Search results

  1. M

    Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

    Kuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri. Kwa siku za hivi karibuni nimeona kapunguza mawasiliano ila akiwa na shida ya kifedha anakuwa active...
  2. M

    Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

    Kuna ex girlfriend wangu mmoja kwasasa tupo mikoa tofauti ingawa hakuna umbali sana katika ya mkoa aliopo yeye na mimi. Simuhitaji tena na ndio maana hata naweza nikakaa hata miezi mitatu au sita bila kumtafuta na namba zake za simu nilishafutaga na kichwani pia hazipo mana sina kawaida ya...
  3. M

    Waungwana, msaada tutani

    Habari za muda huu Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ? Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba la mafuta na wameandika tunatoa mshahara mnono Naomba kwa wenye uzoefu wanisaidisme kunijuza...
  4. M

    INAUZWA TV aina ya Hisense led inauzwa 270,000

    Nauza TV aina ya Hisense LED Flameless kwa bei ya Tshs 270,000 TV hii imetumika miezi 4 tu ba bado ina boksi lake. Nicheki kwenye namba 0764368588 tufanye biashara Napatikana Mbezi jirani kabisa na Stand ya Mabasi ya mkoani ya Magufuli Terminal
  5. M

    Rais Samia tunakuomba uondoe hii sheria kandamizi ya fao la kukosa ajira NSSF na urejeshe fao la kujitoa

    Kwako Muheshimiwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunakuomba uondoe hii sheria kandamizi ya fao la kukosa ajira na uterejeshe fao la kujitoa ambapo mwanachama wa NSSF atakua na uwezo wa kuchukua pesa zake zote bila kujali kwamba ameacha kazi mwenyewe au ameachishwa. Sheria hii ya...
  6. M

    Ushawahi kubembelezwa na mpenzi wako uvue Kondomu katikati ya tendo lakini ukaendelea na msimamo wa kutokuvua ?

    Heshima kwenu wakubwa na wadogo Katika ulimwengu wa sita kwa sita binadamu huwa tunakua wadhaifu sana na inafikia wakati kutokana na raha ya tendo unaweza muhaidi mpenzi wako kwamba utampatia vitu flani ambavyo kiuhalisia wala huna uwezo navyo na yote hii husababishwa na zile raha tuzipatazo...
  7. M

    Natakiwa nikae muda gani ili kujua nimekosa kazi au la?

    Habari zenu waungwana Natakiwa nikae muda gani mara baada ya kufanya usahili wa pili kwenye kampuni binafsi li kujua kama nimekosa nafasi ya kazi au la? Hii naongelea hasa kwa zile kampuni ambazo hawana kawaida ya kusema kwamba ni lini majibu ya usahili yatatoka ili kujua kama umekosa au la...
  8. M

    Mpenzi wangu amepoteza mvuto

    Heshima kwenu washikadau Nina mpenzi wangu ambae tupo kwenye mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, huyu binti wakati naanza nae mahusiano alikua na mwili ambao ni standard lakini kwa siku za hivi karibuni amekua tukunyema sababu ya kupenda kufakamia misosi. Yani huwa haipiti siku bila...
  9. M

    Kuhusu Value Retention Fee(VRF) ya HESLB

    Habari za jioni waungwana Nilikua naomba kuuliza kuhusu hii Value Retention Fee ambayo ilikua inatozwa kwenye mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu Kulingana na tamko la muheshimiwa Rais kwamba hii tozo imefutwa rasmi, lakini sasa nashindwa kujua je kwa wale ambao washaongezewa mzigo wa deni...
  10. M

    Kasi ya mtandao wa Zantel

    Habari za muda huu Naomba kujuzwa kwa anaefahamu kasi ya Internet ya Zantel. Je, iko vizuri kwa maeneo yote au inategemea na eneo ulilopo?
  11. M

    Ni sababu zipi zinazopelekea wanaume kununua dada poa?

    Heshima kwenu wadau Hivi ni sababu ipi kuu ambayo inasababisha wanaume kununua dada poa? Je, ni kukwepa mizinga ya mara kwa mara toka kwa mpenzi wa kudumu, kukata tamaa ya mahusiano ya kudumu au kuna sababu zingine zinazopelekea hali hiyo? Karibuni tuweze kupeana uzoefu
  12. M

    Je, ushawahi kumuacha mpenzi wako kimyakimya kwa kukata mawasiliano nae?

