Search results

  1. K

    Habari za kifo cha Dr. Kawambwa sio za kweli, ni uzushi mtupu!

    Ahaaha..labda alichepuka akaamua kudanganya yupo Canada ya Belgium..kumbe Anawahi kimchepuko Mwanza... Rip kawambwa dies with GP zero
  2. K

    Masikini UKAWA

    Hongera kwa kushabikia wanafki...katiba ya unafki yaja..
  3. K

    Msaada tafadhari

    Habari ndugu, vipi ulifanikiwa tupe mrejesho kwani wenye matatizo tupo wengi!
  4. K

    Mwigulu atekeleza zaidi ya 80% ya ahadi Jimboni

    Bado mpo enzi za kibanga kampiga mkoloni? Bado mnaota kura kwa njia za kikoloni! Je wanairamba wanamiliki nini? Au amewafanya wapiga kura wake kuwa manamba? Bado siamini kama mchumi inaweza kufukiri kwenda kuleta walowezi kuja kwanyonyo wanairamba....kwanini usifikirie namna ya wanairamba...
  5. K

    Mombasa port loses business as exporters opt for Dar es Salaam

    na hadithi yangu ikaishia hapo!
  6. K

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Serikali haina pesa...ila waiopewa dhamana ya serikali wana zidi kuyanufaisha mahitaji yao.....their time is not far ,,,wataumbuka kama kufanya deal na mhindi/mthungu wakati ukiwa na dhamana ya cheo... 300blns,1trilion....nimeipenda ile ya PB leo " Acha zije zitarudi tena huko huko"
  7. K

    Matokeo ya Kibonde yabandikwa UDSM

    DU kumbe shule za kata zimeanza enzi hizo!!
  8. K

    Elections 2010 Vioja vyaanza rasmi Bungeni

    ssm wanampango wa kupeleka FFU bungeni, kwani imewafaa sana kwenye kupora ushindi!!!!!
  9. K

    Elections 2010 Wananchi wasambaratishwa Nyamagana

    IGP yuko wapi! kutosa bosi wake
  10. K

    Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

    vipi hukuwa na Camera!
  11. K

    Baada ya Kuzuia Tangazo, TBC yajikosha kwa Policy Forum!

    "Shikamoo!!! Naomba kuwa DG then ..... Nitawafix wadanganyika, you are good and capable! Njaa hizi zitatumaliza!" by Doti
  12. K

    Elections 2010 Mabinti watumiwa kumrushia Mbowe kombora!

    Duh! Changu aliposikia mgao ni mkubwa akipiga cm kuomba mgao! Vote for Changes!
  13. K

    Walimu mwaka huu nje kusimamia uchaguzi?

    Naamin kura za walimu hazimsadii kitu kwa ssm!! ila zinamsaada kwa upinzani. ssm inambo mambo ambayo ni vigumu kufikiria kwani wanafikiri urahisi wa kutoa rushwa kwa hao wanakijiji kwani wafanyakazi walishawachoka kuwaunzia haki zao!!! Mfa maji hachi kutapata!!!
  14. K

    Elections 2010 Waliotoka mjengoni ni hawa tu?

    Omari Babati Mjini??? Ila Bado siunajua tena Mzee wa fadhila!! anaweza kuwarudisha wengi mjengoni akidhani anatoafadhila kumbe! anawapa upinzani Majimbo?
  15. K

    Gari la Mbunge Mkono lateketezwa kwa moto

    Nadhani alimgonga mwanaharakati wa Chadema
Back
Top Bottom