Search results

  1. Kv-london

    Ushauri wenu: Nataka kujenga frame ya biashara kwa mkataba

    Habar wakuu huku ndani, Hapa kijijini kwetu Moshi kuna eneo zuri potential kwa ajili ya biashara hasa ya duka la reja reja, hardware au site ya tofali za block wamiliki wa hili eneo ni chama cha ushirika wa kahawa KNCU. Changamoto iliyopo ni kuwa hamna frame yeyote ya kufanya hiyo biashara ni...
  2. Kv-london

    Ushauri wenu: Biashara ya duka la reja reja

    Wakuu natarajia Mwezi June 2024 nichukue mkopo wa 7ml kutoka saccos Malengo ni kufungua duka ya reja reja hapa kijijini kwetu Moshi Kilimanjaro plus vinywaji vya barid na moto hasa nyakati za ucku Ntaweka hapo Gas Mpesa Tigo pesa n.k Profit at least 15000 per day Shop ntamuweka hapo wife mm...
  3. Kv-london

    Shule za hostel za serekali mkoani Kilimanjaro ada 600k-750k

    Habar wakuu Je ww una mtoto aliyemaliza darasa la Saba 2023 Je mtoto wako wa Kike au wakiume amepata pass au grade C na kuendelea Je ungependa mwanao asomo shule za HOSTEL za SEREKALI zilipo mkoani KILIMANJARO ? Wasialiana na mim Ili mwanao aweze kusoma shule za serekali HOSTEL zilizopo...
  4. Kv-london

    Mliowahi kufanya biashara ya pikipiki na Jambo Africa Limited naombeni ushauri wenu

    Wanangu wa boda boda mambo niaje? Eeee bwana eee nipo na usafiri binafsi almaharufu boda boda Sasa katika pita pita zangu kwenye mitndano nkakuta kampuni inaitwa JAMBO AFRICA LIMITED Wao wanakopesha pikipiki,Bajaj na guta Kwa malipo ya miezi 24 Sasa nnachotaka kuwauliza Kuna mtu yeyote...
  5. Kv-london

    Shule za serekali za boarding mkoani Kilimanjaro

    Habari ndugu wazazi, Je wewe una mtoto wako aliyemaliza darasa la saba mwaka 2022 na amefaulu kwa wastani wa C,B na A Na wewe ungependa asome shule za boarding/ hostel za serekali zilizopo mkoani Kilimanjaro na wale wanafunzi wanaosoma shule za serekali tayari nafasi zipo za kuhamia kwa kidato...
  6. Kv-london

    Karibu shule za mkoa wa kilimanjaro 2022

    Karibuni shule za mkoa wa kilimanjaro kwa ujumla mwaka 2023 Zipo shule za serekali zenye hostel ada 500,000-650,000 per year mfano Kifaru sec Lyakrim sec Makom sec Mkuu sec Komakya sec Namwai sec nk Shart- mtoto wake awe anasoma shule za serekali tu Nafasi zipo kwa hostel kidato cha 1 hadi cha 4...
  7. Kv-london

    Houseboy anahitajika Moshi

    Houseboy mwenywe kujielewa anahitajika moshi Marangu kilema Awe na umri 20-35 Awe muaminifu ana Awe na afya njema Majukukumu Kukatia majani ngombe 1 Mbuzi 4 Kulima shambni msimu wa kilimo tu Salary 60000 per month Call& whatApp 0764616353
  8. Kv-london

    Moshi: Kingamuzi cha Azam au Star times

    Hello bandugu muda sio mrefu nahisi muda sio mrefu bongo kutakuwa na total lockdown Hivyo kama unae kingamuzi cha Azam stat times used complete na unauza kwa bei chee mm nipo nakihtaji nipo moshi Kilimanjaro Nichek kwa 0764616353 kama una m Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kv-london

    Huyu mzungu anataka nini?

