Search results

  1. B

    Mwanzo wa kujifunza lugha

    Hatua hii najua kila mtu aliipitia . Naomba uandike maneno ya watoto unayo yakumbuka naanza na haya ya mwanangu .. mboda (mboga) ..mma (maji) ..kitombe (kikombe) daa tumetoka mbali
  2. B

    Teknolojia ya kucheza filamu na wanyama

    Habali wana jf hil jambo huwa linanifikilisha sana hivi ni sayansi gani wanayoitumia wenzetu kucheza filamu na wanyama mfano wa filamu hzo ANACONDA KINGCON PILONA(samaki wa bahalin) wana wa trein au nimicomputer KARIBUNI WAUNGWANA MCHANGIE CHOCHOTE
  3. B

    Maana halisi ya wivu

    Jamani wana jamvi hebu nisaidieni maana hali ya wivi hiv nini chanzo cha wivu kwani hata wanyama kama paka ,mbwa,farasi nao wana wivi.?
  4. B

    Hod ,hod, hod,jamani wana jf hodiiiiiiiii

    Wenyej heshima zenu jamani BOGABICHI nabisha hodi Nimevutiwa xana xana tena xana kwa elimu na burudani niipatayo humu wenyej nawaheshimu xana pia naheshimu mawazo na hisia zenu NIKARIBISHENI wana jamvii.
Back
Top Bottom