Search results

  1. Pearl

    shamba shamba shamba

    Shamba linauzwa kwa bei cheee, wahi sasa mapemaaaaaaaaaa arthi ni mali, shamba liko kiwangwa bagamoyo, bei nafuu sana, millioni moja kwa acre, kwa maelezo zaidi ni pm.
  2. Pearl

    Msaada

    poleni na majukumu yooote, habari za masiku tele, naombeni msaada wapi naweza kwenda ( dar) kwa mashindano kama ya kuogelea, cycling, or running event, please like kila week or mwezi, au kama unajua wapi wanahusika na hizo events. Mbarikiwe sana.......
  3. Pearl

    Je ni sawa kumsaidia mwenzi wako?

    Habari zenu wana JF popote pale mlipo,ni matumaini yangu Mungu wetu mwema anawapigania daily, Wapendwa naomba msaada wa mawazo yenu kwa wale mliokuwa tayaru mmeoa/olewa na wale walio bado pia wanaweza kutoa michango yao hata kujifunza pia,swali ni; -Je ni sawa kumsaidia mwenzi wako katika...
  4. Pearl

    Should there be communication?

    Jamani wana jamvi naomba kuuliza umekuwa kwenye mahusiano maybe kwa mwezi-1-5-2yrs-3,4,5...........,ulikuwa na mtu mliependana sana na kuamini mno,mlikuwa na ndoto nyingi(maybe kuna mlizozitimiza,au nyengine hazikutimizwa)ikafika kipindi mahusiano/mapenzi yenu yakashindwa kuendelea(mmeshindwana...
  5. Pearl

    Wadada!

    Habari zenu Wadada,wamama popote pale mlipo,Mungu ni mwema na anazidi kutupigania siku hadi siku na kutunza familia zetu japo matatizo hapa na pale ni lazima. Leo ningependa kuuliza,kushauriana nanyi kama wenzangu,Je ni vitu gani vinatakiwa kuwa katika pochi yako?na je ni lazima kuwa na...
  6. Pearl

    My doughter

    My Doughter
  7. Pearl

    Tyr ziz

    http://zimika.site90.com/83
  8. Pearl

    Mapenzi kwa watoto!

    Mapenzi,mapenzi ,mapenzi,mara mwaume huyu kanitongoza,mara mwanamke huyu hivi lkn ni vizuri pia tukajua na kuchambua mapenzi na pia kuwakumbuka haswa wale watokao ktk muungano wetu wa mapenzi,hapa namaanisha watoto wetu. Mapenzi neno lenyewe ni pana asana lakini pia ni mjumuhisho wa watu na vitu...
  9. Pearl

    Get well THE FINEST!

    Nimeskia unaumwa and now uko hsp unacheki afya,pole sana jamani kama ni malaria,tumbo la ku kuhara,kichwa au chochote basi kishindwe na upate kuwa mzima tena na tena ili urudi jamvini,Get well figher!:A S thumbs_up:
  10. Pearl

    Nimwambiaje?

    Siumwi chochote,si kiuno,kichwa wala tumbo,sijachoka wala sijachoswa na kazi lkn leo naona sijiskii kabisa kumpa mwenzi wangu tam yake,nami najua ana ham tena sana na nyonga msaga ini,sitaki na wala sipendi kumuudhi maana nampenda sana je nimwambiaje kwamba leo sijiskii ku do for love?nae keshwa...
  11. Pearl

    Nyota yako leo

  12. Pearl

    Doggy style

  13. Pearl

    Nauliza tu

    Hivi huduma za kuangalia camera Bank ni za kulipia?kuna ndugu yangu kaibiwa 1.2 M alikuwa anaandika baada ya kumaliza kujaza amount and all, that bahasha ya pesa ilikuwa pembeni sasa achukue ile bahasha ili aweze kuhesabu hela bahasha ikawaishachukuliwa pale pale bank,akatoa ripot na kuomba kama...
  14. Pearl

    Atm

    Naomba uniazime Tsh. 300,000 tu nina shida nazo hasa kesho, nitarudisha baada ya ijumaa ya next wk! Help me please. I know you have it. Alisikika mlevi 1 akiiomba mashine ya ATM saa 6 usiku!! Khaa! Ulivyostuka ulifikiri nakuomba wewe, ukaanza kuandaa fiksi za kunitolea nje. I wish you a happy...
  15. Pearl

    Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    You celebrate it, you enjoy it - but have you ever wondered what is Christmas? Calling you friends and families over for delectable meals, exchanging gifts by the side of beautifully adorned trees, this is what we comprehend of the Christmas holidays. But what exactly is this widely celebrated...
  16. Pearl

    tabiri

  17. Pearl

    Just in case

    HAPPY HOLLIDAY PIPO :A S clock:
  18. Pearl

    msaada jamani

    "Man can only liberate himself"critically discuss this statment
  19. Pearl

    Installing husband !

    REF: INSTALLING HUSBAND ! A woman writes to the IT Technical support..... Dear Tech Support, Last year I upgraded from Boyfriend 5.0 to Husband 1.0 and I noticed a distinct slowdown in the overall system performance, particularly in the flower and jewellery applications, which operated...
  20. Pearl

    wife/gel frendi

    Wife is like TV girlfriend is like MOBILE (Cell) At home watch TV go out bring MOBILE No money, sell TV Got money change MOBILE Sometimes enjoy TV but most of the time play with MOBILE TV is free for life but MOBILE if you don't pay, the services will be terminated TV is big, bulky and...
Back
Top Bottom