Search results

  1. M

    Kama ilivyokuwa awamu ya 5, ndivyo imekuwa awamu ya 6. Makonda ndio Mwanasiasa anayeogopwa zaidi baada ya Rais. Nini siri yake?

    Hakuna cha Magufuli mdogo.Chama ndicho inampa umaarufu kwa siku zinavyokwenda atakumbana na kiski hadharani ambacho kitamfaya ajitafakari.Anachofanya ni drama na kwa kuwa Watanzania wanapenda drama watakwenda kumsikiliza.Atakutana na Mtendaji wa serikali aliye ma msimamo na mbele ya hadhara...
  2. M

    TBC mpo serious kweli? Mnakata matangazo ya Bunge mnaweka shughuli za Mkuu wa Mkoa?

    TBC mpo serious kweli? Mnakata matangazo ya Bunge mnaweka shughuli za Mkuu wa Mkoa? Unakata matangazo ya Bunge unatunganisha na shughuli za Mkuu wa Mkoa Mbeya, kweli?
  3. M

    Malipo ya Serikali, kuna nini?

    Premium za wafanyakazi wangu
  4. M

    Malipo ya Serikali, kuna nini?

    Nimejaribu kuilipa NSSF kupitia app za NBC na CRDB banks lakini zote zinagoma. Nimejaribu kuingia Tausi portal ,inazunguka tu. Ni mimi tu au kuna mwingine kaliona hili?
  5. M

    Nape na Chalamila mna la kujifunza katika kipindi hiki kifupi

    Nape alijitokeza na kutishia wote waliouliza kuhusu alipo Makamu wa Rais. Kwa kipindi kifupi alipigwa spana Tweeter za kutosha. Hazikuwa spana kavu bali na vifungu vya sheria na katiba na kidogo wakampekua hata mambo yake mengine. Ametulia! Chalamila alijivika Uamiri Jeshi (kwa cheo cha...
  6. M

    Kikosi cha kuzuia ghasia magerezani: moja ya vikosi hatari kabisa, FFU wanasubiri kwa hawa jamaa

    Gereza ni sehemu ya kuwahfadhi watu ambao wameshindwa kuendana na jamii na ho wapo wa aina nyingi mpaka wauaji ni wengine wenye matendo maovu kabisa.Uasi ndani ya gereza unaweza sababisha watu hawa kutoroka.Naamini ni lazima wazuiaji wa fujo za gerezani wawe watu imara na wenye ujuzi wa kutosha...
  7. M

    Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Mvuta bangi kaiangusha serikali mahakamani
  8. M

    Paul Makonda ameagiza Waziri wa TAMISEMI kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Pangani Haraka Sana

    Unachanganya mambo,vikao na maamuzi ya Chama hupelekwa serikalini na si kiongozi 2a Chama kumkoromea mtumishi.Mtapigwa makofi hadharani
  9. M

    Mohamed Janabi, endelea kuelimisha

    Mohamed Janabi umeitendea haki elimu yako kwa kuwaelimisha Watanzania na walimwengu kuhusu magonjwa yasiyoambukiza ambayo mengi yameongezeka kutokana na mwenendo wetu wa Maisha. Pamoja na kejeli na kawaida yetu waswahili kupuuza kila kitu mpaka kikukute alkini hujakata tamaa.Umetumia kila aina...
  10. M

    NADHARIA Raia wa visiwa vya Fiji walitokea Tanganyika

    Pamekuwa na maneno kuwa Wananchi wa FIJI wana asili ya Tanganyika. JamiiChek tusaidieni kufanyia kazi suala hili. Wakazi wa Fiji (Chanzo: Mtandao)
  11. M

    Biashara ya mpunga...

    Jambo la kwanza ni kujua soko liko wapi.Kuna sehemu ambayo mpunga bei ipo chini kwa kuwa miundombinu ni mibovu
  12. M

    Hukumu ya Sabaya na Wenzake

    Mmh
  13. M

    Makonda alizaliwa kuwa Kiongozi, ni aina ya watu adimu sana kwenye Uongozi wa Juu

    Maneno machache ambayo bado yananirudia kichwani "Kudhulumu haki ya kuishi".Ban ya wamarekani ilisema hivyo.
  14. M

    Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

    Unajua fika kuwa kwamatendo yako una maadui wenye uwezo,je uta expose family yako?La pili unanyoosha watu kila siku kwa dunia ya leo kosa moja la mwanao linaweza kuharibu mipango yako yote. Yote kwa yote wanafaidi pepo wakiwa duniani,sidhani kama wana shida yoyote
  15. M

    Kufa kwa biashara ndogo ndogo Tatizo ni nini?

    Ni mjasiriamali na nina uzoefu mkubwa na biashara ndogo.Kwanza ni tabia ya kuanzisha biashara kwa kuiga.Pili ni uridhika haraka kiasi ambacho hata kuipa facelifting biashara yao hufanyi na la tatu ambalo ndio kubwa hasa ni NIDHAMU YA UWEKAJI NA MATUMIZI YA PESA.Hapa tunachemka mno na ndipo...
  16. M

    Askari polisi Koplo Juma Mswa na Konstebo Mataba Matiku waliomuua Luteni Generali Imran Kombe tar 30.6.1996 Bado ni watumishi wa Jeshi la Polisi?

    Mambo matatu makubwa.Moja nguvu ya pesa-aliyeibiwa gari ni tajiri wa kihindi.Wapelelezi wametoka Dar kutafutamgari ya tajiri.Ibiwa uone kuwa utapata msaada huo.La pili ni weledi wa askari wetu.Wamexhindwa kumgundua mwizi wanayemtafuta na wakafananisha.La tatu ni kutokufuata sheria.Polisi...
  17. M

    Mara: Mifuko 600 ya saruji iliyoibwa shuleni yapatikana

    "Hakuna wizi nyie" jasema minister
  18. M

    Tabia ya kuibia majeruhi pale ajali inapotokea imekithiri Tanzania

    Wadai marehemu haendi na kitu mbinguni."tuachie sisi" na ukibisha wanakumaliza.Naamini baada ya muda wanateseka sana kisaikolojia
Back
Top Bottom