Search results

  1. M

    Namshukuru Mungu!

    Duh! Pole MJ,Mshukuru Mungu kwa yote na tunawaombea mpone mapema
  2. M

    Kevin Chuwang Pam proposed to Elizabeth Gupta!

    Masanilo binti wa kipemba umemwacha? vipi tena wamtolea macho Liz?
  3. M

    Ndevu kwa Wanaume: Kuota (nyingi) au kutokuota, nini tatizo? Nini kifanyike?

    Imani yako ndio uponyaji wako! Unaweza ukaenda kuombewa na ndevu zisiote kama huna imani mwishowe uwaone watumishi matapeli. Kikubwa hapa ni imani yako!
  4. M

    Movies gani unapendekeza nitafute

    Vick Christina and Barcelona Proposal
  5. M

    Mpenzi anitaki tena...nifanyeje...

    Jamani mi sifikiri kama ni sahihi kumhukumu huyo dada. Kulingana na maelezo aliyotoa inawezekana kweli swala la dini ni tatizo kwa familia yake si kwake tu.Na katika hali kama hiyo afanye nini kama wazazi wameonyesha kutokubali?
  6. M

    Mara ya Kwanza!

    ha ha ha ha ha ha Mwenzio anazungumzia cku ya kwanza kwa wanandoa siyo michezo ya baba na mama wakati ule wa utoto
  7. M

    Samahani sana Mbw....o

    ZionTz kwani nini maana ya jokes?
  8. M

    Milioni 2 hufa kila mwaka kwa ukimwi

    Kwani HIV inaambukizwa kwa kujibu hoja au kutoa hoja hapa jamvini?Au nawe upo kati ya wale wanaotafuta wenza hapa jamvini na hawana uthubutu wa kupima
  9. M

    Best Tanzanian radio and TV ads

    zain (uhuru wa kuongea............)
  10. M

    Natafuta Rafiki wa kike Girlfriend

    Mbona hujatoa umri wako?
  11. M

    JF Member of The Year is...

    Nguli Fidel80 Masanilo Nyani Ngabu (Hivi yuko wapi huyu mtu nowdays simuoni kabisa) Pakajimmy Chrispin Geof
  12. M

    Binam nyama ya ham!

    Kuna baadhi ya makabila kwao ni sawa kwa mtu kumuoa binamu yake, mfano watu wa Mafia nina mfano ulio hai. Ila kwa upande wako inaonekana hairuhusiwi ndo maana unaogopa familia ikijua. Ushauri wangu usijaribu kummega binamu yako.
  13. M

    Mafanikio na Maanguko kimapenzi 2009, Nini tufanye 2010?

    Mwenzenu 2009 imekuwa mbaya sana kwangu,nimeachika mara mbili na kosa ckuwahi kuambiwa
Back
Top Bottom