Search results

  1. jitizame

    Swali la kujiuliza! je wajua alama ya mumeo/mkeo/mtoto katika mwili wake?

    hbr ya jioni wana mazengo pole na majukumu ya kila siku na weekend. Niende kwenye mada moja kwa moja.km mada inavyouliza hapo juu.kumekuwa kunatokea ajari na vifo vingi vyenye kuleta utata hasa inapofika kipindi cha kwenda kutambua ndugu au jamaa zetu hospital au sehem ya ajari.inakuwa vigumu...
  2. jitizame

    Idara ya maji tanga

    Kwa anaefaham km idara ya maji tanga wameshaita ktk interview ajira za mwezi wa tatu walizotangaza
  3. jitizame

    Yanitatiza

    Naomba kujuzwa km ni kweli au ni rumors tu.eti ni kweli walimu wameongezwa mshahara 1700 tu
Back
Top Bottom