Sina muda wa kueleza sana, nimechoka.
Mmeajiri madaktari vijana wanakaa wanapiga story tu vyumbani badala ya kuhudumia wagonjwa. Watu tumekaa zaidi ya lisaa tunasikia wanachekacheka tu ndani na hakuna mgonjwa.
Unaingia kwa daktari wamekaa kama watatu mmoja anakuhoji wengine wanakuangalia na...
Nafikiri: Duniani kuna miungu wengi na kila bara lilikuwa na mungu wao mfano: India wana Mungu wao, Afrika tulikuwa na Mungu wetu (kabla wakoloni hawajatuletea wao), Japan wana Mungu wao, China, Malaysia vivyo hivyo… weka kwa Mabara
Kila Mungu anawabariki kila kila bara kwa kadiri wamuombavyo...
Wadau za muda huu.
Sijajua kama wengine mlishawahi kukutana na changamoto niliyokutana nayo ya kusafirisha mizigo kupitia Posta.
Nimewapa kazi wanaojiita wataalamu wa Posta wakafika kwangu kufanya tathmini ya vitu. Wakaniambia bei nikaona sio gharama kubwa kwa mizigo niliyo nayo. Malipo...
Sidhani kama mnatambua au mnapewa mrejesho mnapuuzia ila Vodacom internet yenu imekuwa ya ovyo kupita maelezo.
Mnaongeza bei za vifurushi na tozo za miamala tu lakini huduma ya internet itawapotezea wateja wengi kuliko tozo.
Niishie hapa maana hii nchi…
Kwa mara kadhaa nimekuwa nikikutana na picha au michoro mbalimbali ambayo wakati fulani ni vigumu sana kuelewa maana yake. Karibu na wewe uweke picha ambayo unadhani mpaka leo imekusumbua sana kuielewa au haujaielewa.
Wadau tusaidiane kutafuta maana...Mimi nitashare kadhaa kuanza na hii hapa...
Mental Revolution [emoji109][emoji109][emoji109]
1 . When a French national cannot speak English, Africans respect him.
2 . When a Spanish man can't speak English, Africans respect him.
3 . When a Chinese man can't speak English, Africans respect him.
4 . When a Russian man can't speak...
Mafuta ya Petroli na Diesel kwa kila lita 1 Nchini Zambia & Rwanda ni 1800-1900 za kitanzania wakati kwa Tanzania ni 2450-2800 TZS kwa kila lita. Ili hali Rwanda & Zambia mafuta yao wanayapitishia hapa Tanzania ?
Ipi ni sababu ya msingi kwa upandaji wa bei wa mafuta kwetu?
Habari wadau,
Moja kati ya mada muhimu za kuweka mezani siku hizi ni kuhusu uhusiano kati ya watoto na Baba. Imekuwa kawaida kwa mama kupewa kipaumbele kuanzia ngazi ya familia mpaka jamii.
Kuna wakati taasisi fulani ilifanya tafiti ndogo ya kuwaambia wanaume waliokuwa wanafanya kazi umo...
Aje wadau,
Tuchangamshane kwa kutambua lyrics za nyimbo mbali mbali, andika lyrics wadau wajaribu kuzitambua ni za wimbo gani kwa kutaja jina la wimbo, tukifeli unatusaidia kushare wimbo husika. Let the challenge begin.
Me naanza na Lyrics hizi:
"Mtoto huyu hatari miondoko,
Hana mpinzani kama...
Nakumbuka nikiwa shule ya msingi mimi na rafiki zangu wawili tulikuwa na mazoea ya kuaga asubuhi tunaenda shule kumbe hatuendi. Kuna manati zetu tumezitengeneza kuna mahali huwa tunazificha.
Basi tunabeba chumvi, kiberiti na mafuta ya kujipaka toka home tukapitia manati zetu mahali...
Moja kati ya mashujaa waliokwenda kupigana vita Uganda dhidi ya Idd Amin Dada alikuwa ni Meja Jenerali 'MUHIDDIN KIMARIO'(marehemu kwa sasa). Wakati Idd Amin anavamia eneo la Kagera na kuishusha bendera ya Tanzania na kuipandisha bendera ya Uganda, Muhiddin Kimario alikua waziri wa Mambo ya...
Nimekuwa naangalia msafara na shughuli ya kumuaga Hayati John Pombe Joseph Magufuli tangu Dar es Salaam mpaka leo Dodoma kila sehemu naona mama Janeth analia kwa uchungu sana. Lakini watu wanavyolia wanamuongezea uchungu kwa maeneo yote mwili unapoagwa.
Msiba umefika viwanja vya Dar na watu...
The Battle of 𝗔𝗱𝘄𝗮 was the result of Italian encroachments south of their colony of Eritrea on the Red Sea. Though bound by the 𝗧𝗿𝗲𝗮𝘁𝘆 𝗼𝗳 𝗪𝘂𝗰𝗵𝗮𝗹𝗲 (1889) to friendship, the Italians and Ethiopians had different opinions about the nature of that friendship. This was the famous "mistranslation"...
Kutokana na wimbi kubwa la kutokuaminiana kwenye mahusiano, watu wengi wamekuwa wakifanya juhudi za kutaka kujua kama wenza wao wanajihusisha na mahusiano na watu wengine. Swala hili limeongeza watengenezaji wa app za kuspy simu za watu kutokana na uhitaji kuwa mkubwa. Hii imefanya Application...
Kutokana na wimbi kubwa la kutokuaminiana kwenye mahusiano, watu wengi wamekuwa wakifanya juhudi za kutaka kujua kama wenza wao wanajihusisha na mahusiano na watu wengine. Swala hili limeongeza watengenezaji wa app za kuspy simu za watu kutokana na uhitaji kuwa mkubwa. Hii imefanaya Application...
Wanaosema hii lugha ilikuja na meli hawakukosea. Kuna maneno ya Kiingereza nilikuwa nayatamka visivyo kwa kipindi kireeefu. Nimekuja gundua baadaye nikajiona kilaza sana. Haya baadhi ya maneno ambayo nilifahamu baadae matamshi yake sahihi:
1. Tier - nilikuwa nafananisha matamshi na Tyre
2...
Simaanishi kwamba ni vizuri kujisifu kwa shida tulizopitia. Ila kuna nyakati tunakumbuka mambo magumu tuliyowahi pitia katika maisha. Kwa Watoto wa kishua sio rahisi kuelewa hili. Ila yapo maisha magumu ambayo watu wanapitia na mengine yameacha makovu kwenye mioyo na miili yao.
Katika magumu...
Huwa kuna sababu mbalimbali ambazo humfanya mtu kutokupenda kuhudhuria ibada siku ya Jumamosi au Jumapili (kutokana na dhehebu).
Mimi sababu ilinifanya nisiwe nahudhuria kanisani ni pale mchungaji alipokuwa anahubiri kuhusu sadaka na matoleo tu kwa ibada tatu mfululizo.
Nini sababu yako?
1. Nobody has your interests.
2. Everybody is chasing their own interests.
3. Dealing with politicians is like sleeping with tigers; you must always have your eyes wide open.
4. In any Political equation, there’s always someone being used. If you can’t find one then it is you.
5. Serving...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.