Search results

  1. Ngongongare

    Arsenal kaniacha na Tsh 630,000

    Uko na uthibitisho apo tuone
  2. Ngongongare

    Nani aliwahi kuisikia sauti ya huyu jamaa?

    Fisi maji remember the name
  3. Ngongongare

    Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

    [emoji24][emoji24][emoji24] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Ngongongare

    TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

    May his soul rest in eternal peace[emoji120][emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Ngongongare

    Eid Mubaarak kwa waislaam wote duniani

    Kwa hiyo kesho ni Eid pili?
  6. Ngongongare

    Wanajeshi wanaosomba korosho kusini hawafuati sheria za barabarani.

    Hiyo ni operation tofautisha na shughuli au sheria za kiraia kidogo kwa mfano operation haina gate ya ukaguzi, mizani wala kibao cha 50 kwa hiyo muizoee[emoji120][emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Ngongongare

    Hali bado ni tete kwa Wakulima wa Korosho

    Una korosho? Umepima chama gani cha msingi? Unaposema hali ni tete kwako au kwa wakulima wote wa korosho?Wewe ni msemaji wa wawakulima? Good news ni kwamba kila aliyepima korosho amelipwa kupitia akaunti yake na ni siri ya mtu unachokisema na uhalisia are quite differ watu wanalipwa kila uchwao...
  8. Ngongongare

    Naitisha mgomo kupinga kikokotoo cha JPM kinachokausha mifuko, serikali irejeshe kwanza madeni.

    Walisema haijai sasa inamwagika kuna watu wanapenda wananchi wateseke for their own interest Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ngongongare

    Nipo Mwanza, haijanivutia kabisa

    Concept yake ni kwamba kafika Mwanza ameyataja mengi ambayo hata mimi niliyaona nilipofika Dar kama uchafu,Stand ya ovyo ya mikoani kama Ubungo,Mbagala rangi tatu pia kuhusu uchafu ndio usiseme [emoji120][emoji41]
  10. Ngongongare

    Tanzania sio Mwanza pekee Rais Magufuli!

    Mulemola.....tujage duu baba
  11. Ngongongare

    Spika Ndugai: TAMISEMI inaniudhi sana; kwanini inapora Madaraka ya Halmashauri?

    Wamefanya vizuri sana TAMISEMI maana ukiritimba ulikuwa mkubwa sana watu kubadili vituo hovyo hovyo mlundikano wa watumishi wengibshule moja hususani mijini au barabarani sasa naona wamelenga #Ngarenayuki na peripheral of the peripheral
  12. Ngongongare

    Dar imeungana na mikoa mingine kuitwa "mkoani"

    Dar itabaki kuwa Dar kumbuka ni culture ya Pwani dio inakiki kama kg1 kuliwa ba watu sita,kushindia juice ya ukwaju au miwa
  13. Ngongongare

    MASHINJI ukatibu umekushinda, kutetea hoja kumekushinda. Hujui kujibu hoja kwa ufasaha

    Kila mtu ataonekana mchawi hizi ni siku za mwisho na haya yalitabiriwa
  14. Ngongongare

    CHADEMA na UKAWA mfukuzeni Lazaro Nyalandu vinginevyo mjiandae kisaikolojia

    Mwaka wa kufa nyani kila mti uteleza
  15. Ngongongare

    Hivi kuomba fedha kwa watu ni ubunifu? Tusiwalaumu wakuu wa mikoa mingine

    In additional Dsm ndio waliko matajiri wengi ata miundo mbinu ya kuwafikia ni rahisi na most people ni waelewa pale compared na mikoani ambako wamekariri elimu bure so wasiguswe
  16. Ngongongare

    Yanayoendelea nchini: Nape atupa madongo

    Anayakana yale aloyotuaminisha kwa siku nyingi?
  17. Ngongongare

    Mbowe amejuaje aina ya silaha iliyotumika kabla ya jeshi la polisi?

    Unaangalia wingi wa risasi na aina ya silaha inayoweza beba risasi nyingi ivyo....simple like that Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom