Mwanakijiji Nimekupata mkuu.
Hayo uliyoelekeza ndio lengo kufikia ingawa sidhani kama litafikiwa katika karne hii kwa nchi kama ya Tanzania. Bunge letu limefeli kutoa changamoto ya kweli. Waandishi wa habari nao ndio hivyo tu. Vyama vya siasa navyo vinachechemea tu. Siasa za Tanzania bwana...
Wanabodi ninakerwa na jambo hili naomba tujadili. Hivi serikali ni nani? Nilidhani ni wananchi ambao wanawakilishwa na Bunge?
Kutokana na majadiliano yanayoendelea bungeni kuhusu mikataba ambayo serikali haitaki ijadiliwe sisi kama wananchi ambao tumewachagua wabunge hawa tunapenda kuonyesha...
Pamoja na kufurahi kumuona Rais wetu akisafiri katika mikutano ya kimataifa, nimefuatilia na kuona kuwa rais wetu anasafiri sana na kuhudhuria mikutano mingine ambayo ingeweza kuwakilishwa na makamu wake, waziri mkuu au mawaziri maalum wa wizara husika.
Mfano mkutano wa juzi wa Afrika Kusini...
Mheshimmwa Mbowe na wapinzani wote.
Ushauri wangu kwa sasa ni kuwa acheni kuota kwenda ikulu kwa sasa. Wekeni mikakati ya kupata wabunge wengi wazuri baada ya miaka 5 ijayo, ili tuwe na bunge makini na lenye changamoto. Hiyo ndiyo iwe vision yenu. Acheni kuota big dream before a small dream...
Mwanakijiji:
Najua una uchungu sana na nchi yako. Hata hivyo nakupa pole maana Tanzania haiwezi kuendelea hata siku moja. Maisha ya neema yatakuwa kwenu wachache ambao mko nje ya nchi, viongozi na matajiri wa kigeni. Sisi wakulima wa vijijini haiwezekani kuendelea hata kidogo. Hotuba ya...
Mwanakijiji:
Nimekusikia kwenye podcast yako na mapendekezo yako ya bajeti. Nakupongeza kwa ushauri wako, ila ushauri huo ungetoa kabla ya bajeti ingefaa zaidi.
Nimependa zaidi suala la kilimo, na kama unaweza kuandaa hotuba yako juu ya mapinduzi ya kilimo Tanzania itakuwa safi. Bado...
Wakati Mheshimiwa Mkapa anamaliza uongozi wake alikiri kuwa eneo mojawapo ambalo halikupewa umuhimu katika uongozi wake ni KILIMO. Kutokana na jinsi Mheshimiwa Raisi Kikwete alivyoanza katika kasi yake bado sijaona kama kweli suala la kilimo limo sana katika ajenda. Hivyo napenda kutoa ushauri...
Waandishi wa habari mbona hamtaki kuwataja hao ambao tayari wamekwishashtakiwa na majalada yao yako kwa DPP?. Tafadhali waandishi wa kitanzania jitahidini kufanya intensive investigative journalism ili watu wapate habari za uhakika.
Mfano suala la NSSF sijaona kama kuna mwandishi yeyote ambaye...
Nyamglu:
Asante kwa elimu uliyotoa kuhusu suala hili la UKIMWI. NI kweli Africa tusipoangalia population ya watu na hasa nguvu kazi katika ujenzi wa taifa itapungua sana.
Viongozi wa dini, mawaziri ma mheshimiwa Raisi Kikwete please muwe serious na jambo hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.