Search results

  1. Abdalah Lyimo

    Msaada kuhusu iTunes gift card

    Habari wakuu ombi langu Kwa anae fahamu vizuri kuhusu iTunes gift card naomba ufafanuzi
  2. Abdalah Lyimo

    Msaada Generator ina ji Less yanyewe

    Habari zenu wadau Nina Generator yangu Kampuni ya Boss baada ya kuifanyia Marekebisho imewaka tatizo linakuja nnapo iwasha ina Jiongeza na kujipunguza Less yenyewe hivyo haitulii katika Hali moja Msaada wenu tafadhari.
  3. Abdalah Lyimo

    Naomba kujuzwa mbinu ya kumzuia mjamzito kutapika

    Ndugu naomba Msaada wenu nahitaji kujua kama kuna huduma ya kumsaidia Mjamzito kuzuia kutapika maana kuna dada hapa Mimba Toka inamwezi mmoja mpaka ameenda kujifungua yeye kila Siku na kila baada ya Masaa kazaa ni lazima atapike sasa. Mdogo Ake nae ni Mjamzito na ameanza kutapika mfululizo...
  4. Abdalah Lyimo

    Je, inawezekana mwanamke kupata mimba siku ya kutolewa bikira?

    Wadau naomba msaada wa kitaalam katika hili, Mpenzi wangu bado ni bikira na ana umri wa miaka 23 amemaliza chuo anasubiri tu ajira sasa tumekubaliana kuanza kufanya mapenzi lakini kwa sababu bado hatujafunga ndoa hivyo hatupo tayari kuwa na mtoto katika wakati huu kabla ya ndoa. Swali langu je...
  5. Abdalah Lyimo

    Je naweza pata kioo cha Lg TV flat screen 43 inches

    Wakubwa TV yangu aina ya Lg ni flat screen ina ukubwa wa inch 43 Jana nikiwa napanga vitu ilianguka na kujigonga kwenye ncha ya meza upande wa kioo hivyo kupelekea kupasuka na kuvujia wino naomba kujua kama inaweza kubadilishika kioo na bei yake tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Abdalah Lyimo

    Habari yako Mkuu

    Mkuu Mimi Nina mama angu Anasumbuliwa na Koo anadai panauma Kama panawaka Moto saa nyingine anahisi Kama panashimo kubwa na akila au akinywa hapaumi ila akitulia ndo anasikia maumivu tumezunguka kila Aina ya Hospital wanachodai ni vidonda vya tumbo msaada wenu please ....
  7. Abdalah Lyimo

    Alichokifanya Manchester City Jana

    Hivi wadau hizi timu kaharibu ni kweli zimezidiwa au hua Kuna kamchezo kanaendelea Kati ya wamiliki wa timu na wenye makampun ya Bet tusije kua tunapoteza hela tu Kama kweli watu wanashinda hela ndefu yeyote atupie screen shot ya mkeka aliokula wa hela nyingi
  8. Abdalah Lyimo

    Group la Udaku magazine Tanzania lililopo kwenye Facebook kuiposti Picha ya mtu pasipo makubaliano ni sahihi

    Wana Jamii wenzangu Kuna group linaitwa Udaku magazine Tanzania Lina patikana kwenye facebook wameposti picha Ya Girl friend wangu na hatimaye watu kukoment matusi kutokana na swali lililo ulizwa na group Hilo kupitia picha hiyo .hali iliyopelekea kuingizwa kwenye makosa na kuonekana Girlfriend...
  9. Abdalah Lyimo

    Kila nikifanya ngono na mwanamke yeyote, asubuhi lazima alalamike maumivu ya kizazi

    Wakubwa naileta hii mada hapa mbele yenu kwa atakaye elewa na atakaye kua anafahamu chanzo cha tatizo hili na tiba yake naomba anisaidie kwakweli sijisikii vizuri kwa kila siku mimi kulalamikiwa nahitaji kutulia na mwanamke mmoja ila inashindikana kwa sababu hizo msaada wenu wakubwa nahitaji...
  10. Abdalah Lyimo

    Msaada wa haya maneno mawili

    Ndugu zangu nianze kuwasalimu kwanza hamjambo humu shida yangu ni kupata maana na tofauti kati ya maneno yafwatayo Sports na Entertainment ni maneno yanayo nichanganya sana ndo maana nimekuja humu kwenye mafundi wa lugha kuelimishwa ,msaada wenu plz Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Abdalah Lyimo

    Hivi kuoa nikiwa na miaka 23 ni sahihi wakubwa

    Mi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nimeajiriwa na nina mwaka wa pili sasa ila napata tabu kwan nala vyakula vya mahoterin kila cku mpaka muda mwingine nakosa hamu ya kula, Nguo zinanichosha kufua mpaka muda mwingine naamua kwenda dukan kununua ilimradi nisifue Ninapoishi nyumba nayo inataka...
Back
Top Bottom