Wana bodi,habari za miangaiko,nataka kuagiza tractor nje ya nchi,nimelipaza Ukraine kwa muuzaji Garkolena-Group,ukiangalia kwenye mtandao wanajihusisha na vyakula,Je nitumie njia gani kujua ni genuine seller maana eti unalipa 40% ya gharama na 60% baada ya kupokea mzigo,karibuni kwa ishauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.