    Heshima kwenu waungwana Kwenye mahusiano ya kimapenzi vijana huwa tunapitia changamoto nyini sana ambapo kuna wengine hushindwana na kuachana lakini kuna wengine ambao wanavumiliana hivyo hivyo madhaifu yao hata kama ni makubwa kiasi gani. Je, ushawahi kuwa na mpenzi ambae amekua anakukwaza...
  13. M

    Unamchukuliaje mwanamke wa aina hii ?

    Kama wiki moja iliyopita nilienda mkoa kukutana na girlfriend wangu ambae hatujaonana kama miezi mitatu na kwasasa tupo mikoa miwili tofauti, yeye yupo Dodoma mimi nipo Dar. Nilimuuliza kama hayupo period (bleed) ili nikienda nisishindwe kutikisa nyavu kama Messi na akanambia kwamba yupo...
  14. M

    Nahisi simpendi tena

    Ni binti ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa.Huyu binti nilimpata kipindi anamalizia masomo yake ya chuo kikuu na wakati naingia nae kwenye mahusiano ndio alikua anaingia mwaka wa mwisho wa mahusiano. Nakumbuka kabla hajamaliza chuo kuna siku tulipishana kidogo...
  15. M

    Simuelewi mke wa jirani yangu

    Mimi ni baba wa mtoto mmoja wa kiume na naishi pamoja na mwanangu na mke wangu pande za huku kanda ya ziwa. Hapa ninapoishi kuna jirani yangu ambae ni rafiki yangu sana tu nae anaishi na mke wake lakini wao bado hawajabahatika kupata mtoto. Mke wa wa huyu rafiki yangu amezoeana na mke wangu...
  16. M

    Msaada tutani kwa mwenye ufahamu

    Nimesikia kwamba watoto wanaotakiwa kuanza shule ya msingi mwakani wameanza kuandikishwa. Naomba kwa mwenye ufahamu anitajie walau vitu vinavyohitajika ili mtoto aandikishwe na tarehe ya mwisho kuandikishwa na mwezi kama ikiwezekana. NB:Hapa naongelea kwa shule za msingi za serikali Asanteni...
  17. M

    Mpenzi wangu wa zamani ameshazaa na mwanaume mwingine lakini anataka nimtumie nauli aje nilipo

    Kuna msichana mmoja niliingia nae kwenye mahusiano baada ya mimi kwenda mkoa aliopo yeye kikazi. Huyu msichana nilidumu nae kwenye mahusiano kama miezi mitatu ingawa hata nilipomaliza majukum yangu na kurudi mkoa niliotoka sikumwambia kwamba nimemuacha, nikamuacha ajiongeze mwenyewe sababu...
  18. M

    Ni sababu zipi humfanya mwanamke akubali kuwa mke wa pili ?

    Habari za muda huu waungwana Mfano inapotokea mwanaume umeoa lakini una mwanamke mwingine wa pembeni na anajua fika kwamba umeoa ila anakubali kuwa hata mke wa pili ingawa wote wawili ni wakristu na dini hairuhusu kuhalalisha wake wawili. Je ni sababu gani humfanya mwanamke atamani hata kuwa...
  19. M

    Mwanamke anaanzaje kukunyima unyumba ?

    Nimekua nikiona watu mbalimbali wakilalamika kwamba wanayimwa unyumba na wake zao, sasa huwa najiuliza mwanamke anaanzaje kukunyima unyumba kama hayupo kwenye menstruation cycle. Binafsi hata nimpende vipi mwanamke akininyima unyumba aiseeeee lazima nimtoe kwenye system unless otherwise awe...
  20. M

    Sihofii tena kuachana na huyu mpenzi wangu

    Ni binti ambaye niliingia nae kwenye mahusiano tangu mwaka juzi na katika kipindi chote hicho tumekua kwenye maelewano mazuri na mapenzi motomoto.Ingawa kwenye mahusino kugombana hakukosekani lakini mimi na huyu mpenzi wangu tumejitahidi kuombanana msamaha pindi inapotokea mmoja amemkwaza...
Back
Top Bottom