Search results

  1. Mzito Kabwela

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Wewe unazungumzia Matokeo, hujui root causes. CDF amefanya kazi yake ya kutufahamisha nia ovu ya Sukuma gang dhidi ya Mama Samia. Wakajisahau kuwa kama Mungu ameruhusu kifo kitokee yeye ndio anayeruhusu nani awe Rais
  2. Mzito Kabwela

    Ni laana kwa familia ya Mbowe kuwadhurumu waandishi wa habari wanyonge

    Basi zungumzia DHULUMA ya Magufuli
  3. Mzito Kabwela

    Godbless Lema kutikisa Power Breakfast

    Siku hizi zipo online media nyingi Lema anaweza kufanya interview na akasikika na watu wengi. Sioni umuhimu wa yeye kwenda kwenye redio ya CCM
  4. Mzito Kabwela

    Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

    Mjadala wote huu unaonyesha JMT sio moja. Mfano Rais akiwa ni Mchagga, akifa akaenda kuzikwa Rukwa wala hutasikia makelele, Lakini ikitokea akataka akizikwe Chake Chake, kwanza wapemba wanaweza kukataa kutoa ardhi yao, na kama wakitoa yataibuka makelele kwa nini kazikwa Pemba. Mzee Mwinyi ni...
  5. Mzito Kabwela

    DOKEZO Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa anatumia vibaya cheo cha baba yake

    Huyo dogo mwenyekiti wa UVCCM Chalinze unamjua vizuri? Usitetee kila kitu kibaya cha CCM
  6. Mzito Kabwela

    Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

    Lucas mwashambwa hajaenda kuujaza uwanja pamoja na Chawa wenzie?
  7. Mzito Kabwela

    Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

    Kwani jana pale Shamba la bibi kulikuwa na nyomi?
  8. Mzito Kabwela

    Tetesi: Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea uenyekiti wa kamisheni ya AU?

    Kwaiyo JK atakuwa ndio Commander in chief wa Vikosi vya kulinda amani DRC?
  9. Mzito Kabwela

    Askofu Malasusa ataisambaratisha KKKT

    KKKT haipasuki, haisambaratiki. Ikibidi atapasuka yeye huyo uliyemtaja. Hata yeye anajua. Uzuri wake nyakati zimebadilika, watu wanaweza kutambua series of events. Wapo Kimya usidhani hawajui kinachoendelea. Acheni tumwabudu Mungu
  10. Mzito Kabwela

    Kinachofichwa ni hiki, umeme ni tatizo kubwa kuliko tunavyoambiwa

    Hizi ndio hoja sasa za kujibia hoja ngumu kama za umeme
  11. Mzito Kabwela

    SPIKA TULIA ACKSON: Tujadili vitu vya muhimu Bungeni Ila sio Kuuliza kuhusu Maswala ya vyoo

    Kwaiyo spika anataka watu wakienda mahospitalini WASINYE?
  12. Mzito Kabwela

    Spika Tulia: Tusijadili masuala ya vyoo Bungeni

    Sasa wagonjwa hawana pa kunyea wakimuuliza mbunge hana majibu sasa mbunge akaulize wapi?
  13. Mzito Kabwela

    Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

    Kweli aisee. Kuna dada mmoja hapa ukonga ana jina la kiislam lakini anatoa utumbo mpana kama zawadi. Nikamuuliza nilikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya kiislam, wewe si muislam mbona unatoa sana kisoda? Akasema hajawahi kusoma dini
  14. Mzito Kabwela

    Nimetega Wasafi Tv, nasubiri Madini kutoka kwa Jasiri Tundu Antipas Lissu

    Kwanini kina Mwaipaya na Hilda Newton watudanganye?
Back
Top Bottom