Search results

  1. Arnold Ringo

    Kampeni za Uchaguzi Arusha: Wananchi waikata ccm kabla ya Kampeni

    Leo Mwenyakiti wa Chadema kata ya Themi Arusha Arnold Ringo Wananchi wamemsimamisha kwenye matangazo ya kampeni na kumwambia hakuna haja ya kampeni kwani wananchi wa Arusha wanajua Rais ni Lowassa, mbunge ni Lema na Diwani wa Themi ni Venance Kinabo
  2. Arnold Ringo

    Diwani CCM anusurika kipigo kwa kujinadi mkutanoni

    Diwani wa kata ya Nduruma Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Herri Laizer (Ccm), amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi wake wakimtuhumu kugeuza mkutano kuwa uwanja wa siasa badala ya kujadili kero zinazowakabili. Mkutano huo ulilenga kujadili pamoja na mambo mengine kukithiri kwa migogoro ya...
  3. Arnold Ringo

    Kesi za Mwalimu Nyerere

    Nilikua nasoma kitabu kinachoitwa KESI ZA MWALIMU NYERERE 1958. Baada ya kusoma na kisha kusononeshwa kwa kiwango kikubwa na yaliyo mpata mwalimu pindi anapigania uhuru wa Tanganyika mfano pale alipokuwa aki kufunguliwa kesi na mashtaka ya kubuni na serikali ya kikoloni juu ya harakati...
  4. Arnold Ringo

    Pongezi kwa Mwenyekiti wa Chadema

    Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo ( chadema ) mh .free man mbowe kwa kuchaguliwa tena kukiongoza chama kwa kipindi kingine cha miaka mitano . Kuchaguliwa kwako kunatokana na imani waliokuwa nayo. Wanachama wa chadema kwani juhudi zako...
  5. Arnold Ringo

    Mbio za Mwenge Arusha

    Wanafunzi wa Shule mbalimbali kwenye Manispaa ya Arusha mjini wametolewa kwenye vipindi vyao vya masomo kuja kushanga mwenge jee ndio kuwafundisha au kuwateketeza kielimu? Na imefuatiwa nakukosa watu kwenye mbio za mwenge jijini Arusha
  6. Arnold Ringo

    R.I.P Katibu Mwenezi Kimandolu Arusha Robert Bifoo

    Safari ya mwisho ya katibu mwenezi wetu wa chadema kata ya kimandolu robat bifoo umetuachia pengo kubwa sana ulikuwa jemedari ulipigania haki tuta yaenzi yale mema uliyo acha bifoo tumekupenda lakini Mungu amekupenda zaidi Bifoo kaka yetu rafiki yetu naandika nikiwa natoa machozi ila...
  7. Arnold Ringo

    Uchaguzi wa CHADEMA unao fanyika ukumbi wa Mcc Wilaya Musoma mjini

    live !kutoka ukumbi wa Mcc uchaguzi wa Chama wilaya Musoma mjini. Uchaguzi unaendelea vizuri kabisa Mpaka sasa hivi, Wajumbe waliomaliza uongozi wao wakisema machache na wajumbe kwa kweli tunawashukuru kuwa kazi kubwa waliofanya kuwa miaka 4. Nitaendelea kuwaletea updates
  8. Arnold Ringo

    Matokeo ya uchaguzi wa chadema wilaya ya iramba

    MATOKEO YA UCHAGUZI WA CHADEMA WILAYA YA IRAMBA.MWENYEKETI 1 Ally Msabaha kura 28,Peter Malume 26,Jeremia Shilla 19,Valeria Mande 1. KATIBU:-Joseph Alfayo kura 58,Abdalah Sarai 18. MWENEZI,John Mbuli 37,Husen magembe 36. MHASIBU:Asha athuman 65,Sued mchani 7. BAVICHA MWENYEKITI: Rayman minja...
  9. Arnold Ringo

    Mkutano Wa CHADEMA Butiama

    kutoka Butiama kwa baba wa taifa mkutano wa Chadema ukiendelea viongozi mbali mbali wakiwa jukuwana kuongea na wanainchi Chadema mwendo ni ule ule hakuna kulala mpaka. Mod Nakuomba Usiunge Habari hii na Habari nyingine
  10. Arnold Ringo

    Wanasiasa wako katika makundi matatu

    Siasa zina mambo. Wanasiasa wako katika makundi matatu. Wafuasi wa wanasiasa pia wako makundi matatu. (1). Wanasiasa makini. Hawa ni wale wenye kutafakari jambo kwa kina kabla ya kuamua kuliunga mkono au kulipinga kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa: (2). Wanasiasa msimamo. Hawa ni...
  11. Arnold Ringo

