Search results

  1. M

    Ole Sendeka: Marufuku vyama vya upinzani kufanya vikao mkoani kwangu

    Ila wadau wa siasa inabidi wajipange kisayansi kuikabili hali hii. 2019 hadi 2020 kipindi cha MWENDOKASI ili nchi nzima ishiriki
  2. M

    Ole Sendeka: Marufuku vyama vya upinzani kufanya vikao mkoani kwangu

    Amuulize jirani yake Hapi alifikia wapi na ile amri ya kumtaka Hilda aripoti polisi?
  3. M

    Ukweli lazima usemwe: Rais Magufuli hana mpinzani mwaka 2020!

    We need Divine Intervention. Mungu yuko kazini!
  4. M

    Nyota ya Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salimu Mwalimu yang'ara

    Tatizo la CDM ni moja nalo ni ukabila na uanaharakati. Huyo bwana mdogo sasa hivi atapukutika. Kwa sababu wenzie ni biashara na ulaji tu.
  5. M

    Mnyika: Maharamia wamefanya uharamia kupitisha Katiba Haramu

    Wewe mtatiro hata hio degree ya sheria unayoisomea hata ukiipata ukienda mahakamani huwezi kuwa wakili mzuri. Maana uko mufilisi wewe!
  6. M

    Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Vipi kwa mtu aliondolewa prostate hio dawa itafaa? Maana tadafil ya 50 gm inafaa ila baadae kichwa kinauma. Hebu nisaidie ndugu
  7. M

    Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    Mbona yule kiongozi wa chadema naye anawajua sana wenxake aliokuwa akifanya nao biashar hio enzi zile?
  8. M

    Lifahamu tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

    Vipi kwa mtu ambaye kafanyiwa opertion ya prostate ambaye nguvu hupungua. Hizi dawa zinasaidia?
  9. M

    Waziri Bernard Membe kalipotosha Bunge kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa

    In brief tanzania position yake ni mstari wa mpaka upite katikati ya ziwa mpaka usawa wa mto ruvuma na position ya malawi mpaka wote ni wao kwa mujibu wa article I of heligoland treaty. Sisi pia tunaitumia hiyo treaty kupitia Article VI. Sasa issues nyingine oh tulikuwa wapi siku zote ni...
  10. M

    Askari alokutwa hospital ndie mtuhumiwa no.1

    Sasa Mpoki unalalamika nini? Wale watanzania mliowagomea kuwatibu bila shka mmeelewa machungu yao. Nyie madktari hamna lolote just a bunch of cronies of chadema! Unallamika ulimboka kchelewa kupewa huduma? Nyinyi mnavyogoma kuwapatia wananchi huduma? Shame on you!
  11. M

    Mbowe ana kesi 9 za uchochezi, lakini bado anapambana 'mpaka kieleweke'!

    Mbona kesi anayodaiwa na NSSF ya kampuni yake ya bilicans kutoweka malipo ya watumihi wake haisemi!? Kabunja sheria naye ni munga sheria!
  12. M

    Kuelekea baraza jipya "EVERYBODY MARK THESE WORDS"

    Haya mwambie baba Michoo naye asubiri 2015 naye wakafanye biashara na binti na mchumba wake. Huyo mwanamke a,baye ni mchumba aliezaa naye ni business woman. My take? Shut up
  13. M

    Lema amuokoa Mwigulu Nchemba Mount Meru Hotel!

    Nasari ni mhuni na hajafundea. Ndio tabu ya watoto wa mitaani. Hawana malezi
  14. M

    Makala ya Mwigamba irudiwe na Magazeti yaliyo huru kweli kweli!

    Acha uchochezi wewe MM. Mwigamba na Kibanda kwa kuwa wanaudhi lazima washikishwe adabu!
  15. M

    CCM bado ina muda mrefu sana wa kuongoza, ni zaidi ya 2020

    Chadema never. Wahuni hao. Kila jambo sharishari. Wabunge wao watano wavita ganja. Wana laana hao
  16. M

    Kwa nini wabunge wa CCM na CUF wanamchukia sana Tundu Lissu?

    Tundu Lissu ni toto tundu ambaye he is an embarrasment to the legal fraternity and he has no manners at all. uncouth and primitive at best. Ni mwanasheria yupi anayeongoza maandamano kupinga uamuzi wa mahatma loo!
  17. M

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    Nyie tomb....ni roho zenu tu. kosa la el ni lipi?
  18. M

    Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    Mimi ni CCM lakini Jairo alitakiwa tangu jana awe amejiuzulu. Ngeleja na Malima nao wawajibike. Haiwezekani Katibu Mkuu achukue maamuzi hayo wao wasiyajue. Hata kama hawakujua wanatakiwa kuwajibika. Alipoachia ngazi Lowasa ilibidi Msabaha na Karamagi nao wangoke. After all Jairo kama hajafikia...
Back
Top Bottom