    Kuna mtandao fulan wa majuu huko mm ni mwanachama wa kudumu Mara nyingi nachangiaga mada kadha wa kadha japo kizungu changu sio kizuri sana but naeleweka hivyo hivyo kibishi Last month nkakuta comment ya mzungu fulan kutoka US she like to support me emotionaly nkashidwa kuelewa Nkaona ngoja...
  10. Kv-london

    Msaada: Nguruwe wanakataa kula chakula

    Habari wapedwa, Nina nguruwe wangu wa 4 jike 1 dume 1 waliohasiwa 2. Majuzi nilikoboa mahindi ya mchanganyiko wa yaliyooza na mazima sababu nkishidwa kuyachambua kutokana na wingi Baada ya kukoboa Yale mazima yakawa makande na Yale mabovu yakawa pumba nkapata pumba kama gunia 4 hiv Nkachukua...
  11. Kv-london

    Je unazifahamu? 10 laws of manhood

    Ten laws of manhood 1. Never sleep with your friends wife no matter the temptation. Someone else is definitely going to sleep with yours too. 2. Never beat your wife and never let the urge of having sex push you to rape. As you dont want your daughter to experience such. 3. Put your self...
  12. Kv-london

    Nishauri: Nahitaji kwenda kusaka maisha nchi za kiarabu

    Aisee naamini wote mpo njema hapa Mim ni muajiriwa wa serekali 32 years old Nina miaka 5 kazini Nina familia ya watoto 2 boys na mke(mama wa nyumbani) mmoja pia nimejenga kajumba kangu hapa hapa kijijini kwet 3bedroom pia nimeweka maji na umeme Nimekaa nkatafakari nkaona kwa mshahara wa...
  13. Kv-london

    Mliosoma UGANDA naombeni msaada

    Habari za humu wakuu Aisee nahtaji kwenda kusoma nchini Uganda degree yangu ya sports science and physical education sababu za kusoma huko Bongo Hanna hiyo course Ila naomba mnisaidie naewzaje kufanya admission na kupata admission letter bila mm mwenywe physical kufika huko Pia vipi kuhusu...
  14. Kv-london

    Ajira za muda Tume ya Taifa ya uchaguzi

    Aiseee vijana mliopo mtaani na Hanna kaz changamkia fursa Zile ajira zilizotolewa na tume ya taifa ya uchaguzi kwa sasa zimehamishiwa katika ngazi za halmashauri Hivyo kupata taarifa za ajira hizi fika halmashauru yako au kwa mtendaji wako wa Kara au kijiji huku moshi tayari Nazi ni kwako tu
  15. Kv-london

    Kwenda Ulaya sio mchezo, soma hapa kwanza

    Habari zenu wakuu Leo nimeona niwaletee Uzi huu kwa vijana wanaotaka kwenda kufanya kazi ulaya na kuishi huko has a nchi za EU,Norway,swirzland nk Njia rahisi na nyepesi ya kwenda ulaya ni hii. Uwe na rafiki au mpenzi ambaye ni RAIA wa huko au jamaa zako mnaofahamiana ambao wanaishi huko hapo...
  16. Kv-london

    Elimu ya msingi nchini Kenya ipoje?

    Habari wakuuu Kuna mtoto wangu hapa wa 5yrs nahtaji kumpeleka Kenya akasome kwa level ya primary kwa sababu mm npo mpakan tu huku so naona its better nkampeleka Kenya apate angalau chochote kichwan, Ninachohtaji kufahamu ni, 1.elimu ya msingi kwa ujumla ikoje? 2.kuhusu ada private\goverment...
  17. Kv-london

    Haja kubwa na ndogo weee achana nazo aiaee

    Habari zenu wakuu wa humu ndani? Hope wote mpo njema wengine mliopo wagonjwa mungu awafanyie wepesi Daaaa leo nimekaa nkaona niwaletee huu Uzi wa jinsi the way watu tunavyorukwa na akili wakati haja kubwa(mavi) au mkojo unapotubana halasi upo kweny access ambayo huwezi au huna ujanj wa...
  18. Kv-london

    Kuchapiwa ni siri ya ndani

    Mpemba au mangi hapo lazima aoshe rungu daily
  19. Kv-london

    Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

    Habar wapendwa humu JF Bila kupoteza muda katika pulukushani za maisha kuwa magumu kuna wakati unaona the only solutions ni kuchukua mkopo katika taasisi za fedha mbalimbali ili kufungua ofisi nyingine itakayokuingizia kipato zaidi. Ila cha kushangaza sasa unakuta tunaangukia pua na maisha...
  20. Kv-london

    NMB - Kasulu acheni ubabaishaji we

    Waaaaslaam hapa jamvini Last week nlienda kufatilia mkopo (wa wafanyakazi) Nmb tawi la kasulu kwa bahati mbaya nkamkuta afisa mikopo amesafiri nkapewa appointment ya kuonana nae next week. Nkaenda akanimbia kuna shida ya mtandao so niache attouchment zangu mtandao ukiwa njema ataprint form...
Back
Top Bottom