Search results

  1. kilimasera

    Paul Kagame hana hata Diploma, soma historia yake hapa!!

    Hahaaa kweli post ya zamani sana hii naona dua zangu zimetiki kaka lakini huyu sio dikteta
  2. kilimasera

    Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

    Mbona hamzungumzii ngoma?au mnatumia zana
  3. kilimasera

    Watuhumiwa ESCROW wajiengue wenyewe - Maria Nyerere

    rumbesa,matenga viroba na sandarus
  4. kilimasera

    Mashoga wazidi kuongezeka Bongo, nini hasa sababu? Au wateja wamezidi kuwa wengi?

    mtoto huyu vipi...mto sio rizkiii..hashughulikiii...wanamwita kaka poa..jamani alisema Solo thang
  5. kilimasera

    Hii tunaitaje

    iko wapi
  6. kilimasera

    TAMISEMI/ utumishi wasaidieni watumishi kwenye halmashauri ni mateso

    Hahaa kaka sio wote bwana ni huyo wa huko kwenu kwani upo wilaya gani ili tumfuatilie
  7. kilimasera

    Cancer inachukua maisha yangu

    real it painfull pole sana nadhani kama sio figo zone angalia uwezekano kwa kupitia ushauri wa madaktari kama wanaweza kutoa au kubadilisha moja kabla haijasambaa sana kweli nimeguswa sana
  8. kilimasera

    Mtazamo wa wanazi wa Arsenal juu ya Ozil!!

    RAMSEY mwaka huu ameanza vizuri
  9. kilimasera

    Bileku mpasi

    KWA wapenzi wa muziki watakumbuka kuwa bendi ya Empire Bakuba ilianzishwa na watu watatu, marehemu Joseph Kabasele Yampanya 'Pepe Kalle', Papy Tex na Dilu Dilumona miaka ya 1970. Lakini, pamoja na bendi hiyo kuasisiwa na watatu hao na baadaye kupewa nguvu na Jojo Ikoma, ni vigumu kutaja...
  10. kilimasera

    Orodha ya wagombea wanaowania kumrithi mh. Lowassa jimbo la Monduli

    Angalieni na shule zao je zinaweza kuwafanya wateuliwe kuwa mawaziri??au ndo za kuishia kwenye ubunge tu
  11. kilimasera

    Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

    Trafki nao wamo du kweli hawa jamaa wanatisha kwenye uchumi wa nchi
  12. kilimasera

    Mabilioni yakwapuliwa serikalini

    imeniuma sana Monduli duh inakuwa mfano kwa taifa
  13. kilimasera

    Ni Kweli Sheikh Ponda Ndio Suspsect Wa Waliomwagiwa Tindi Kali Zanzibar?.

    TANZANIA ya sasa sio ile tuliyoizoea yaani hii serikali tuliyo nayo imeprove failure bora hata kipindi cha mkapa hakukuwa na ujinga huu nitawalaumu daima serikali ya CCM ndiyo chanzo cha yote haya mbona kipindi cha awamu ya tatu hakukuwa na wakina PONDA wala habari zao kila kiongozi...
  14. kilimasera

    Hotuba ya Rais Kikwete Mwisho wa Mwezi Julai: Amjibu Kagame!

    tatizo letu na Rwanda si kauli za JK hapana naona kama ni ile hali ya kupeleka majeshi kongo kupambana na M23 ambao asili yao ni waasi kutoka Rwanda hivyo tumemzibia kagame mianya ya Uchumi ndio maana anatapatapa
  15. kilimasera

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    pipooooooooooooooooo pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom