Search results

  1. N

    Naombeni jina la mtoto wa kike

    Ina tegemea, huyo mtoto utampa malezi gan! malezi ya akina junior(watoto wanaodekezwa)!? au wali ugali mgumu! tuanzie hapo
  2. N

    Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub

    Yaani mtu hata kwa elfu 5 siku hizi cheti hanunui Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  3. N

    Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub

    Wakuu hiyo hali isikieni tu.... Kwa tunaoish kwenye hali hyo tunajua. Mwaka 2015 natoka udsm nikiwa na shangwe ,... Lakini jinsi maisha yanavyonichapa kwa ufukara... Namlaumu baba kunipeleka darasa la kwanza ilhali yeye alikuwa na uwezo wa kunifundisha kusoma na kuandika..... Sasa kampeni...
  4. N

    Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

    Vita ya dunia ipo, ila itahusisha serikali (yaani UN) against dini zinajifungamanisha na Siasa..(babiloni mkubwa) tunayoyaona sasa ni utanguliz tu... serikali baadae itajua kuwa chanzo cha vita zote ni dini za uongo...(mwenye macho na aone hilo
  5. N

    Bado natafuta kazi ama intern wakuu, nina degree ya accounting and finance

    Pambana mkuu, .. Nami ninapitia hali hyo. Ni mwaka sasa.... Tusikate tamaa
  6. N

    Ni wakati kaa kwa tahadhari

    Nini kimetokea?.... Wa mchongo hao , watoroke
  7. N

    Ni wakati kaa kwa tahadhari

    Ikiwa na maana ya watu wapya sio mji tena .. watu wenye utu mpya Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  8. N

    Ni wakati kaa kwa tahadhari

    Nimesema yote hayo ndo huleta mabadiliko kwa aina binadamu... Tujiandae Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  9. N

    Ni wakati kaa kwa tahadhari

    Kila aina na muundo wa serikali imeshindwa kutawala na kuleta amani,,, Ujamaa, udikteta, demokrasia,, zote zimefeli kuleta amani.. Teknolojia zote zinazidisha vifo badala ya kuokoa... Pesa, pesa, pesa ndo Catalyst ya yote... Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  10. N

    Ni wakati kaa kwa tahadhari

    Earth is no longer safe for living things Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  11. N

    Ni wakati kaa kwa tahadhari

    Mambo yanatisha aisee Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
  12. N

    Ni wakati kaa kwa tahadhari

    1. Vita ni vingi, vya Kikabila, Kidini, Kimataifa... Hakuna amani duniani, nchi inayosema ina amani si amani bali ni utulivu 2. Njaa ni Kali, vyakula vinazalishwa kwa wingi ila vinatumika kutengenezea vitu visivyotibu njaa viwandani, watu wanakufa kwa njaa 3. Magonjwa. Haya hata nisiseme...
  13. N

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Pitia hapa www.jw.org/sw/ je kaini alimuoa nani?
  14. N

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Tafadhali pitia link hii kwa majibu sahii www.jw.org/sw/je mke wa kaini alikuwa nani?
  15. N

    Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

    Njoo MBINGA tununue mahindi,.. au kahawa (black market).. nitafute PM, nimeanza mapambano hayo baada ya kupigwa sana na maisha.
  16. N

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Tupitie link hii kwa majibu sahii www.jw.org/sw/ je mtu akifa huenda wapi?
  17. N

    Mbona timu haijapoteza mechi?

    nipe na historia ya jina, UTOPOLO NA MAKOLO
  18. N

    Mbona timu haijapoteza mechi?

    AISEE!
  19. N

    Mbona timu haijapoteza mechi?

    LEO yanga wakishnda 6 na simba ishinde 6+ , ni ngumu
Back
Top Bottom