Search results

  1. R

    Dr.slaa afunguka kuhusu posho - uzalendo wa DK SLAA ukowapi???

    slaa ka muvi za kichina watu wanapaa angani na n.k. Anatafuta tu kuaminika lakin hana lolote. Kwa msing wa makubaliano yake na chadema ina maana na yy sa hv analipwa lak tatu kwa cku na ikipanda naye ataongezewa so hata akijifanya kupinga ni kiini macho.
  2. R

    Kamati ya Bunge Maalum la Katiba hatimae imependekeza kwa Rais posho ya tshs 500,000!

    We wa wapi? Kwan msimamo wa chadema juu ya ccm na ufisadi haujulikan? Lakin unategemea waache kuongelea hayo? Hemu jitambue tuzungumzie hoja ya hz posho tatzo mnakimbia hata hoja za msingi kisa znatoka kwa watu msioafikiana kimtazamo
  3. R

    Kamati ya Bunge Maalum la Katiba hatimae imependekeza kwa Rais posho ya tshs 500,000!

    Acha hoja nyepesi hapa issue ni posho za kufuru wanazotaka hawa waganga starehe wakati cc tunaganga njaa, sasa pesa za zitto zinaingiaje hapa? Kwa hyo mtatiro na wengine wanaopinga wameficha hela kwenu?
  4. R

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    2015 hakuna mwingine. Makosa sasa basi. Makamba atosha
  5. R

    Kwa Ukali Dr Kitila Amjibu Ansbert Ngurumo

    kitila yuko sahihi. Tatizo wanaompinga wanampinga kwa hisia zaidi na sio kwa hoja. CHADEMA wasimame wakatae kuwa kwenye ilani na kampeni na walivyoingia bungeni hawakutangaza kuacha kupokea posho za vikao; wakatae kuwa mbowe hakurudisha shangingi la serikali na akalirudia; wakatae kuwa wabunge...
  6. R

    Rais Kikwete ahojiwa na CNN kuhusu ujangili

    Bora kukomba kitabaki. Namuonea huruma rais ajaye maana atakapotaka kukopa ataambiwa mmfekia kiwango cha mwisho kukopa, akitaka kuwapa wawekezaji atakuta waliopo wamewekeza kwa miaka mia moja hadi maeneo ambayo utaft unaendelea na akitaman kuuza tembo ataambulia swala tu labda auze pembe za...
  7. R

    Rais Kikwete akataa kujibu tuhuma za gazeti la Uingereza

    Hajitambui hlo. Katika hili la tembo chama pembeni cwez kuwa mnafk. Kama wabunge wangekuwa wanajitambua wangemng'oe jk
  8. R

    Rais Kikwete akataa kujibu tuhuma za gazeti la Uingereza

    katika hili kusafishika sio rahc. Kwa kasi ya ujangili iliyopo kufikia 2016 kutakuwa na tembo wanne na pengine hakuna. kwenye ujangili jk hawez kujiengua kama kinana alikir meli iliyokamatwa na pembe ni ya kwake na report inadai wadhamn wa chama wanafanya biashara hyo kukusanya hela za kampeni...
  9. R

    Makao Makuu ya CHADEMA yanusurika kuteketezwa kwa Moto!

    Makene mnatafuta public sympathy kwa kushindwa kwenu? Hivi mnayajua mafuta au mnayasikia kwa hiyo wamechoma aafu hamna hata gari kuungua. Hizi nazo ni fununu za kumake headlines
  10. R

    Ya Chopa 3, ushindi Kata 3 na masuala ya msingi kwa wanaCHADEMA, wapenda demokrasia

    Pamoja na Tanzania kuhitaji mabadiliko kwa haraka, lakini haya hayawezi kuwa through CHADEMA kwani hawa jamaa sijui huwa wanawaza kwa kutumia viungo gani. Makene anachokitetea ni upuuz mtupu, chadema kwenye majimbo mengi hamna hata pikipik, kupata bendera tu ni issue wakati ccm kila wilaya kina...
  11. R

    Tathmini: Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani uliofanyika Februari 9, 2014

    Wasubr sana chama siasa kikiwa taasis ya watu hata siku hakiwezi kushika dola. Kama chama wamekihodhi na kufanya cha familia na sehemu ya kuchumia hela na kupatia mahawara kwa kuwaonga viti maalumu, wakipewa nchi si watajimilikisha mpaka magenge ya watu?
  12. R

    Tathmini: Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani uliofanyika Februari 9, 2014

    Chadema walidhani kwa umaarufu walioupata wanaweza kuwatupa wowote wasioendana na mawazo ya mbowe. Haya ni malipo ya dhambi ya kusaliti michango ya wengine na kuwatwisha madhambi yasiyo yao mara wasaliti mara vile. Bilion na helkpta zote kumbe ilikuwa ni political tour tu. Mfa maji haishi kutapa...
  13. R

    One On One with January Makamba: Azungumzia maisha yake ya kijijini, familia na Urais 2015

    kama kuna vitu hatutakiwi kuvihusisha katika kumpa mtu nafasi au kutompa ni dini na kabila. Tuzungumze yote lkn kujadili udini na ukabila n kukata tawi tulilolikalia.
  14. R

    Lowassa ndiye Waziri Mkuu wa Kwanza Mwenye Power ya kweli katika Historia ya Tanzania - William Malecela

    japo pesa ni sabuni ya roho lakini haiwez kusafisha dhambi. Hzo rushwa anazotoa makanisani na misikitini ndo znafanya mumuone z best? Wenye maslahi binafsi pekee tu wanaomuunga mkono fisadi huyu. Na naamn kwa kuwa mungu yupo hawez kushinda. Mateso aliyotusababishia ni laana tosha kwake
  15. R

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Hawa chadomo wanatutumia wanzazibar vibaya matatizo yetu wanayafanya mtaji kisiasa. Ubaguz haushi hata wakifanikiwa wanatugawa ili watimize uchu wao wa madaraka. 2015 january atosha
  16. R

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Aisee bado ni kitu chema kwani katika siasa all is needed is imfluence not power. Siasa ni ushawishi sio mabavu au nguvu ya mihela ka mamvi.
  17. R

    Tamko la M/kiti CCM MKoa wa Shinyanga dhidi ya Malecela, Makonda

    tangu mwanzo nililiona anguko la lowasa. Mwisho wa ubaya ni aibu huwez kuliibia taifa kwa kias kile aafu utegemee utaendelea kubak juu ukadhan mungu hakuoni. Taratiiibu magamba ya magamba yanaanza kuputika
  18. R

    Lowassa akiingia ikulu uadilifu wa mtanzania utakuwa mfukoni mwa rushwa

    the means justify the end. Njia anayoitumia ni kielelezo tosha cha yatakayokuwa yanajiri kama akipita. Ukitaka ukuu wa wilaya unaambiwa una kiasi gan bac unajinyakulia nafasi. Kuna proverb moja naipenda ' the thief never retire' MWIZI HUWA HASTAAFU.
  19. R

    Lowasa ajiandae kufungishiwa virago CCM.

    kwa mara ya kwanza vijana wa ccm wamepata ujasiri na kusema ya moyoni juu ya vitendo vya rushwa iliyokithiri kwa baadhi ya viongozi ndani ya chama hicho. Ilikuwa kawaida kwa wengine tusio ndani ya chama hicho tukihoji rushwa za nje nje za kiongozi kwa viongozi wa dini, viongozi wa chama chake na...
Back
Top Bottom