Ha ha ha!Umenichekesha.Kuna Siri katika Shukrani Mkuu,Mbwembwe nazo ni muhimu vile vile ni katika kunogesha Hotuba...Anyway limepokelewa na litafikishwa mahali husika.
Mkuu.Nakubaliana na hoja zako ila hii ya Serikali kutomiliki Magari,ooh no!Gharama za Kukodi Magari kwa Siku ni kubwa kuliko kuweka Mafuta.Zipo njia za kuzila matumizi mabaya ya mafuta.Serikali haiwezi kuacha kumiliki Magari kwa hoja hiyo!
Asante sana Mkuu!Moja la Hesabu kwa ndugu zetu wasioona liliulizwa Bunge lilipita na Mhe Magreth Mkanga ila sikuridhika na majibu ya Naibu Waziri wa Elimu na bahati mbaya sikupata nafasi ya kuuliza swali la nyongeza.
Mengine yote ni Mapya kwangu, TAKEN!
Wish You all the best!
"Mbowe for Presidency 2015 usikubali Rais aliyewahi kuwa Padre na katibu wa TEC""
Hii signature yako unamaanisha nini?Dr Slaa anawanyima usingizi eeh?Hamuwezi kuwagombanisha Mbowe na Dr Slaa hata mfanyaje!halafu kwa taarifa yenu wanajua mipango yenu yote .....
Mkuu nimeipenda sana hii hoja ila number of days ndio sikubaliani nazo..Is viable kweli for let say President,awe Na only 30days out of 365?sidhani kama tutajitaendea haki nchi yetu..Mi nadhani tungeongexa kidogo number of days..
Nchi ombaomba huzaa Wananchi ombaomba.Pamoja na Mishahara bado watu wanaomba eti hata Wabunge huomba kwa waliowazidi kifedha.Kumbe tumerithi toka kwa Wakuu wetu wa nchi...NI AIBU!
swali kwa Mh.Mume wangu yeye alikuwa mbunge lakini alinikataza mimi kuwa Mbunge hasa kwa viti maalum,nilimuhoji lkn alikataa kunipa undani.lkn niligundua ni Wivu alionao baada ya kuishi sana Bungeni na kuona mengi. jee unatwambiaje dada kwa hili?
Kumbe umekuwa Mwanamke Siku hizi?Na hivyo...
Wakuu habari! Nimatumaini yangu kuwa tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila Siku.
Nimeamua kuanzisha Uzi huu kwa lengo la kukuza ya kero,maoni,ushauri na chochote toka kwenu ili tuweze kuyasimamia ndani na nje ya Bunge.Kwa kutambua kuwa wanaJF wamesambaa kila...
Mlongo,nimekupata vizuri Mlongo wangu.Nashukuru sana kwa ujumbe wako huu kuna vitu nimejifunza.Mwaka huu nimejipanga kuyatekeleza haya uliyoyasema ambao nimeshakaa na baadhi ya watu wa Ulanga ya namna ya kuingia kule.Daraja la Mto Kilombero nimelizungumzia sana Bungeni na hata kwenye Vikao vya...
Mkuu haya ndio yaliyonifanya nisijibu kila comment kwani jibu moja huzaa hoja nyingine tena kwa makusudi tu.Kama umenisoma vizuri kwenye post yangu ya mwanzo nimejieleza vizuri kuwa nimefanya kama Mbunge wa Vitimaalum toka Wilayani Kilombero na nikaeleza vizuri kwamba nimeyatekeleza kwakuwa...
Wakuu naamini tumeanza mwaka mpya vizuri.
Ninawashukuru wote kwa michango yenu nimeipokea yote.Nitumie fursa hii pia kujibu baadhi ya hoja zilizoibuka humu .
1. Kuna wengine wamenipiga shuti kuwa nimekuwa kimya sijajibu hoja ,ukweli ni kuwa kuna baadhi ya hoja nimezijibu lakini pia nisingweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.