Search results

  1. R

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    wamechemka sana hawa magamba. Na hivi leo public holiday, sijaenda job ndio nipo njiani from moshi to Atown a.k.a revolution city.
  2. R

    Sabodo atoa 100 mil, baiskeli za walemavu, visima 10, ashangazwa na Mkapa

    Alishaulizwa na waandishi wa habari akajibu kuwa lazima kusuport upinzani ili waikosoe serikali kwa ajili ya maendeleo ya nchi. Na chadema ndio chama chenye kuonyesha upinzani wa kweli dhidi ya chama tawala. But yeye bado ni mwanachama wa ccm.
  3. R

    Elections 2010 CCM Karagwe Wins

    Nimepigiwa simu na mdogo wangu, amenitaarifu baada ya kuchakachua as ussual CCm wameshinda jimbo la karagwe. UNFAIR.
  4. R

    Elections 2010 Karagwe: Matokeo kutangazwa?

    In short hilo jimbo since 2005 lilibidi liende kwa CHADEMA, but kutokana na wananchi hawakua na mwamko wa kutosha kama hivi sasa, matokeo yalibadilishwa usiku wake. But this time wananchi wa nyumbani karagwe wamesema BIIGG NNNOOOO, hatutaki mpaka kieleweke mshindi wetu tunamjua tumemchagua wa...
  5. R

    Elections 2010 Ninaomba kura zenu ili niwe Rais wenu

    Happy Birthday to you again DR. SLAA. Tunauhakika kuzaliwa kwako katika tarehe hio ambayo ni siku muhimu leo hii katika mapambano yako ya kuwania Uraisi si jambo dogo. Tunashukuru mungu katupatia mtu muhimu sana kama wewe katika nchi yetu inayokuhitaji sana. TUPO PAMOJA MORE THAN 100%.
  6. R

    Grand Opening: CCM Branch - Jamaica

    I dont think if u guys can perform there like you do in UK, what i know ccm members in UK do not have permit, jobless, bankrupt so they just hide in CCM with a hope of getting money and other basic supports. POLENI SANA, RUDINI TANZANIA NDIO MUONE HIO CCM MNAYOIFAGILIA HUKU UK.
  7. R

    Elections 2010 Umafia wa CCM sasa ni dhahiri zaidi

    if that the case ni balaa, so we can link thats why vigogo wa zamani wameamua kustep asside bse they no, moshi unafuka soon moto unawaka. Tunamkumbuka Hayati Horace Kolimba sana sasa.
  8. R

    Elections 2010 Kampeni za CCM

    Habarini bandugu, nilipenda kujua kitu kimoja, juzi siku ya jumapili nilikuwa maeneo ya mwananyamala kituoni nasubiri daladala kuelekea stesheni nikaona vijana wadogo wako kikundi kama 30 hivi wana mnadi mgombea wa kinondoni kupitia tiketi ya CCM. Kwa umri niliowaona sidhani kama alikuwepo...
  9. R

    Magari ya Rais yazimika tena

    bandugu, niliongea siku moja kuwa urafiki ni mbaya sana usipokuwa na kikomo, urafiki hadi kwenye usalama wa taifa, kuweka watu ambao wasio na elimu na uzoefu wa idara hiyo, sasa hilo ndio tatizo lake bwana. Sio idara hiyo tu, idara nyingi wamewekwa watu ambao hawafai kabisa na ndio wamechangia...
  10. R

    Duh! Kumbe Brazil imelipwa kuja kucheza Bongo!

    It is very very sad kusikia hio, mwanzo sikuamini mpaka nilivojaribu kusikiliza RFA huku kwetu, arnd 3 billion ndio gharama za kuwaleta hao majamaa' najiuliza hivi kuna faida gani tutakazopata kwa brazili kuja hapa kucheza na sisi. Si bora hizo hela zingetumika kununulia dawa na vitanda...
  11. R

    Watendaji wamuacha solemba Rais Kikwete

    Je kwa hao viongozi kuingia mitini wataadhibiwa, au ndio usanii uliofanywa makusudi waingine mitini then ijulikane wao ndio wamekimbia kumbe ni usanii wa serikali yetu. well na yeye mbona alituingia mitini hapa UK badala yake akaenda kuangalia mpira ???
  12. R

    Elections 2010 Kimya cha CHADEMA kikubwa

    Daaahh siamini, but kila kitu chawezekana. The guy was the one to chair presidential sit, lakini bse ya mizengwe na majungu ya CCM hakufanikiwa. Ni kati ya viongozi wachache bora na wenye maadili mazuri aliyebaki TZ kwetu. Let us C and GOD bles him.
  13. R

    Hivi inakuwaje gari ya rais inachomoka tairi?

    Hapo ndio inabidi Mr. JK aamke na kutafakari kwamba kazi alizotoa kwa kujuana katrika idara nyeti za ikulu na usalama wa taifa kwa watu ambao hawako qualified ndio itakula kwake mwenyewe mwishowe. Tujuavyo kwa mtu nyeti na muhimu kama yeye, swala kama hili haliwezi tokea kamwe. Je wangekuwa...
  14. R

    Kikwete, bilioni 50 za uchaguzi zingenunua vitanda vya wazazi vingapi?

    Kweli una magezi (akili), bandugu ndio tujue ya kwamba CCM ipo kwa maslahi yao tu. Hivi hawakuona umuhimu wa kuita harambee ya vitu kama: 1. Ununuaji wa vitanda mahospitalini. 2. Uboreshaji wa zahanati hasa za vijijini. * Wao wameona umuhimu ni kuita harambee ya kuchangia CCM ishinde lakini...
  15. R

    Elections 2010 Jimbo la Ubungo: CCM kutoana macho mwaka huu

    As what i see bandugu, Nape is a good character ila tatizo mahala alipo ndio pabaya, na kama tujuavyo mwenyekiti halisi wa CCM bwana EL aligombana na Nape bse he was against ufisadi wa jengo la umoja wa vijana. For this reason, he will not stand as candidate.
Back
Top Bottom