Search results

  1. Nguchiro

    Kwa wale ajira mpya walio repoti vituo vya kazi mwaka jana na ajira zao kusitishwa

    Habari za kupotosha hizo kama ni za kweli atupe source ya uhakika sio taarifa za hewani hewani tu
  2. Nguchiro

    Sekretarieti ya ajira yamwaga ajira

    ajira kibao au vigezo kibao kwa muombaji, tuwe serious basi :mad::mad:
  3. Nguchiro

    Msaada wa Window 8.1

    nikija mjini nitakutafuta
  4. Nguchiro

    Msaada wa Window 8.1

    poa mkuu
  5. Nguchiro

    Msaada wa Window 8.1

    Hapana mkuu nipo Musoma, Mara ila huko ntapita sometime next month kunako majaaliwa
  6. Nguchiro

    Msaada wa Window 8.1

    mko poa wadau,natumia asus X453M ila nilipoinunua waliniwekea Window 7 ila laptop yenyewe nilipoinunua nikapewa na cd yenye drive za Window 8.1 nna shida ya window 8.1 wakuu, naombeni msaada ili niipige chini hii window tafadhali coz Window ninayoitumia inazingua
  7. Nguchiro

    Nashindwa kucheza game kwenye laptop

    nawezaje kupata hiyo soft ya window 8 ili niweze ku-install maana hata nilipoinunua walinipa cd imeandikwa drive za asus laptop for window 8 version
  8. Nguchiro

    Nashindwa kucheza game kwenye laptop

    Wadau vipi,its my hope mko poa. Nahitaji ushauri kwani natumia laptop ya ASUS X453M ina Window 7 Professional ila nimedownload several pc games za kunikeep busy nikiwa idle ambazo zinaweza chezwa katika Window 7 ila kwangu naweza install game husika ila nikiifungua ili niicheze haifunguki, kuna...
  9. Nguchiro

    Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote

    demu katoa uvungu nyie pigeni kelele weeee ila ndo miss Tz 2014 huyo
  10. Nguchiro

    Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote

    kama RITA wametoa cheti cha miss Tz juzi juzi as people say i doubt their potential n credibility basi haitakuwa mara yao ya kwanza
  11. Nguchiro

    Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote

    demu katoa uvungu kapewa u-miss nawaonea huruma waliotoa hela zao, its a disgrace kwa kweli
  12. Nguchiro

    Daktari wa Wilaya ya Korogwe na Katibu wake haya ndio madudu yao...

    1. DED ndiye accounting officer na yupo answerable kwa matumizi ya fedha zote kwani ndiye muidhinishaji mkuu anamtask mweka hazina akijiridhisha na dokezo la malipo husika, mweka hazina naye akijiridhisha huwatask watu wa epicor waandike vocha na utaratibu upo hivyo 2. Mweka hazina ni mmoja tu...
  13. Nguchiro

    Tanzania Ina Vyuo Vikuu Vingapi?

    pathetic fool, huna kazi eeeeeeeh usiwe limbukeni wewe, ungekuwa na akili timamu usingebishania upuuzi leta hoja mezani uone kama kweli ndo unajiita upcoming Accountant & Economist unanipa shaka na ufahamu wako.
  14. Nguchiro

    Nafasi za Kazi - TACAIDS

    aisee una wenge au?mbona mnauliza vitu vya ajabu ajabu?hilo tangazo ni la lini kwani au huoni?
  15. Nguchiro

    University of bagamoyo vacancies..

    thanx for the info, ila mbona ni tangazo la 2011 au macho yangu yanaona vibaya, unataka tu-apply for the PAST posts?
  16. Nguchiro

    Chuo Kikuu bora TZ ni kipi kwa kusomea Uhasibu au Biashara? - ni UDSM, Mzumbe au IFM?

    hizo credit zake kupata SUA utata in my view aisee khaaaaaaa
  17. Nguchiro

    Shortlist LAPF

    deadline tar 6 shortlist tena itoke tar 6, unajua taratibu za ku-recruit watu aisee au unataka tujue umeomba kazi huko?
Back
Top Bottom