Search results

  1. C

    Secretariat ya ajira (PSRS) hutumia vigezo gani kutathmini cutt-off points zao? Interview ya watu 3,062 wamechaguliwa watu 46 tu? Yaani 1.5%

    Ukweli ni kwamba UTUMISHI ukiwa na maandalizi ya zima moto then ukafanye zile paper utaishia kusema ni rahisi na status inasoma NOT SELECTED, na kuona watu wanapewa paper, kikubwa ni kusali sanaa, kufanya maandalizi ya kutosha, utaona matunda yake, nilikuwa muhanga wa not selected, nikakaa chini...
  2. C

    UTUMISHI HILI LA TPA SIJAWAELEWA KABISA

    hahahahahahahah hatuishiwi lawama, kikubwa ni kuvuta subra na kumuomba mungu ila kwa hakika utumishi wanajitahidi sana kupunguza ukiritimba wa ajira, mimi kwa upande naamini bila UTUMISHI nisingekuwepo hapa nilipo. Mi namshauri aombe Mamlaka ya Ngorongoro nadhani wako vizuri kimshahara hata...
  3. C

    UTUMISHI HILI LA TPA SIJAWAELEWA KABISA

    Ila si muda wote wanaweka majina kuna muda wanapigia simu tu au pia wanaweza kuaza na simu then wakaweka majina, kumpigia cm mtu haimaanishi kabebwa kwani huyo alokuambia kapigiwa simu hakuwepo kene interview??? Mfano ajira za mwisho za eGA walianza kuwapigia simu wakachukue barua zao ikapita...
  4. C

    Waziri wa Fedha: Nchi inapita kwenye kipindi kigumu, wafadhili wamepunguza misaada

    Ivi wakulima wa korosho washalipwa pesa zao?? Maana mkuu alisema pesa ipo atanunua na kuwalipa hakuna mkopo, ila kwa ninayoyasikia uko mtwara, lindi mambo c shwarii. Mungu ibariki Tanzania.
  5. C

    Nafasi za Kazi TANROADS HQ

    'Silent' means not interested
  6. C

    Nafasi za Kazi TANROADS HQ

    Wenye sifa jaribuni bahati yenu, TANROADs makao makuu
  7. C

    Brightermonday.com ni jipu

    Wewe utakuwa mmoja wa hao mafisadi wa BM, Ishu sio ku build profile yako, ishu ipo kuona zile notifications baada ya kuomba kazi,wanakuambia upgrade account kutoka basic to premier job seeker ambayo unatakiwa ulipie Tsh 30,000 per month kama c utapeli ni nini,
  8. C

    TARURA waanza kuita watu kwenye Usaili kwa walioomba kazi kwenye tangazo la tarehe 8/12/2017

    Wanamuitaji LAND SURVEYOR II wa aina gani mpaka apatikane mtu mmoja tu alio qualify kuitwa kufanya usaili kati ya hao walio apply kwa hatua ya mwanzo kama hii??
  9. C

    Wapi zilipo ofisi za kampuni ya MOTA ENGIL iliyopewa kazi ya kujenga reli ya standard geji nchini?

    Hao jamaa wanapatika ARC Hotel nanenane morogoro, nilishawai kuwafikia nikiwa morogoro
  10. C

    Ni sahihi mpenzi/mchepuko/mke wako kukupangia style za kufanya mapenzi???

    Sawa ndugu mahali hajatoa ila kamnunulia smart phone, inatosha kutoa style zote mahali ni taratibu tu za kukamilisha ndoa, but they consume more....!!!
  11. C

    Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Hata mimi nina shaka mkuu, hapo kuna kitu hakijakaa sawa, ila kama ipo ivyo haki ya mnyonge haipotei na malipo yake ni hapahapa duniani.
  12. C

    Mdogo mdogo Machinga waanza kujenga mabanda ya mbao Msimbazi street.

    So sad wadau hapana tofauti sana na soko la buguruni, maana kwa sasa sio tena nguo na viatu ni mwendo wa nyanya, vitunguu, karoti, banana mbivu kwa mbichi, matikiti, mafenesi mananasi yaani kila aina ya bidhaa inawekwa road, hii ni hatari kwa watumiaji maana yale maji yanayotiririka c salama...
  13. C

    Anayewajua vizuri Radar Recruitment

    Hao empower wameacha kale katabia ka kutoza tsh 10000 ya registration??? Naona kama na wao ni chenga tu maana kuna jamaa angu aliomba junior position kaitwa kene interview senior position alipowaulizi vipi akaambiwa ni kweli hii nafasi haukuhusu alilipa tshs 10000 kama registration fees et...
  14. C

    Mapenzi yataniua

    Ushamlipia msosi canteen mara ngapi mkuu, angalia usijeikacha familia yako uko kishumundu kisa mdada wa chuo, kumbuka mama ako, mkeo na mwanao wanakuangalia wewe mkuu, afu mbona wachaga hawako kama wewe, au ndio wachaga wa mwendokasiiiii.....
  15. C

    Malalamiko kwa NIT (National institute of Transport)

    Pole sana mkuu ila mbona kuna watu wamepigiwa cm pamoja na kutumiwa email? Mimi nilikuta miss ya namba yao nika google nikakuta ni wao.Pia nilicheck mail nikakutana na sms yao.Pole sana ila kutembelea website zao ndio mpango mzima maana hata UTUMISHI wao hawatumi sms wala kupiga simu.
  16. C

    Nilifanya nae mapenzi kinyume na maumbile, je anafaa kuoa?

    Oa tu kijana ila ako kamchezo acheni kabisa nadhani hata huo upasuaji ulisababishwa na fail ya kusukama mtoto kwa njia ya kawaida so ni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
  17. C

    Nafasi za kazi zilizotangazwa na UTUMISHI tarehe 11-3-2016

    Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza...
  18. C

    Kuitwa usahili TCU

    Ni Usaili wa kuandika, hata mimi nilipigiwa simu jana but nilimuuliza akaniambia ni written interview.
Back
Top Bottom