Kuna kauli ilitolewa na Mwanachama mwandamizi wa makolo MINOCYCLINE , rejea huu Uzi Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3
Wote tunajua hii account ni ya nani humu, so sitokuwa na haja ya kumtaja.
Ninachotaka kusema, kwavile...
Siku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha
Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena.
Natoa...
Hii simulizi, kwa namna moja au nyingine, ina link na simulizi yangu ya kwanza kabisa hapa jukwaani Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...
Maswali mengi ambayo hamkuyapatia majibu kwenye simulizi ile, basi mtayapata kwenye hii ya sasa. Na mengine ambayo hamtoyapata humu, pengine...
Inapotokea kwenye mahusiano kuna sintofahamu ya aina yoyote, hapo ndio strength ya bond huwa inapimwa. Mengi hutokea, usaliti, dharau, uongo n.k ambavyo vinaweza pelekea uhusiano kuvunjika.
Na panapotokea mgogoro mzito sana, yule aliyekosewa huwa na option mbili, asamehe au achukue hamsini...
Muda mchache uliopita nimesikia mambo ambayo yamenistaajabisha sana. Nilienda salun kwa ajili ya kunyoa, kwavile palikuwa na foleni, nikawa nimekaa kwenye benchi nje, nachezea simu huku nasubiria zamu yangu ifike. Pale pembeni palikuwa na salun ya kike, yaliyokuwa yanazungumzwa humo ndio...
Unapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case.
Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka...
Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali kadhaa, ambayo mengi sikuwahi kuyapitia majibu. Kwa mtazamo wangu, nadhani kukosekana kwa ushindani kwenye sekta kadhaa, kunafanya hata upatikanaji wa huduma hasa za kijamii ziwe mbovu/hafifu.
Ushindani ni nyenzo kuu linapokuja swala la huduma bora...
Mwaka unaelekea mwisho, ila kama ndugu/Jamii moja basi tunastahili kushauriana baadhi ya vitu, ili walau mwaka ujao tuuanze tukiwa na mentality mpya kwenye baadhi ya mambo.
Maisha ni magumu, na tunalalamika kuwa ni magumu, lakini approach zetu kwenye baadhi ya mambo ndio huwa zinaongeza ugumu...
1st Portion:
Nimepitia nyumba kadhaa za kupanga, visa na Mikasa ni mingi, ila kuna hii moja sitoweza kuisahau kirahisi. Hii nyumba ipo (ilikuwa) maeneo Fulani, jijini Dar Es Salaam.
Baada ya kuoneshwa nyumba kadhaa na madalali, ndio nikaangukia kwenye ile nyumba. Wamiliki ni watu wa...
Uwepo wa mwanga wajua una faida kubwa sana kwenye maisha yetu. Pindi giza linapoingia, mwanadamu akili yake inabadilika kabisa kwa 100%.
Mwanga wa jua unatusaidia ku-behave vizuri na ku-hide our insanity.
Nishakutana na matukio mengi sana mida ya usiku ambayo in real sense huwezi amini...
Wote ni mashahidi kuwa Sensa ya mwaka huu ilikuwa na promo sana ukilinganisha na zilizopita, na dhumuni kubwa ni kuongeza hamasa kwa wananchi ili waweze kushiriki.
Ila kama ilivyokuwa kwa post code(anuani ya makazi), sensa inaharibikia mwishoni, na data zitakazokusanywa hazitakuwa na uhalisia...
Kwenye mahusiano Kila mtu ana mtindo wake wa kuyaendesha. Kuna ambae ni playboy, hana muda wa kusettle na mwanamke kwa muda mrefu, anapiga na kuacha. Kuna dada ambae ameamua kuwa mdangaji, yupo kimaslahi zaidi, yeye ni kutengeneza pesa kupitia mwili wake. But all in all huwezi kuwa Playboy au...
Unajua mahusiano yanachangamoto nyingi sana, na hazifanani. Kila mmoja kwa sehemu yake anapitia changamoto katika mahusiano. Sasa inapotokea umefanyiwa mabaya na mtu uliyenae kwenye mahusiano, sio jambo zuri kuyaweka wazi mabaya yake hasa kwa ndugu zako au watu wako wa karibu sana.
Unajua...
1st Portion:
Na hii sio utani, sijivunii mama wa mtoto wangu. Sio kwamba nililazimishwa kuwa nae, hapana. Na katika kipindi chote nipo nae kwenye mahusiano nilikua muda mwingi anatawala mawazo yangu, na hata kuachana kwetu, ni yeye ndio aliniambia muda umefika nikatafute mtoto mwenzangu wa...
Huwa napataga ukakasi sana kuandika about my love life. Na hii inatokana na ukweli kwamba, kwenye mahusiano furaha uwaga tunaiforce sana, nguvu inayotumika ni kubwa ili kuhakikisha tunamaintain furaha, Ila katika uhalisia disappointment ni nyingi Sana.
Any way, tuachane na ilo, turudi kwenye...
Sijajua umetumia idea gani kuchagua ID yako, Ila tambua unatumia ID fake, lakini uwepo wako humu ni real, na yale yote utakayo sema humu, yatakuwa yanawakilisha uhalisia wako. So behave well.
Mgeni, katika Uzi wowote utakao anzisha humu, wale watu watano mpaka kumi wa kwanza kuchangia ndio...
Naanza kwa kusema, poleni mliokosa na hongereni mlioona majina.
Ila tukisema tuangalie uhalisia, naweza sema TAKUKURU haijawatendea haki waliofanya usaili ule. To be fair, why wasingetoa majina na marks kila mmoja alizopata, huku wakiainisha cut-off points?
Tuachane na lile swala la baadhi ya...
Ipo wazi kuwa katika mfumo rasmi wa maisha ya mwanadamu, huwa unahusisha pia muunganiko wa jinsia mbili tofauti (ndoa). Ila kwa kadri siku zinavyoenda, muunganiko huu umegeuka kuwa changamoto sana badala ya kuwa msaada kwa wawili hao, kama ilivyokusudiwa.
Now days migogoro imekuwa mingi sana...
Sitaki kuongea mengi, pitia haya maandishi kutoka kwenye hii nyalaka, ambayo kwa muonekano ni kama vile ni ya Roman Catholic.
Ninachotaka kujua, hii tafsiri ni sahihi? Na Je, kama sio sahihi, basi hao washenzi wa Afrika waliokusudiwa ni kina nani?
Hii nyalaka nimekuwa nayo zaidi ya mwezi sasa...
Natumai thread hii inakukuta ukiwa mzima wa afya kabisa.
Tukirudi kwenye mada husika, kama walivyo wananchi wengine, nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa hii kesi. Mwanzoni wakati nasoma mwenendo wa kesi mtandaoni, nilikuwa napata tabu kuelewa nia hasa ya mawakili wa utetezi, kwa nama walivyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.