Search results

  1. C

    Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita muda huu 18.03.2024 saa 16:16

    Wadau msibishe. Wanyama wana uwezo wa kung'amua (detect) tetemeko muda mfupi kabla halijatokea. Wakiwepo eneo utaona wanaanza kukosa utulivu n.k Kwa ambao hamfahamu, hadi hivi leo hakuna njia yoyote ya kisayansi inayoweza kutabiri uwepo na ukubwa wa tetemeko la ardhi. Ni hadi litokee ndipo...
  2. C

    Disemba 1, 2023: Siku Ya UKIMWI Duniani

    Mwaka huu kilele kinafanyikia wapi?:)
  3. C

    Sheria ya gari kugonga treni imeshafutwa Ulaya

    Juzi hiyo hiyo pia vyombo vya habari vililiripoti gari ya mheshimiwa DC wa chamwino iliigonga treni eneo la Iyumbu mkoani Dodoma na kusababisha majeruhi. Kimsingi nadhani wakati Sheria ikitungwa, usafiri wa Treni ulikuwa ni moja ya tegemeo kuu kwa maeneo mengi ya nchi yetu na pia idadi ya...
  4. C

    Anayekutawala amekuzidi Akili

    Mtoa mada unachanganya "Mifumo" na "Akili". Au basi.
  5. C

    Anayekutawala amekuzidi Akili

    Hii ni kweli kwa utawala wowote ulio wa HAKI. Bali ulimwenguni zipo tawala nyingi za MABAVU na zile zilizotokana na FURSA/UPENDELEO/KURITHISHANA. Kwa tawala za jinsi hii hata kama watawaliwa wana akili kuzidi watawala, hawana budi KUUFYATA kwa kuhofia madhara..
  6. C

    Uliondoka kwenu na kuhamia kwako ukiwa na umri gani?

    29 years old. Nilikuja kuiuza baada ya kujenga zingine na kuhama maeneo hayo.
  7. C

    House4Rent Frem za biashara zinapangishwa Dodoma Mjini katikati

    Bei ya biashara halali haipaswi kuwa ya kificho
  8. C

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    JF waweke search function ya kwenye comments ili kutuepusha kusoma kurasa 283 tukitafuta comment mahsusi ya birthday mate. doh!😢🥲
  9. C

    Wenye ndoto za kuhamia nchi za Ulaya tukutane hapa

    unahama nchi yako ili iweje? Ugenini nenda katembee urudi.
  10. C

    Waliochelewa kuripoti JKT wakataliwa kupokelewa

    Tuseme ndio wamewakazia jumla? au usikute baadae watalegeza, watatoa tangazo la kuwaita?
  11. C

    Ni msiba mzito wa kitaifa huko Algeria Leo, kila la heri USM alger

    Tuliza makalio yako mahala yalipo ili Yanga wakushangaze leo
  12. C

    Financial services popote ulipo nakupenda sana

    infact financial services sio ke. ushahidi upo. acha wajichanganye
  13. C

    Mercedes-Benz itawaua watanzania asee

    Hadi huruma
  14. C

    Vita na mafisadi na wauza madawa ni kukiendea kifo?

    Unang'ata na kupuliza
  15. C

    Ni vigezo gani kupata nafasi ya kusoma Open University Tanzania.

    huwa ni wazito kidogo kwa mawasiliano ya mtandaoni. awafuate ana kwa ana kwenye vituo. Dar vipo vingi, na mikoani karibia mikoa yote
Back
Top Bottom