Search results

  1. R

    Mitsubishi Pajero iO inanitesa

    Pole sana kwa kuteswa na Pajero io, ambazo waswahili wanaziita GDI. Hizi ni gari nzuri sana na za kisasa, mafundi wengi wamezoea kubabaisha ndiyo maana watu wanadhani zina matatizo. Ningekushauri uipeleke Pugu Rd kwa mafundi wa Mitsubishi (Diamond Motors) au mafundi wa Bosch, wataangalia tatizo...
Back
Top Bottom