Search results

  1. DOKEZO

    TANZIA Mungu ailaze roho ya Janken John Njunde mahali pema peponi

    Ni siku yako ya kwanza leo umelala katika udongo wa ardhi toka jana zoezi la kukuhifadhi katika makaburi ya Ununio likamilike. Janken umekwenda kaka tuna imani Mungu amekupokea kwa furaha baada ya kutimiza malengo aliyokupa hapa duniani. Tunaamini umefika salama kwa mungu baba hakika kama...
  2. DOKEZO

    Accounting Software kwa ajili ya shule

    Habari wakuu. Samahani nina shule inayojishughulisha na utoaji elimu kwa watoto wa chekechekea.Ni mpya imeanza mwaka huu.Kutokana na plan za muda mrefu zilizopo nahitaji kuweka mifumo mbalimbali angali bado mapema. Naomba kujuzwa mifumo ya kihasibu inayotumika mashuleni hasa nursery and...
  3. DOKEZO

    Nawezaje kusafisha mwilini sumu ya energy drinks?

    Habari! Wakuu naomba kujuzwa au kufahamishwa. Kutokana na nature ya kazi yangu imenifanya kuwa kilasiku nakunywa sana energy drinks tofauti tofauti mfano Azam energy (ya chupa na ile ya can), mo energy, monster, redbull, jembe etc. Nina siku ya 4 leo toka nimeanza zoezi la kuacha kunywa...
  4. DOKEZO

    Unaweza kuitambua? Inaitwaje?

    Mambo vipi wakuu. Ebwana kuna movie moja niliwahi kuiangalia miaka mingi sana iliyopita,yani kitambo sana sikumbuki hata ilikuwa stesheni gani ya TV. Bahati mbaya umeme ukakatika hivyo sikupata tena nafasi ya kuiyona yote na bahati mbaya sikuifahamu jina la movie maana nilikuta ndio imeanza kama...
  5. DOKEZO

    Biashara - faida pande zote kwako na kwangu ndani ya miezi mitatu

    Habari, Iko hivi: Nina gari yangu Toyota Wish ambayo nimekuwa nikiitumia katika biashara ya Taxi mtandao( Uber,Bolt,Ping,Tantaxi,Little ride). Nilipata changamoto ya ghafla ya kifamilia na sikuwa na akiba ya pesa ikabidi niweke bondi hiyo gari.Gari inadaiwa Tsh 1,600,000/=.Nimepambana...
  6. DOKEZO

    Msaada:Nimepigisha shoti kwenye gari vitz

    Habari wakuu! Nilikuwa nabust gari ndogo ingine IST, sasa baada ya hiyo gari kuwaka wakati nachomoa zile nyaya kwenye upande mmoja,bahati mbaya nikazigusanisha nyaya huku kwenye ile gari ya Vitz zikiwa bado zipo kwenye betri. Gari nyaya zikatoa cheche na ikazima hapo hapo.Tukajaribu kuiwasha...
  7. DOKEZO

    Naomba kujuzwa Bei ya BEARING miguu ya mbele za Gari Toyota Wish

    Habari wakuu. Tafadhali mwenye kujua bei ya bearing za miguu ya mbele za gari aina ya Toyota wish naomba tujuzane tafadhali. Ahsanteni
  8. DOKEZO

    Fuel consumptions katika Neutral (N) na Drive (D)

    Habari, Naomba kuuliza Je,ni kweli wakati gari Toyota wish unapokuwa kwenye mteremko na ukaweka Neutral inakuwa NO FUEL CONSUMPTIONS kwa muda ule gari inatembea ikiwa kwenye neutral?? Je ni kweli unapokuwa umeiweka kwenye Drive (D) bila kukanyaga accelerator huku gari inaendelea kutembea...
  9. DOKEZO

    Toyota Wish- Service Engine Oil bora ni aina gani?

    Habari wanajamvi. Naomba kuuliza ni aina gani ya engine oil specific kwa gari hili, Namaanisha ndio engine oil yake recommended kwa gari hili ; Toyota Wish Ya 2006, CC ni 1790, Engine VVTI Lengo la kuuliza ni kuwa muda wa kufanya service umefika lakini nataka niweke engine oil yake...
  10. DOKEZO

    Boxing gym Mbagala Rangitatu

    Habari wana JF. Naomba kuulizia kwa yeyote anayefahamu Boxing Gym iliyopo maeneo ya mbagala rangi tatu na viunga vyake vya karibu kama Zakhem,Kokoto n.k basi anijulishe hapa eneo ilipo hiyo gym. Nimejaribu kuulizia na kutafuta sana manually ila sikufanikiwa kupata boxing gym yoyote kwa...
  11. DOKEZO

    Toyota Fielder

    Habari wakuu.Nataka kununua hii gari toyota fielder, je kwa wanaofahamu sasa hivi bei zake ikoje? Vipi walau utapata kwa nafuu ukinunua hapa hapa au ukiagiza? Lakini je kwa hapahapa Yadi ipi wanapouza ukienda uhakika unazikuta? Je kama kwa kuagiza kupitia kampuni ipi ndio uhakika zaidi?
  12. DOKEZO

    Dragon Energy Drink ina madhara yoyote?

    Habari wanajukwaa Jamani nimeona ni vema nikaja kuuliza humu nipate kufahamu. Siku za karibuni nimekuwa na tabia ambayo ishakuwa sugu ya kunywa hichi kinywaji cha DRAGON kwa zaidi ya tatu kwa siku asbh nakunywa, mchana nakunywa, jioni au wakati wowote ninaposikia usingizi na uchovu kutokana na...
  13. DOKEZO

    Msaada: Pumbu/Kende kuvimba

    Habari zenu wanajukwaa! Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 32. Kuna tatizo kwenye pumbu yangu ya kulia,nakumbuka toka nakua bado kijana mdogo mara kadhaa ishatokea pumbu yangu ya kulia inavimba na baada ya muda inanywea yenyewe. Ni wiki ya pili sasa imetokea tena hali ile nikajua ni...
  14. DOKEZO

    Simu ya mezani!

    Habari wanabodi! Naomba kuuliza je inawezekana Kuwa na simu ya mezani lakini yenye kutumia mtandao wa Tigo? Na kama hizo simu zipo zinapatikana wapi? Zinaweza Kuwa zinauzwa kiasi gani? Nitashukuru sana kwa majibu wakuu.
  15. DOKEZO

    Natafuta mke wa kuoa Mwarabu

    Ni kijana wa kiume,nina miaka 30,mrefu kidogo sio mfupi,nimeajiriwa nafanya kazi.natafuta mke wa kuoa awe mwarabu,umri kati ya miaka 20-27. naomba niPM kwa aiye siriaous.
Back
Top Bottom