Search results

  1. M

    Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

    We ni matako kweli, soma vizuri huo uzi halafu uone kama kuna sehemu nimesema nahitaji tena K yake.......Huna akili kabisa
  2. M

    Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

    Nipo nimekaa paleeee ........subiri uone kama nitampa, labda dunia igeuke juu chini chini juu.
  3. M

    Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

    Kuku kweli wewe, njoo nikuoneshe live kama huamini hiyo ni akaunti yangu.
  4. M

    Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

    Hapo ukute hata hela ya futari huna umeenda kuvizia kwa jirani kujifanya kuna kipindi unataka uangalie kwenye TV yake.
  5. M

    Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

    Mimi sijataka utelezi ila yeye ndo ametaka pesa yangu sasa nani hapo anatakiwa kutangulia kutoa huduma ?
  6. M

    Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

    Najua walimwengu wangekimbilia kusema huna hiyo pesa hasa wanawake mana nawajua humu kwa viherehere 😂😂😂
  7. M

    Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

    Ambapo ukute wewe unayeongea hivi account yako hata 50k haina.
  8. M

    Ipi ni dawa kwa mpenzi anaekuwa active kwenye mawasiliano pale tu unapomuahidi pesa?

    Kuna binti mmoja nimekua nae kwenye mahusiano katika kipindi kisichopungua miaka miwili na nimekua nikimsapoti kwenye mambo yake mbalimbali yanahusu pesa na hata yale yanayohitaji tu ushauri. Kwa siku za hivi karibuni nimeona kapunguza mawasiliano ila akiwa na shida ya kifedha anakuwa active...
  9. M

    Nimemfukuza kazi shabiki wa Yanga

    We utakua kolo sio bure
  10. M

    Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

    Kwahiyo wewe unawasiliana na ex zako sababu upo wizarani kuvia tender sio ??? Hatuwezi kuwa sawa bro mana kila mtu ana taratibu zake katika maisha.Wakati wewe unategemea ma ex kuendesha maisha yako wengine hatupo hivyo.U Namba ya ex ukibaki nayo wewe tu kwenye simu yako inatosha.
  11. M

    Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

    Kwahiyo wewe unawasiliana na ex zako sababu unavizia tenda wizarani sio ??? Hatuwezi kuwa sawa bro mana kila mtu ana taratibu zake katika maisha.Wakati wewe unategemea ma ex kuendesha maisha yako wengine hatupo hivyo.Unadhani mkeo anakuchukuliaje anapoona unawasiliana na ex zako ? Je na yeye...
  12. M

    Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

    Kilalakheri dada ukampate mwenye mapenzi ya kweli ili mkaanzishe familia iliyo bora, ila kuwa makini huko inbox mana wahuni ni wengi watakaokuja kwa gia ya ndoa kumbe ni hit and run.
  13. M

    Yanga ni mbovu

    Kama unaumia vaa uende
  14. M

    Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

    Tuma picha kwanza watu wakusaminishe wasije uziwa mbuzi kwenye kiroba.
Back
Top Bottom