Search results

  1. Mbwa dume

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Hivi hili neno "Upwiru" nayo ni swahili fasaha au swahili kitaa?
  2. Mbwa dume

    Sijawahi kukutana na mwanamke bikra katika mapenzi

    Mie nashangaa sana eti unakuta humu kuna mijitu ina akili timamu kabisa na imesoma mpaka vyuo halafu jitu linakuja kuoa demu asiye na bikra hata moja! Yaani wahuni walishavunja komeo la mlango wa mbele na kuhamisha bawaba za mlango wa nyuma😆😆😆
  3. Mbwa dume

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Nilipogundua kwamba kumbe kwenye ndoa kuna muda unanyimwa ufa.!
  4. Mbwa dume

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Ni Jambo Jema Sana ila nadhani wangeanza na uchunguzi wa waliomshambulia Lissu
  5. Mbwa dume

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Mkuu maisha ya wadada ni magumu Sana oa tu hiyo Mali(Kula chuma hicho) Hapo ukute keshakutegeshea mimba ili akuzalie kabisa
  6. Mbwa dume

    Mambo ya kuzingatia ewe kijana uliehitimu elimu ya chuo kikuu

    Hapo kwenye point ya mwisho kabisa nakazia..!!! #Okoa kibunda chako pia okoa afya yako ya mwili na akili - kataa ndoa, kataa mahusiano ya mchongo hamia CHAPUTER
  7. Mbwa dume

    Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

    Ukiwa na umri mdogo halafu huna majukumu au huna kazi ya kufanya pengine bado unaishi kwenu au kwa shemeji hapo unaweza kushinda unachart na kukesha unaongea na simu na mademu ila kama umeshaingia kwenye harakati za maisha na una majukumu mengi huwezi kufanya huo upuuzi!
  8. Mbwa dume

    Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

    Kwani jamaa ashaonja mbususu akaridhika nayo? Usije kurudi na ID mpya humu ukiwaita wanaume mbwa!😀😀😀
  9. Mbwa dume

    Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

    Mkuu mbwa wa kienyeji mbona wapo wengi tu wamezagaa mitaani wanakula mavi ya walevi! We nenda maeneo ya machinjioni, dampo na maeneo ya vilabu vya pombe mwitu utakuta mijibwa kibao unajichukulia hata bure( kuhusu kuwa mkali unamvutisha bange kidogo)
  10. Mbwa dume

    P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

    Mbona nasikiaga eti hata baadhi ya wasanii wa kiume Bongo wamewahi kutafunwa na madon wa kiarabu (hasa yule Babu wa Mombasa) ili wapate hela ! Hata huyu msanii naniliu nasikia yeye na rafiki yake wa zamani waliwahi kukung'utwa Sana tu ila yeye alivyopata hela akaacha
  11. Mbwa dume

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Mimi nimekuelewa Sana mleta mada Kuna binadamu ukisaidiwa hata kidogo hutoa shukrani hata ya mdomo just neno "asante" inafariji na inakupa moyo kwamba ametambua msaada wako Ila kwa hiki kizazi hasa hawa viumbe wa kike hawana huo moyo! Kuna dada mmoja nlimkuta njiani mvua kubwa inanyesha...
  12. Mbwa dume

    Mchekeshaji Nyanda Kabundi fanya haya

    Hii comment ukijumlisha na bange niliyovuta nimejikuta nacheka Sana mpaka mbwa wangu wamenisogelea kuona kuna kitu gani
  13. Mbwa dume

    Mchekeshaji Nyanda Kabundi fanya haya

    Nilitarajia kukutana na comment kama hii😀😀😀humu kuna watu wana akili Sana!
  14. Mbwa dume

    Labda anitekenye

    Mkuu hujui raha ya "kutekenywa ukatekenyeka"?
  15. Mbwa dume

    Ni muda gani hutakiwi kuzidisha bila kushiriki tendo la ndoa na mwenza wako, ili ndoa iwe hai?

    We mdanganye tu ila Kwa kizazi cha sasa nasikia ukiwa mbali naye siku Saba tu ushachapiwa! Sasa kwa miezi Si atakuta wajukuu kabisa!
  16. Mbwa dume

    Mwanaume zingatia haya mambo madogo

    Hii jamaa inaonekana ikizeeka itakuwa kizee kinoko kinoko
  17. Mbwa dume

    Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

    Kuna mm Kuna mmoja humu Kuna mmoja humu aliniumizaga nafanya kazi gani nikamjibu nauzaga majeneza akaniblock kabisa😀ila badae nilimfuata Pm na Id mpya nikajifanya nauzaga magari kutoka Japan akanikubali fasta japo sikufanikiwa kumla maana alianza vizinga mfurulizo nikaona nipite hivi
Back
Top Bottom