Ndugu great thinkers
Kwa muda mrefu nimekuwa nikipita kwenye customer care offices za makampuni ya simu hasa pale mlimani city. Moja mambo niliyo yaona ni foleni kubwa ya wateja wateja wanao renew line zao za simu. Maswali ninayo jiuliza ni:
1. Simu zilizopotea pamoja na line za wateja hao...
Jamani watanzania wenzangu,
Naomba tushauriane ni nishati gani nafuu ya kutumia majumbani kupikia hasa kwa watu wa kipato cha chini au cha kati tunaoishi mjini? Maana bei ya gesi au mkaa ni zaidi ya Sh. 50,000. Umeme ndo huo huwezi kupikia na haupatikani kwa uhakika. Mafuta ya taa sina uhakika...
Ndugu wana JF,
Hivi hapa DSM hakuna radio inayotangaza live session za bunge ukiacha Tv. Au radio zetu ni kupiga miziki tu wakati kuna masuala muhimu ya Kitaifa yanaendelea?
Zaidi ya wanawake 250 wa mji mmoja nchini Kolombia wameanza mgomo wa kuwapa unyumba waume zao ili kuishinikiza serikali iifanyie marekebisho barabara inayoingia mjini humo.
Wanawake katika mji wa Barbacoas wanaamini kwamba iwapo wataanza mgomo wa "kuibana miguu yao" kwa kuwanyima unyumba waume...
Wakazi wa vijiji vinavyozunguka mgodi wa dhahabu wa Bulyankulu (BGMCL) Wilaya ya Kahama mkoani hapa, wameandamana katika Kijiji cha Segese na kufanya uharibifu mkubwa wa barabara kuu iendayo mgodini kwa lengo la kushinikiza serikali kutekeleza ahadi iliyotolewa na vingozi wake wakati wa...
Uchunguzi wa NIMRI,MUHAS
Uchunguzi wa awali uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Afya na Tiba cha Muhimbili (MUHAS) umebaini kwamba dawa ya magonjwa sugu inayotolewa na Mchungaji Ambilikile Mwasapila ina uwezo wa...
Jamani tuelimishane neno au jina lolote la kingereza kwa kiswahili. Naanza na haya
Calculator - Kikokotoleo
Tv - Luninga
Photocopy - Kinakilishi
Laptop - compyuta mpakato
Keyboard - Kichapio ?
Printer -
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA), imepiga marufuku matumizi ya chupa za plastiki (vidumu) kuhifadhi au kubebea mafuta jamii ya petroli, kwa kuwa zina uwezo mkubwa wa kulipuka.
Pia imewataka wauzaji wa nishati hiyo katika vituo vyote vya mafuta nchini, kukataa...
TANESCO, shirika la umma linafanya biashara isiyo na ushindani katika nchi hii. Wanakusanya bili prepaid (LUKU) lakini huduma bado ni utata. Tunafahamu wana wataalamu wa kila aina mfano wataalam wa umeme, uhasibu, masoko, sheria nk. Maswali tunayojiuliza:
Mvua isiponyesha, umeme mgao, je...
Je ni kitu gani ungependa kiwe kwenye katiba mpya?
DEREVA: Trafiki wasiwepo barabarani
MWANAFUNZI: Mitihani isiwepo, baraza la mitihani lifutwe
MFANYABIASHARA: TRA itaifishwe
Wewe Je?
Katika kupitia speech za Baba wa Taifa, hii niliipenda, nitanukuu point chache alizozungumzia kuhusu sifa kiongozi wa Taifa letu wakati akihutubia mkutano mkuu wa CCM:
Watanzania wanahitaji mabadiliko. Wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM
Watanzania wanahitaji kiongozi...
Kwenye majambos lazima aende mizunguko 15 kila siku
Ana wake 4, wanapokezana hakuna kulala
nguvu zake ni sawa na wanaume 30000
anaweza kuzuia treni isitembee
anaweza kupindisha sarafu kwa kukandamiza kwenye jicho lake
Akitumia mikono anaichana sarafu kama karatasi
Haruhusiwi kufanya kazi yoyote...
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, amewashukia watendaji wa ofisi yake kwamba wanahatarisha maisha yake kwa kuvujisha siri za wizara hiyo.
Mkulo alitoa kauli hiyo baada ya gazeti hili hivi karibuni kuripoti kuwa alikodi ndege kwenda Dodoma na kumuagiza dereva wake amfuate kwa shangingi...
Kwa mujibu wa taarifa ya TCRA, kwa kipindi cha miezi 3 (July - September 2010) Watanzania walitumia kiasi cha shilingi bilioni 555 kwa kupiga simu na kutuma msg.
Matumizi hayo yalikuwa ni makubwa kuliko mapato ya Serikali kwa mwezi. Kwa mtazamo wangu mahitaji ya simu kwa maisha ya kawaida ni...
Hebu fikiria kuwa kuna mtu amekuletea mali ya wizi mfano simu ya bei kubwa (zaidi ya Tsh 600,000) akakuuzia bei poa kama Tsh 30,000, Je utakataa kununua? Kumbuka kuwa muuzaji humjui mmekutana tu barabarani na ni eneo ambalo halina watu, kiasi ambacho huwezi kufanya chochote kumchukulia hatua za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.