Search results

  1. _ BABA _

    Zanzibar strikes again !

    hehehe wazenjy bwana kwa kuongea tu hamjambo
  2. _ BABA _

    Kwa nini Taarifa ya Reginald Mengi imetolewa baada ya Hotuba ya Waziri wa Nishati na Madini?

    Huyo Muhongo wako ndiyo adui wa maendeleo na watanzania tunamjua sana hususani watu wa Lindi,Mtwara na Ruvuma,,, ni mara elfu afadhali vitalu vya Gesi na Mafuta akapewa Mengi kuliko kuwapa hao wazungu wenu mnaowaita wawekezaji huku ccm mkizunguka na kuchukua pesa kwa hao wawekezaji wenu kupitia...
  3. _ BABA _

    Watanzania waliosoma Havard

    Mimi pia nawafahamu Twins wawili wakutoka maeneo ya kaskazini mwa nchi yetu wapo hapo Havard school of medicine.
  4. _ BABA _

    Great thinkers complicate things

    we don't put or keep giraffes into the refrigerators.
  5. _ BABA _

    tozo za simu, Ikulu yafunguka

    wazimu mtupu, kampuni za simu ndiyo moja ya zisizolipa kodi ipasavyo,ninauhakika serekali wakiacha rushwa rushwa zao na wakakusanya kodi ipasavyo kwenye hizo hizo kampuni za simu tu watapata pesa zaidi ya hiyo 178 billion.
  6. _ BABA _

    Kauli ya Pinda sasa kwa January Makamba

    Hii hapa chini ni post ya January Makamba toka kwenye facebook wall yake: Masaa 2 yaliyopita. Yaliyojiri leo Mponde, Bumbuli: Tarehe 26 Mei 2013, wakulima wa Chai Bumbuli waliazimia kumkataa mwekezaji/mbia kwenye kiwanda chao cha Chai Mponde ambaye wanaamini alikuwa anawadhulumu. Pia...
  7. _ BABA _

    TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    Sizani kama akili inapimwa kwa vidato vingapi mtu kasoma....ila cha msingi tu ni kwamba watanzania wa sasa si wajinga wa kutopambanua mambo kama viongozi na chama tawala wanavyojiaminisha, hata kichaa anayetembea uchi kamwe hawezi kumbeba nyoka toka kichakani halafu akamweke ndani ya blanketi...
  8. _ BABA _

    TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    Sijui kama umenielewa kweli nilichokiandika..anyway Akili ndogo haiwezi ongoza akili kubwa
  9. _ BABA _

    TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    Sio kosa lako wewe ni mtu wa kuhurumiwa tu....yaani unavoandika kama ulikuwepo soweto wakati tuliokuwepo tulijionea fika polisi walichokifanya. Chris mtumikie kafiri upate riziki yako tu mkuu ila unachokisema hata ukimweleza mtoto wa primary school hapa Tanzania atakucheka sana.
  10. _ BABA _

    kwa wanaume...swali kusuka au kunyoa

    Personally ninapenda sana binti mwenye nywele fupi like za Amber Rose hata akiweka na ka wave kidogo huwa navutiwa sana.
  11. _ BABA _

    Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

    Toka post yako ya kwanza tu ulipoanza kutiririka nimegundua kwamba issue ya Dar ea salaam ni swaga tu za kuingilia ukumbini ila lengo lako kuu ni hapo penye red.
  12. _ BABA _

    Zanzibari chonde chonde

    Waacheni wazanzibar wajitenge bwana kwanini mnawakatisha moyo jamani???...tuwape moyo wajiondoe kwenye huyu kupe Tanganyika anayewanyonya kwa miaka mingi, mimi nawaombea sana wajitenge hata leo tena wamwambie kabisa Obama si yuko hapa leo na kesho ili awasaidie kupata nchi yao.
  13. _ BABA _

    NewYork Times: Violent Episodes Grow in Tanzania, an African Haven

    haya ccm wazee wa kukanusha hii ngoma ndo kwanza imeanza
  14. _ BABA _

    Maajabu Tanzania

    Mkuu PakaJimmy ninachokifahamu mimi ni kwamba kuna gari maalumu kwa ajili ya kusafisha barabara kwa maji,yaani zinatumia maji kusafisha barabara japo sijawahi ziona hapa nchini kwetu,hope ndiyo hicho kinachofanyika wadau wanakiita kupiga deki.
  15. _ BABA _

    Polisi wahaha kufuta ushahidi wa bomu na risasi

    policcm majanga matupu
  16. _ BABA _

    Kwanini wa'Zanzibari tunalalamika kwamba Tanganyika inatudhulumu?

    Bin Faza ninamashaka kama we mwenyewe unaelewa unachokiandika.
  17. _ BABA _

    CHADEMA ndo wamesusia shughuli za bunge?

    brain yako haiko sawa,hivi wewe ukipatwa na msiba waga unaacha maiti ndani kabla ya kuizika unakwenda kazini??? Viongozi na wabunge wa Chadema tupo nao hapa Arusha kwa jili ya maombolezo pamoja na maziko ya wanachama wenzetu,hadi sasa tupo kwenye msafara wa kwenda kumzika marehemu Judy william...
  18. _ BABA _

    Mazishi ya kiongozi wa CHADEMA - Judith William

    R.I.P kamanda Judy William, watanzania wapenda mabadiliko tutakukumbuka daima na tunaendelea na mapambano hadi kieleweka.
  19. _ BABA _

    PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Hii kauli sio kabisa na haifai kutolewa na kiongozi yeyote yule hata balozi wa nyumba kumi, ila inatia huzuni sana kwa Tanzania Waziri mkuu ndiyo anatoa kauli kama hii.Sasa ni wazi kabisa tumefahamu ni nani anaewatuma polisi kutupiga na hadi kutuua wananchi.Hakuna Risasi,vifaru na hata majeshi...
  20. _ BABA _

    Kijana Amiri Mtoi mhanga wa bomu la Arusha amezikwa leo Mkuzi - Lushoto.

    Poleni sana Mkuu Mohamedi Mtoi, Mungu azilaze mahali pema peponi roho za marehemu wote walioaga dunia kwenye mlipuko wa bomu hapa Arusha.
Back
Top Bottom