Search results

  1. jembe afrika

    Mahusiano ya aina hii ni ya uuwaji kabisa

    Nimejikuta naandika hapa kwa namna nilivyojionea mwenyewe kwenye mahusiano. Unakuta uko kwenye mahusiano na mtu...unamsaidia mambo hata kama si kuyamaliza ila yale ya dharura unayapa kipaumbele, ikumbukwe kila mmoja anashughuli inayomuingizia kipato. Sasa inafikia mwanamme kazi zako zimesimama...
  2. jembe afrika

    Uchaguzi 2020 Naomba majibu ya maswali haya toka kwa CCM

    Huwa najiuliza maswali yasiyo na majibu. Kwenye kampeni tunasikia mengi na ahadi nyingi ambazo mara nyingi hazitekelezeki: 1. Hivi mnaponadi mmefufua reli, ni serikali ya chama gani ilifilisi? 2. Shirika la ndege lilifilisiwa na viongozi wa serikali ya chama gani? 3. Mnaposema mmeleta ndege...
  3. jembe afrika

    Wanoknok

    Mweye wimbo wa ladyjaydee na Mandojo unaitwa wanoknok anisaidie
  4. jembe afrika

    Kung'oka kwa meno

    Wadau hamjambo Nina mtoto wangu katimiza miaka 6 tarehe 10 April mwaka huu....sasa tangu meno mawili ya chini yatoke na kuota mengine ni miezi Sita imepita....mpaka sasa meno ya juu hayajang'oka hata dalili ya kulegea hakuna je kuna tatizo hapo?
  5. jembe afrika

    Msaada: Majina ya kiume na ya kike yanayoanzia na J

    Wandugu nayapenda sana majina yanayoanzia na j.hebu tupia la kike na lakiume.asanteni
  6. jembe afrika

    SERENGETI: Basi la Kimotco lasombwa na maji, watu wanne wamejeruhiwa

    Basi la kampuni ya KIMOTCO lililokua linatoka Musoma kwenda Arusha kupitia Mugumu, limepata ajali katika mto wenye viboko ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti. Maji yamesababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hifadhini.
  7. jembe afrika

    Serengeti kutamu, ona hii

  8. jembe afrika

    Hii shule itakua wapi

  9. jembe afrika

    Wanaume wa Dar mnahitaji msaidiwe

  10. jembe afrika

    What goes around......

    Hahahahaaaaa aonja joto ya jiwe
  11. jembe afrika

    Utafiti: Wanawake wafupi wenye mwili mdogo

    Nimefanya utafiti huu kwa miaka saba. Si wanawake wote ila asilimia 95 wanawake wa aina hii kwakweli sina hamu nao ni wakorofi kupindukia. Wengi wao hawashauriki na katika mahusiano, nimejikuta naachana nao bila sababu ya msingi. Tofauti na wenye mwili na warefu huwa wanauvumilivu ule wa...
  12. jembe afrika

    Nimepata ukweli kuhusu Dar, Mwanza na Arusha

    Ile Dhana ya watu kubishana huku ndani kwamba Ni Wapi kuna wanaume wa kweli Kati ya mikoa hii. Wiki iliyopita nilifanya kautafiti kangu nikapata jibu.ilikua hivi Katika kazi yangu ya mizunguko, safari yangu iliishia dar jk nyerere airport.baada ya kuachana na wageni wangu mida ya saa Saba...
  13. jembe afrika

    Bro Nape Nauye yuko likizo?

    Huyu jamaa kimya kimezidi sana au nae ni mmoja wa majipu yanayosubiriwa kutumbuliwa?au hapa kazi tu zimemkata ngebe na mdomo?asante magufuli kwa kudhibiti waongeaji na wavivu wa kazi.
  14. jembe afrika

    Naomba ushauri, naenda UK

    Ni wiki ijayo,naondoka na KLM, Sasa mawazo yananisumbua kuhusu magaidi hawawezi kututungua kweli? Pili ni kuunganisha ndege kati ya Amsterdam na Manchester na kiingereza jamani mimi hakipandi nitamuuliza nani kwenye uwanja uholanzi anionyeshe ndege nyingine? Na msosi nitaagizaje kwenye ndege...
  15. jembe afrika

    Channel ten ni uchakavu au bado wanajifunza?

    Nashindwa kuelewa huu uongozi wa Channel ten hawana elimu ya kuopareti mitambo yao? Nauliza hivi kwa sababu kila siku tatizo hilo hilo linajirudia, kama sauti kukwama, au picha kukwama au vyote kwa pamoja ina maana wameshindwa kurekebisha kabisa miaka yote? Hata mapresenter wao wanasoma...
  16. jembe afrika

    Natamani siku zingerudi nyuma

    Hili basi limenikumbusha siku naenda kumuona mama yangu mkubwa nikiwa na mfuko wa Marlboro nimewekea nguo zangu!na ndani ya mfuko niliwekewa na bibi karanga na mihogo ya kula njiani! Kilometa 40 tunatumia masaa 4 Hadi matano.halafu konda ndo mjanja kila abiria anajipendekeza kwake ili tu...
  17. jembe afrika

    Nimeamini TANESCO wanatumika kisiasa

    Nafikiri kila mmoja ni shahidi kwa aibu aliyoipata Magufuli ya kuzomewa!sasa wameamua kukata umeme karibu nchi nzima ili tusione news ya aibu ya saa mbili.pole yao siku hizi hatutegemei TV kihivyo.Waende TCRA wazuie na bando za net hapo ndo watatuweza.poleni CCM hiyo ni laana ya watanzania mpaka...
  18. jembe afrika

    Kwa hili CCM nawasubiri kwa hamu

    Kwa upande wetu sisi huku kwetu tulishampa kura yetu lowasa hata kama ni mgonjwa si mbaya akafie ikulu.hata makamu wa raisi mkapa alifia kwenye uongozi akateua mwingine hamu yetu sisi huku Ndaguzabhana ni tamasha au fiesta. CCM njooni na wanamziki wengi kama mlivyofanya Moro, Dar na kwingineko...
  19. jembe afrika

    Magufuli kasababisha nikosane na demu wangu

    Wakuu, Hapa ninahasira mbaya,iko hivi Leo nilikua na ahadi ya mpenzi wangu aje alale kwangu sasa nikaandaa mamisosi ya kutosha ili kakipenzi kangu kafurahi,kweli akaja mida ya saa moja hivi,mara saa mbili ikafika tukiwa tumekaa sebuleni tukafungua news ITV,sasa si unajua kipindi hiki Ni cha...
  20. jembe afrika

    Mgombea mwenza huyu majanga

    Huyu mama samia wa ccm nimemfatilia kwa muda sasa,hivi anajua anachokifanya???masikini hana ushawishi kabisa wa kisiasa!na kila anakokwenda anapewa karatasi ya kusoma na kuelezea wakati anahutubia!kwa hali hii atakua na kumbukumbu ya matatizo ya watz kweli?ni afadhali kuliko tupoteze muda Ni...
Back
Top Bottom