Search results

  1. D

    KONGAMANO KUBWA LA KUIBUA FURSA ZA UCHUMI MKOA WA KAGERA KUFANYIKABUKOBA

    Mnakaribishwa sana, lengo kubwa ni kuzitambua fursa za kiuchumi zilizopo na kuzitumia ipasavyo
  2. D

    KONGAMANO KUBWA LA KUIBUA FURSA ZA UCHUMI MKOA WA KAGERA KUFANYIKABUKOBA

    Asasi ya "Bukoba Mpya Foundation" kwa kushirikana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera Imeandaa Kongamano kubwa la kuzitambua na kuzitumia Fursa za maendeleo mkoani kwa vijana, kina mama, kina baba na Wazee wastaafu. Mada mbalimbali zitatolewa - Ufugaji wa Kisasa, uvuvi. - Ufumbuzi wa gonjwa la...
  3. D

    Mpesa line available

    seriously I need nipe bei
  4. D

    SABC1,2,3&eTV

    Wadau heshima kwenu, naomba msaada, mwaka jana mwanzoni nilikuwa napata channel za South africa SABC1,2,3 & eTV local for free, baadaye nikawa sizipati tena, kuna fundi alikuja akasema nifunge RNB ya pili kwenye dish yangu lkn bado haikusaidia, je kuna mwenye ufahamu anisaidie jinsi ya...
  5. D

    Easy TV

    Thanx mkuu, je kuna gharama za kulipia kila mwezi?
  6. D

    Easy TV

    Wakuu naomba mwenye uzoefu na king'amuzi cha easy Tv, anijuze maana naona startimes inaniletea uzinguzi
  7. D

    Nahitaji msaada kama kuna mtu ana uzoefu na generator..

    Ni vizuri ukafahamu load utakayokuwa nayo, kama Aircon je ni btu ngapi, then make total amps ya vitu vingine utakavokuwa navyo, pia ni vizuri kujua main supply yako ni single au three phase na plan zako at least for next 3yrs kama utakuwa na expansion yeyote,tukishayajua hayo itasaidia kufanya...
  8. D

    Ndege ya ATCL Yapata Kizaazaa Mwanza

    Ashukuriwe mungu kwa kuepusha hii dhahama
Back
Top Bottom