Search results

  1. Prodigal Son

    Kuondolewa kwa Dr. Nzuki TTB kuna tija kwa sector ya utalii?

    Wanabodi, wizara ya maliasili na utalii ni kati ya wizara kubwa zenye vyanzo vingi saana vya mapato (wengine tunaiita ni serekali ndani ya serekali kwani ina kila kitu). Kati ya Taasisi nyeti ambazo zipo chini ya hii wizara ni Tanzania Tourist Board ( TTB) na iliundwa baada ya TCC KUFA(Tanzania...
  2. Prodigal Son

    Wanigeria kwa hili mnahitaji pongezi kutoka kwa waafrica wote

    Kwa mara ya kwanza Dr. Innocent Chukwuma amewatoa kimasomaso wa Nigeria Huyu jamaa ameweza kuanzisha kampouni yake ya kutengeneza magari (KIBIASHARA) inayoitwa (INNOSON Vehicle Manufacturing Company Limited). tRADE NAME YAKE NI ( IVM). Anazalisha magari ya aiana mbalimbali na lengo ni...
  3. Prodigal Son

    Msaada wa Mbegu za Barley (Shairi)

    wanabodi natumaini mu wazima wa afya ni muda sasa natafuta duka au mtu yeyote anayeuza mbegu za shairi (barley) kwa mkoa wowote Tanzania Naomba kama kuna mtu mwenye contact anisaidie/au hata kunielekeza natanguliza shukrani
  4. Prodigal Son

    Wakenya acheni wivu wa kike

    kwamuda mrefu saana, kuna magazeti ya kenya ambayo wanahisa nyingi saana kwenye mwnanchi Communication yamekuwa na TABIA ya kutubeza kwa kija lambo tunalofanya.....na kikubwa zaidi kila jambo kubwa la maendeleo linalofanyika hapa nchini.........wamekuwa wakilinganisha na kwao......kila kukichwa...
  5. Prodigal Son

    Gold Bullion Coins MSAADA

    Nilijaribu kuwekeza kwa kununua share kwenye makampuni matatu,kinachonisikitisha Dar Salaam Exchange (DSE) haijachangamka kabisa ukilinganisha na masoko mengine ya uliwemwengu wa tatu hususani Nairobi Stock Exchange ( NSE). Nimefikiria kuuza hisa zangu DSE na kwenda kununua NSE ( Nairobi) ila...
  6. Prodigal Son

    Je Hatuwezi Kujifunza kwa hawa????

    JE Hatuwezi Kujifunza kwa hawa????? Kwa Mtanzania yeyote ambaye anakipato halali, utakubaliana na mimi kwamba garama za maisha kila siku zinapanda ( Mfano Bei za Umeme, maji,pango, Mafuta mlio na magari,). Kila hali inapokuwa tete WATAWALA wanatoa sababu za kisiasa na wananchi wanaridhika na...
  7. Prodigal Son

    Ushindi wa ccm na mbinu chafu

    Wana JF Nivema tukaainisha mbinu Chafu CCM ilizotumia na hatimaye kujitangaza washindi, Hii itasaidia kuwapa picha halisi wale wote wanaopongeza ushindi wa CCM na kubeza wapinzani,,,Naamini Upinzani imara ni chachu ya maendeleo husussani kwa taifa changa kama Tanzania Kwa kuanzia Walitumia...
  8. Prodigal Son

    Ortello Business Company Licence

    United front to fight renewal of Emirates hunting contract Pressure is growing on Tanzania not to renew the hunting licence of a United Arab Emirates-based firm in the Loliondo Game Controlled Area in Tanzania. The Ortello Business Company’s clientele, mostly composed of Gulf royalty, have...
  9. Prodigal Son

    Nuns held over marijuana

    THE Police in Masaka have arrested two nuns for allegedly participating in growing marijuana. The two nuns, who had declined to reveal their identities to the Police, were picked from Bwanda Convent in Masaka district, where the Police found a banana plantation full of the illegal crop...
  10. Prodigal Son

