Search results

  1. Big Lady

    Michael Douglas: oral sex caused my cancer

    Ni Virus au Bacteria? I mean origin ya virus inaweza kusababishwa na uchafu? Swali langu linalenga kujua source ya huyo virus na nini?
  2. Big Lady

    Ni Raha Sana Kuwa Mama

    Hongera sana.
  3. Big Lady

    Ni Raha Sana Kuwa Mama

    Mmh jamani Mwasi asante dada yangu. Kwani bado hujapata? Mwambie shemu aongeze bidii :)
  4. Big Lady

    Ni Raha Sana Kuwa Mama

    Ni kweli BAK. Ni rahasana.
  5. Big Lady

    Ni Raha Sana Kuwa Mama

    Haaaa haaaa unaye?
  6. Big Lady

    Tume ya Warioba yaja na Rasimu ya Katiba yenye maamuzi mazito...

    Nimekusoma mkuu. Professor Safari alikuwa sawa kuwaambia Chadema nchi kwanza vyama baadaye?
  7. Big Lady

    Membe: Hatutawaomba radhi Rwanda

    Mbona hiyo habari ni kiduchu sana? hakuna taarifa kamili?
  8. Big Lady

    Michael Douglas: oral sex caused my cancer

    Issue hapa ni huyo kirusi wa human papillomavirus anasababishwa na nini?
  9. Big Lady

    Tume ya Warioba yaja na Rasimu ya Katiba yenye maamuzi mazito...

    Ngoja tusubiri hayo maamuzi. Hivi report anakabidhiwa Rais au itatolewa hadharani?
  10. Big Lady

    Ushauri wako, nini kifanyike? Vijana wanapukutika

    Si kweli. Aslimia 65% ya population ni vijana. Ndo maana unaona wanakufa wengi. Kama una research data tupatie.
  11. Big Lady

    Muda gani muafaka mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa?

    Wewe ni he au she? Muda wowote ambao mwanamke atajisikia. wengine wanafanya hadi mwezi wa 9. Muhimu ni position.
  12. Big Lady

    Mzazi mwenzangu kapata mwanamume mwingine akiwa masomoni

    Kwani uliwahi kumwambia utamwoa? Na maugomvi yalikuwa ya nini? Mi nashauri songa mbele utampata wako akupendae. Ila kuwa serious katika mahusiano. mambo ya kazalisha bila kuwa na commitment si mazuri.
  13. Big Lady

    Na wewe na mpenzi wako ni hivi au mimi tu nishaurini jamani....!

    Kuna wengine inakuwa hivo. Pia kuna baadhi wakiwa wajawazito.
  14. Big Lady

    Dereva anaharibu mahusiano yangu

    tafuta ushahidi. Kama kweli achana naye.
  15. Big Lady

    Ni Raha Sana Kuwa Mama

    Jamani ni raha sana kuwa mama. Ni nini unaweza kuelezea kutoka kwenye picha hii?
  16. Big Lady

    Wapi Nitapata Mkopo wa TZS 10M Haraka?

    Asanteni sana. Kuna Wadau wamenikopesha tena bila masharti na January nazirudisha. In fact nimepata zaidi ya nitakazo: $ 10,000 + TZS 3.5M + TZS 2.5 M + TZS 2M. Kumbe Mujini napaweza. Mbarikiwe wote mliotoa michango yenu hapa.
  17. Big Lady

    Wapi Nitapata Mkopo wa TZS 10M Haraka?

    Asante sana wadau. Nimejaribu Equity; CRDB; FNB; Azania; Barclays; KCB; DCB kote wanalietea mapause! So nimewapotezea! Kuna Mdau kanipatia TZS 5M bila masharti namrudishia January 2013. So bado natafuta TZS 5M. Shida ni kuwa Hati haiko katika jina langu japo nyumba ni yangu. Niko katika...
  18. Big Lady

    Wapi Nitapata Mkopo wa TZS 10M Haraka?

    Bado sijafanikiwa
  19. Big Lady

    Wapi Nitapata Mkopo wa TZS 10M Haraka?

    Jamani hakuna mwingine mwenye some information? I need the $$$ like yesterday!
Back
Top Bottom