WEWE UTATENGENEZA KAMA NI APLICATION YAKO NA UTA HOST KWENYE SERVER YAKO ILA UTAWAPA API KEY AMBAYO WEWE UTAWALIPA WAO ILI WAWAPE WATEJA HUDUMA HIYO BURE ,KAMA IZI APP ZA KUBET WAO WANAWALIPA MAKAMPUNI HUSIKA YAANI UNAKUWA KAMA VILE UNARUN XAMPP HTUMII DATAA NA INAFANYA KAZI .
NAMUUNGA MKONO CHIEF MKWAWA NA SIKUPINGI NAKUFUATILIA TOKA MIAKA POST ZAKO IYO
CHA KUONGEZEA NI KWAMBA KAMA ANACOMPUTER ADOWNLOAD DR.PHONE ALAFU KIPENGELE CHA VIRTURAL LOCATION UNAWEZA SET ISOME SEHEMU MOJA TUU MILELE
WAMEZUIA VODACOM KWENDA AIRTEL NA AIRTEL KWENDA VODA KWA ZANZIBAR MITANDAO YOOTE JARIBU UONEEEE TUMIA MESEJI KWA MTU WA AIRTEL KAMA UNATUMIA VODA AU VODA KWENDA AIRTEL
Mawe kadha wa kadha yameshawahi kupita karibu na uso wa dunia lakini jiwe Florence ni kubwa kuliko yote yaliyowahi kupita karibu na sayari yetu.
Kitendo cha jiwe hili kupita karibu na dunia kinatokea karibu karne moja iliyopita na linatarajiwa kupita umbali wa takribani milioni 7. Jiwe la...
Muwe makini:Kwenye chuo kimoja cha kitabibu prof aliwaingiza wanafunzi kwenye chumba chenye maiti akawaambia sifa ya udaktari ni kutokuwa na kinyaa, pili ni kuwa makini. Akaingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa kwa maiti mmoja kisha akalamba halafu akawaambia wote wafanye hivyo, na wote...
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao"MSAMAHA".
2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WASENEGAL.
3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - WAKENYA.(Kati ya wanaume 10 nchini Kenya 7 wanapokea...
Mwanamke mmoja ivi wa kihindi aliolewa na jamaa mmoja wa Kifaransa,yule jamaa akampeleka kwao Ufaransa wakawa wanaishi huko Ufaransayule mwanamke alkuwa hajui kifaransa akawa kila akienda dukani (mall) kununua paja la kuku alkuwa anapandisha sketi yake anamwonesha mhudumu PAJA lake na mhudumu...
Watu kweli wamezoea vya kunyonga!!!!....
WABONGO SINA HAMU NAO...!!
Jamaa alinunua friji jipya, akawaza namna ya
kuondokana na lile la zamani, basi akaliweka
nje ya nyumba yake na kuandika kibao:-
"ANAYE TAKA KUCHUKUA, ACHUKUE BURE".
Watu wakawa wanapita wanafungua lakini kila
mtu akawa anaogopa...
Jamaa alikosea kutuma pesa akatuma mil2 kwa
no tofauti. Akafikilia cha kufanya akaja na hii:
''Hello natumai u mzima. Naamini umepokea
pesa niliyokutumia. Ni kwa ajili ya mwanzo wako
wa kuingia katika Amri za mtukufu shetani kwa
utambulisho utakofanyika kesho saa 6 usku. Hiyo
pesa n kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.