    Hatimaye Masauni - UvCCM Ang'atuka

    Wakuu kwa mujibu wa Mdau Francis Godwin kutoka Iringa mwenyekiti wa UV CCM na makamu wake wamejiuzulu jioni hii Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete Wajumbe wa baraza wakisikiliza kwa makini kikao cha baraza ambacho kinadaiwa kuwa moto kwa mwenyekiti wa UV-CCM Hamad Yusuph...
  11. Prodigal Son

    Msaada wa mawazo plz

    Ningeomba mnishauri ndugu zangu nafasi ya hawa watu kama mtu anataka kuoa au kuolewa. SHANGAZI, BABA MDOGO/MKUBWA PAMOJA NA WATOTO WAO. Kwa kifupi Baba ameshatangulia mbele ya haki na kwa mila za huko kwa akina XPIN mtoto wa kwanza wa kiume ndo anatakiwa achukue nafasi ya Ubaba,ndio...
  12. Prodigal Son

    Vijana bado hamjachelewa

    Hii habari imenifurahisha saana nimechukua tu sehemu, naona itakuwa ni changamoto kwetu kama mtu ambaye darasani alikuwa hana akili, amekuja hanakitu leo umaskini wake umekuwa ni historia, How I became a billionaire in 10 years ,,,,,,,,,,,,,, 35-year-old Kamal Budhabatti Born in the West...
  13. Prodigal Son

    Obama granny now DR SARAH OBAMA

    US President Barack Obama's grandmother may not have seen the inside of a lecture hall but hence forth, she is Dr Sarah Obama. The Great Lakes University of Kisumu (GLUK) conferred the 87 year old granny a honorary Doctorate of Letters during its fourth annual graduation ceremony held on...
  14. Prodigal Son

    Race on to unseat Kenya from region’s leadership

    Race on to unseat Kenya from region’s leadership The Chinese seem to have dug up every road in and around Nairobi to expand them, build overhead bypasses, and all manner of ring roads. The effort currently under way in Kenya to redo the city roads is rivalled only by what the Ethiopians did...
  15. Prodigal Son

    Government seeks new investor to operate KIA

    The Government is looking for a new investor to run the Kilimanjaro International Airport (KIA) after terminating the Kilimanjaro Development Company (Kadco) contract over poor performance. Infrastructure Development ministry permanent secretary Omary Chambo told ‘The Guardian’ in an interview...
  16. Prodigal Son

    Tanzania telcos get down to price wars

    Telecommunication firms in Tanzania have taken their war for subscribers to calling rates after years of competition based on wide area coverage, quality communications and technology innovation. According to Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) acting corporate communications...
  17. Prodigal Son

    Sweet and sour Kikwete

    Sweet and sour Kikwete: The two sides of Tanzania’s president With the general elections set for October, Tanzanians are asking themselves what kind of Head of State have we subjected ourselves to in President Jakaya Kikwete - popularly referred to as Jay Kay. Whatever reasons drove us to...
  18. Prodigal Son

    Confusion in Kigali exacerbated by information vacuum

    Confusion in Kigali exacerbated by information vacuum Coming only a few weeks after a former ambassador of Rwanda to India, Lt-Gen. Kayumba Nyamwasa (who is also former chief of staff of the army) fled to South Africa, news early last week of the arrests and jailing of two generals, Maj-Gen...
  19. Prodigal Son

    To make quick money, start your own church

    To make quick money, start your own church By Arusha Times Reporter Monotonous high pitched voices, unintelligible prayers and corrupted gospel songs that disturb your neighbourhood daily could be a scam designed by imposters who are all out to make money in the name of the Lord. Watch out...
  20. Prodigal Son

    Small is beautiful? Big Brother will swallow you

    By CHARLES ONYANGO-OBBO Over the Easter break I was catching up on newspaper clippings I have been saving, but hadn’t got round to digesting. I found an interesting one from the Independent of London late last year, in which Sudanese-born billionaire Mo Ibrahim (he of the $5m African Good...
Back
Top Bottom