Search results

  1. J

    Kocha wa Taifa Stars afungishwa virago

    Hahaa Malinzi alihamishia TFF kwenye jengo la kupanga (PPF tower posta). Bahati nzuri FIFA wakatonywa wakawaambia warudi mara moja pale Karume. Uwezo wao huo wa kufikiri.
  2. J

    Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

    Assume next year Kiba yupo MTV, hatahitaji kura za Team Diamond ? Mi simpenzi wa muziki kihivo, ila naona dalili za kudidimizana. Kiba Team na Team Diamond bila uzalendo mtakua mna badilishana zamu ya kuumizana wenzenu watawacheka.
  3. J

    Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

    Assume next year Kiba yupo MTV, hatahitaji kura za Team Diamond ? Mi simpenzi wa muziki kihivo, ila naona dalili za kudidimizana. Kiba Team na Team Diamond bila uzalendo mtakua mna badilishana zamu ya kuumizana wenzenu watawacheka.
  4. J

    Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

    Kwani Kiba hayupo MTV nae tumpigie kura mazee ?
  5. J

    Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

    Sikuwahi kufikiria mwanamuziki wa Tanzania atakubalika Nigeria. Sikufikiria zama hizi kuona channel ya Kifaransa inacheza wimbo wa Mtanzania tena mpya. Badala ya wanamuziki wa bongo kumchukia Diamond, wamuige na kumshukuru, keshafungua njia. Kaza buti usife moyo Bro. Hawakuwezi wanafunga...
  6. J

    Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

    Hehee binadamu kwa vijiba vya roho hatari. Watu wana roho za nyani hawataki kuona mtu anapata wanataka afikwe na majanga tu.
  7. J

    Zitto aitesa CHADEMA Kagera, Mwenyekiti wa Wilaya ya Biharamulo arudisha kadi

    Jaman Chaga SACCOS kwani Slaa, Lissu, Mnyika, Salim Maalim, Professor Baregu, Professor Safari, Adv. Marando etc ambao ndio viongozi wa juu ni Wachaga ?
  8. J

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Wabongo chuki kwa home boy ni fedheha. Let's support Diamond.
  9. J

    Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

    Katuloga nani Wabongo ? Mungu wangu, siamini km haya ni maneno ya Mtanzania. Diamond anaiwakilisha Tz haibadiliki. Davido anaiwakilisha Nigeria. Duuh
  10. J

    Sangali Masanja, ana nafasi nzuri ya kushinda Jimbo la Sumve

    "Hehee" hivi ukuwadi sio huu? Chadema ina taratibu za kupata wagombea.
  11. J

    Ni kujindaganya kusema CHADEMA ni chama cha ukombozi, nao ni wasakatonge tu...

    Nadhani badala ya kumshambulia uchambuzi juu ya umuhimu wa kutumia helicopter na faida zilizo patikana tangia utaratibu huo uanze vinatosha. Tusiwe km wale tunaowasema kwa kukimbia hoja na kutukana kwa kuita watu Tumbili halafu baadae wanajiuzulu kwa jambo hilo hilo. Hoja kwa hoja no jazba...
  12. J

    Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Idris the winner BBA 9. The Muller is his
  13. J

    Mkombozi Bank: Miamala iliyofanywa kupitia Akaunti ya VIP Engineering ilikuwa halali

    Huge transaction to Politically Exposed persons is suspicious transaction and ought to be reported to FIU according to Ant Money Laundering Act. what about this
  14. J

    Pinda hafai tena kugombea urais !

    Duh yumo? Atajuta kutatangaza. Hivi baba Rio karudi? Anayajua haya?
  15. J

    Mhe Mbowe Kumbuka Jimbo lako la Hai

    Mimi ni wa Hai, Mbowe Mbunge wangu ila sikuelewi. Usifikiri watu wa Hai ni sawa na wa ma jimbo mengine unayoyajua wewe ndugu yangu. Wana Hai wanajitambua hasa. Tena vyama wao sio hoja ya msingi ila sijasikia malalamiko kama yako, sanasana wanajivunia kijana wao kulitumikia taifa. Bahati...
Back
Top Bottom