m

    Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Kuwasaidia wanaojihusisha na hayo mambo ili iwe rahisi kuwatongoza.... Ni hayo tu kwa Sasa. Mungu hahitaji dalali ili akuondolee dhambi !!
  10. kson m

    Shirika lipi la Serikali ni la ovyo nini kifanyike?

    Baba wa ovyo atazaa watoto wa ovyo !! Tushughulike na watoto au mzazi ??
  11. kson m

    Lini wasiokunywa pombe wataheshimiwa bar?

    Muulize dadako kama jamaa ana hormone za kike... Unataka ushahidi upi zaidi ?!
  12. kson m

    Kusomesha watoto shule za private ni matumizi mabaya ya fedha

    Umeombwa mchango wa ada? Wamekuzuilia Nini wewe? Unapata hasara Gani jirani yako akimpeleka mwanae shule binafsi???
  13. kson m

    Kero zilipaswa kutatuliwa na sekta husika, siyo mwenezi

    Tatizo ni CCM imepoteza mwelekeo... Ni chama Cha wenye pesa Tena watawala. Mwananchi sio kipaumbele !
  14. kson m

    Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    Hata kitendo Cha KUINGIA kwenye gari Yao ulifanya kosa kubwa.
  15. kson m

    Kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi Mashuleni

    Wanaenda kusoma au kufanya ibada ????
  16. kson m

    Serikali za miji zingekataza kufuga maeneo ya miji na majiji.

    Wafugaji wameufuata mji au ni mji unawasengeasengea wafugaji ??
  17. kson m

    A.Lusekelo( Mzee wa Upako, Pombe Si DHAMBI, ni kosa.

    Hivyo divai ni pombe....
Back
Top Bottom