Search results

  1. Ludanha

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Msaada wa link kama ipo ya samsung j5 2017...Android 8.1
  2. Ludanha

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ed wood ndio tatizo.
  3. Ludanha

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa saa zetu ni saa sita kamili.
  4. Ludanha

    Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

    Mkuu nikujitoa tu ila kiukweli kuku wanakula sana.
  5. Ludanha

    Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

    Nimefuga kuku aina ya kroiler aisee wale ndege wanakula sijapata kuona nashukuru nimeweza kuwatoa wote na sasa nataka nihamie kwenye kuku wa nyama(broiler).
  6. Ludanha

    Khaligraph X ROSTAM kolabo kali zaidi ya Hiphop Kenya na Tanzania

    moja ya ngoma kali sana kwa mwaka huu.
  7. Ludanha

    Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

    Napenda mziki mzuri wa msanii yoyote yule hata aslay ila Tatizo hatupendi kusikia ukweli ila ngoma hii imebuma kabisa.
  8. Ludanha

    Tatizo ni nguo zao lakini maumbo yao ni ya kawaida sana

    Basi atakuwa kavaa nguo ya mtoto.
  9. Ludanha

    IRINGA: Abdul Nondo amkataa Hakimu anayesikiliza kesi yake

    Yajayo yanafurahisha.
  10. Ludanha

    Muigizaji Elizabeth Michael 'Lulu' abadilishiwa adhabu, sasa kutumikia kifungo cha nje

    Tatizo ni kile kitabu kinachoongoza nchi hii[emoji12] [emoji12] [emoji12]
  11. Ludanha

    Muigizaji Elizabeth Michael 'Lulu' abadilishiwa adhabu, sasa kutumikia kifungo cha nje

    Nani kakwambia ana ugwadu? Huyo ilikuwa kahifadhiwa tu.
  12. Ludanha

    Kichekesho: Uongozi wa Ali Kiba kupitia Clouds wasema ''Mvumo wa radi' kubuma youtube ni kutokana na traffic kubwa

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sijui despacito ilikuwaje aisee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  13. Ludanha

    Series (Special thread)

    Habari zenu wakuu!? Naomba kwa aliye morogoro kama anaweza nipatia series na movie kadhaa zakuangalia maana nilipata majanga yakuibiwa device zangu(laptop na external drive:(). natanguliza shukrani.
  14. Ludanha

    Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    w wanawashwa washwa hao.
  15. Ludanha

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Habari yako mkuu. Naomba kufahamu ni tatizo gani linapelekea mpk Vifaranga vyangu vinakuwa vinabakiwa na kinyesi makalioni(yanajishika mengi sio kawaida) na tiba yake ni nini?
  16. Ludanha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unafungua drop down menu inakuwepo karibia na mwisho.
  17. Ludanha

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mtakuwa mnanipa updates hapo.
Back
Top Bottom