    CCM Makambako waandaa Sherehe za kumpongeza Deo Kasenyenda Sanga(jah people)

    Wana CCM ni watanzania wa ajabu sana. kesho katika ukumbi wa midtown uliopo hapa Makambako, wameaandaa sherehe ya kumpongeza mh.Mbunge Deo Kasenyenda sanga(jah people) eti kwa kutimiza ahadi zake alizoziahidi kwenye uchaguzi wa 2010, lakini ukweli wake ni huu hapa 1. Wakati anaanza ubunge...
  12. Arnold Ringo

    Sasa wananchi wameanza kuelewa CCM B ni ipi

    sasa wananchi wameanza kuelewa na kujua kuwa chama kipya chake ACT wanatumiwa na ccm, hii ni baada ya chama hicho kipya kufanya mikutano ya hadhara kadhaa na katika mikutano hiyo viongozi wa chama hicho sera na mada zao mikutano yao ni kuiongelea CHADEMA kitendo ambacho kilifanya wananchi...
  13. Arnold Ringo

    Matajiri na CCM

    Kipindi cha hayati Mwalimu Julius K. Nyerere na serikali yake ya Chama cha Mapinduzi CCM matajiri walikuwa wanaiogopa serikali, Hutakaa uone tajiri anaenda kujipendekeza kupiga picha na Rais. Hutakaa uone mtu analeta maigizo na mizaha kama tunayoiona hii yakuomba escort hata upelekwe beach tu...
  14. Arnold Ringo

    Ndimi mbili na ukasuku kwa watawala ni unafiki

    Siku za hivi karibuni mhadhiri mwandamizi chuo kikuu cha Dar es salaam Dk Kitila Mkumbo amekuwa wakala wa ccm na watawala. Ameonesha kuwa ana ndimi mbili zinazokinzana ama kwa wazi wazi ama kwa kificho totoro. Katika ndimi hizi mbili,moja ni ile inayotetea, kulinda na kusafisha chama cha...
  15. Arnold Ringo

    TAKUKURU wavamia kikao

    Takukuru wilayani Muheza wamevamia kikao cha tathimini ya Chadema ni Msingi mda huu
  16. Arnold Ringo

    CCM yabomolewa Kilindi Tanga

    Viongozo 5 kilindi mkoani tanga wameamua kujivua magamba nakuva magwanda viongozi hao ni ramadhan madiwa,lazaro leornad, shaban tarimo, abdala h. Waziri na amina mbarock
  17. Arnold Ringo

    BAVICHA yaikata CCM mikono jimbo la Ukonga

    Viongozi 16 wa mashina na matawi ya CCM jimbo la Ukonga wamejiengua kwenye chama hicho na kujiunga na CHADEMA jana Jumapili kwenye mkutano wa hadhara ulihutubiwa na Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi. Viongozi hao wamesema wameamua kujiondoa kwenye chama hicho kwa kuwa ndani ya CCM...
  18. Arnold Ringo

    CCM mkoa wa Mwanza kwachafuka!

    CCM mkoa wa Mwanza kwachafuka, mwenyekiti amtimua katibu wake kwenye kikao, wakwidana mashati na kurushiana maneno machafu.
  19. Arnold Ringo

    Kikundi cha Vijana wa Chadema waliokuwa wamerubuniwa

    Kikundi cha Vijana wa Chadema waliokuwa wamerubuniwa na Akina Mchange wamepachimba kwa kumtaka Mchange awalipe Pesa yao waliyoahidiwa kupewa baada ya kuisaliti Chadema. Taarifa zinawataja vijana hao kwa majina kama ifuatavyo: i. Jorum Membe huyu ni Katibu wa Chadema Wilaya ya Nachingwea, ii...
  20. Arnold Ringo

    CHADEMA kata ya Ntwike wafanya uchaguzi wa viongozi wao tarehe 25 June, 2014

    CHADEMA kata ya Ntwike wamefanya uchaguzi wa viongozi wao jana jioni.Mkutano wa uchaguzi ulisimamiwa na Joseph Alfayo ambaye ni Katibu Wilaya,RAYMAN MINJA[katibu bavicha wilaya] na PETER MALUME [katibu mwenezi]. Viongozi wapya kata ya Ntwile ni Mwenyekiti Robert Nsonda,Katibu Charles...
Back
Top Bottom