Search results

  1. K

    Car4Sale Magari used Tanzania

    Mkuu Suzuki Swift old model number c mwishoni au d mwanzoni
  2. K

    Rais Magufuli ampandisha cheo Jaji Zephrine Galeba aliyetoa hukumu kwa lugha ya Kiswahili kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

    Mkuu ndo maana nimesema kwenye kesi za kazi tu maana sheria zake ni tofauti
  3. K

    Rais Magufuli ampandisha cheo Jaji Zephrine Galeba aliyetoa hukumu kwa lugha ya Kiswahili kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa

    Huyo hata hajakaidi sheria na kanuni za kazi zinaruhusu kuandika hukumu kwa Kiswahili au kingereza mhe jaji kaonesha uthubutu nakuondoa mazoea
  4. K

    Car4Sale Magari used Tanzania

    Milioni 6 naweza pata ractics namba D
  5. K

    Je, ni ruksa kwa Magari binafsi kupigwa label ya Jeshi?

    Kwani jeshi hawawezi miliki ist au subaru
  6. K

    Naomba connection ya mtu anayetoa Biashara bara kupeleka visiwani kama Unguja, Pemba na Mafia

    Ma ajenti wapo bandarini hapo wa unguja na pemba ukienda utawakuta au bagamoyo wapo kupitia majahazi
  7. K

    Uamuzi wa Makonda hauna tofauti na wa Samatta, watajuta sana

    Kama kura zinapigwa jamii forum au Twitter hatapita lakini kama kura wanapiga wajumbe atapita. So jiandae kisaikolojia
  8. K

    Mbunge/Waziri ambaye yupo ila hata Mh hamkubali. Wananchi Badilikeni

    To be honest jamaa kaitendea haki wizara. Ni wivu tu
  9. K

    Wakenya na harusi za mchana

    Usiku daladala zinasumbua
  10. K

    Sheria inasemaje katika hili la Mama kutaka kuuza nyumba

    Na mtoa mada sijaona akisema yeye ni dini gani Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    Sheria inasemaje katika hili la Mama kutaka kuuza nyumba

    Unashauri kwa mujibu wa sheria ipi? maana kwenye uislamu na ukristo kuna utofauti wa jinsi ya kugawanya mali Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

    Legal services zinahitaji kulipiwa mkuu ndo maana watu hawajibu cha kufanya tafuta ofisi ya mawakili lipia ada yao then uliza yote utajibiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    Differences between a Lawyer and an Advocate (Tanzanian perspective)

    Hawezi kuwa mwanasheria. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    Nililala guest na binti kwa mwezi mmoja na nusu

    Jinai haifi mkuu, subiri tu miaka yako 30 ya kutembea na mwanafunzi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom