Search results

  1. W

    Jamani tuamke (ujumbe kutoka SUA)

    Yap Bobby ebwana nakusalute kwa mikono yote miwili. yaani hiyo imekaa njema saaaan. upo hatua kadhaa mbele. mimi naendelea kulifanyia kazi hilo swala lako. ila kuhusu leseni nadhani nivyema ukawacheki watu wa TRA kwa maana hapo inakuwa ni ki biashara zaidi. kuhusu TIB sizani kama wanahitaji...
  2. W

    Jamani tuamke (ujumbe kutoka SUA)

    Ni kweli unachosema Koba, misitu na facilities kibao. ishu huwa katika information na utekelezaji wa mipango. mtu mmoja anaitwa Les Brown alisema. utajiri mwingi upo makaburini. kwa sababu watu walikuwa na mawazo mazuri sana lya maendeleo lakini wamekufanayo kwa sababu hawakuyatendea kazi ili...
  3. W

    Jamani tuamke (ujumbe kutoka SUA)

    realtor nakushukuru sana ndugu. kwa bagamoyo anzia fukayosi mpaka kiwangwa yoye hile imekaa njema sana.mimi nipo fukayosi na jamaa wamechimba mita 2 tu wanchota maji ya kisima. pia hii ni moja wapo ya vigezo vya kupatia mkopo TIB. Lakini usinunue eneo lolote mara tu baada ya mto ruvu manake...
  4. W

    Jamani tuamke (ujumbe kutoka SUA)

    Swafiiiiii kijana. hiyo imekaa njema. usisahau pia kuchimba kisima cha kumwagilia maji kwani waweza kuwa unavuna mazao mara 3 au zaidi katika mwaka hasa katika maeneo yenye kuotesha vitu vingi kama bagamoyo. Mimi pia nipo katika mchakato huo. baada ya kununua nimepita katika taasisi za fedha...
  5. W

    Jamani tuamke (ujumbe kutoka SUA)

    Habarini wana jamii kwa wataalam wa kiswahili mtanisamehe kama habarini si neno sahihi ila ni kuwapa hi tu jamani. Bandugu, dogo letu moja linasoma chuo kikuu cha kilimo cha sokoine. likamfuata likaka letu lingine huku likilia machozi na kusema, kilasiku huwa linasahau kuleta ujumbe lililopewa...
  6. W

    Hii kesi unge shauri nini???

    Jamani ni soo,usisikie kumegewa afu ujue kuwa watu woote wanajua hivyo. unaweza ukavaa suti afu ukikutana nao tu ukajihisi umechojoa zooote mbele ya watu. hatakama alimkuta kaguswa, the moment wamejoin ikawa ukurasa mpya. asa daaaaa katika hili nazani mimi ntakuwa na bias nikishauri manake...
Back
Top Bottom