Mkuu ukweli hakuna mwenye haki juu ya uhai wa mwenzake . ila hizi silaha zinatengenezwa na binadam dhidi ya binadamu wengine, Haya mataifa tunayoishi yamejengwa kwa jasho na damu hivyo watu wanatumia jasho na damu kulinda haya yote.fikiria raisi wa ukraine angelisema tokea mwanzo kuwa taifa lake...
kitu
anachokifanya Putin kwa mbeleni kina manufaa sana kwa taifa lake ila kwa kuwa kila kitu lazima kiwe na upinzania ni lazima wengine wasimame wazungumze. kila mtu anaelewa umuhimu wa taifa kuwa kitu kmoja na kulinda mipaka yake anachofanya putin ni kulinda taifa lake dhidi ya mataifa ya nje...
Mkuu hii ni kozi nzuri sana ya kusoma of which inasaidia kukupa uwanda mkubwa kwenye policy , Planning and education hii ni sawa na wale waliosoma BA in Political science and Public Administration
kwenye Maisha yangu nimemwomba Mungu nimiliki hizi gari tu. Nina uzoefu wa miaka mitatu natumia hizi gari aisee ni nzuri over watu wanavyosema unapita popote na zina stability nzuri sana barabarani. Ukitaka uzifaidi zaid tumia ambazo ni petrol hutakaa uache hizi landrover ni zaid na Zaidi.
mu ole na majukumu kuna njia naweza kukushauri nenda pale jangwani kuna malori then ongea nao wanaweza kukusaidia ila andaa kabisa document zote za pikipiki na ikiwezekana ingia mkataba na hao jamaa.Au njia nyingine ambayo ni safe Zaidi fungua hiyo pikipiki ibaki kwenye box kama yale...
mkuu nakumbuka asubuhi moja naelekea job tumefika ubungo kwenye mwendo kasi kuna mdada alikuwa anatapika ile ametoa kichwa nje kutapika mara jamaa akapita na landrover akatoa maji akampatia yule binti kwa dirishani then jamaa akaelekea zake mwenge na yale maji yalikuwa hayajafunguliwa ila watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.