Search results

  1. N

    TANZIA: Mpiga picha maarufu, Mpoki Bukuku amefariki dunia

    Mh naibu waziri wa kazi Antony Mavunde,amewaaili kwenye mazishi
  2. N

    TANZIA: Mpiga picha maarufu, Mpoki Bukuku amefariki dunia

    Nipo kwenye msiba wa Mpoki r.i.p
  3. N

    Kauli hatari za ubaguzi Star Tv leo asubuhi

    Unategemea nini kesi ya nyani kumpelekea ngedere?
  4. N

    Akisimama Makonda Mungu kasimama, je akisimama Magufuli nani kasimama?

    Anguko la huyu bwana mdogo litakuwa kubwa na kishindo muda si mrefu time will tell
  5. N

    Wakati wewe unasugua goti huku ukisema Yesu akuone.... Wenzio wanapiga nae sefie tu uswazi....

    Ni makosa makubwa kufananisha picha za wanadamu wa kawaida na Yesu mwana wa Mungu,huyu aliigiza maisha ya Yesu tu,lakini yeye ni mwanadamu wa kawaida
  6. N

    Kampuni ya MURO yatangaza kuuza mabasi yake, nini kipo nyuma ya pazia?

    Nadhani sasa ni wakati muafaka wa serikali yetu tukufu kupitia TRA wakae na wafanyabiashara ili kuona namna gani wanasaidia hawa watu. Maana kama wadanyabiashara wengi wanashindwa kuendelea na shughuli zao sababu ya kodi ni hataru sana. Je wote wakianza kufanya hivi serikali itapata wapi mapato...
  7. N

    Arusha: Afariki akiombewa kwa Nabii Rajabu, akutwa hana nguo na nyusi

    Wachungaji wa makamisa mengi nu watu wazuri sana,wala usiwalinganishe na manabii wa ajabu ajabu,mtu anaanzisha huduma yeye ndiye askofu,nabii,mtume na kila aina ya cheo,kanisa lake lipo hapo mahali pamoja,asipokuwepo hakuna kinachoendelea,atakalo sema yeye ndiyo mwisho,hana cha mzee wa kanisa...
  8. N

    Kwa Mshahara huu Sh Milion 180 bora Bodi ya Mkopo ifutwe. Hazina, TCU, TRA na serikali wadai wadeni

    Wannakuelewa? Unachozungumza ni point,je hao wenyewe wanaelewa? Ni sawa na sisi tunadunduliza vihela vyetu kupeleka nssf,lakini wafaidika wakuu ni menejiment maajabu ya tz
  9. N

    Mpende mke wako mzuri

    Umenena vema sana mtumishi,mke wako ni wako tu,hata angekuwa na sura ipi. Mungu alikupa huyo mpende wakati wote
  10. N

    Mkuu wa Wilaya ya Geita kapiga marufuku mikesha ya waumini wa kikristo

    Mbona unatokwa na mapovu mkuu,bila hizo kelele za dini hakuna ustaarabu,hakuna amani hata hizo sheria kuzitii hakupo. Kwetu sisi waafrika dini zimetusaidia sana. Wakati Mungu anataka kuiadhibu sodoma na gomora nabii Ibrahim alimuuliza je utaharibu mwenye haki na mkosaji Mungu alimhakikishia...
  11. N

    Rais Magufuli aagiza Viongozi wa Serikali kurudisha posho za safari ya kuhudhuria kilele cha Mwenge

    Mwenge mwenge mwenge,kwa mara ya kwanza katika maisha nilisikia kiongozi wa mwenge mwaka huu akiamurisha mwajiriwa wa serikali aswekwe ndani kisa hakuwepo kwenye shughuli,mamlaka ya kumweka mtu ndani aliyapata wapi? Huyu kiongozi wa mbio za mwenge?
  12. N

    Unamkumbuka kwa lipi..?

    Tulisoma bure kuanzia darasa la kwanza hadi chuo kikuu,siku hizi ni majanga tu mikopo mara wengine wakose, nk
  13. N

    Kumbe kumtukana refa bongo rukhsa.

    Kila kitu kinawezekana hapa m-tz
  14. N

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Kama alileta ubabe si wamrudishe nyumbani,kuliko adhabu wanayompatia,hivi bahati mbaya huyu mtoto akapoteza maisha yake,picha itakuwaje?
  15. N

    Simulizi za Abunuasi...

    Kipo kisa kimoja ambapo bwana mmoja aliota ndoto amemtaliki mkewe,akaenda kwa kadhi na kumsimulia juu ya ndoto yake,yule kadhi akamwambia yule bwana ni sharti amuache mkewe. Yule bwana akamuacha mkewe,baada ya siku si nyingi yule kadhi alimuoa yule mwanamke,yule bwana alisononela sana kwa kua...
  16. N

    Madam Ritha wa BSS Kufilisiwa

    Pole sana madam umewainua watu mpaka sasa wengine ni mamilionea,sasa wewe leo upo katika hatari ya kufilisiwa! Kosa lako limeanzia wapi? Nadhani pale ulipoamua kuhamisha bss yako kwa mbwembwe kwenda kuleee!!!
  17. N

    Rais wa Botswana ''amtaka Mugabe kujiuzulu''

    Ila kusema kweli huyu jamaa amechoka ni vizuri aachie damu changa,ili walete mageuzi ya uchumi.
  18. N

    Muhongo atabwaga manyanga?

    Inachekesha sana hapa Tanzania,watu hawa walielezwa jamani hizi pesa za escrow ni za watanzania. Hata profesa mwenyewe alikataa,sasa mambo yamegeuka wachache walifaidi fedha hiyo na kudiriki kusema 10m ni hela ya mboga tu. Watanzania wote sasa tunalazimika kulipa fedha hiyo. Kafulila tunakukumbuka
Back
Top Bottom