Search results

  1. K

    Tamko la Kamati Kuu ya Chadema: Jan 31 Jan, 2011

    Siamini kuwa kamati kuu ya CHADEMA ni dumbers kama walivyo viongozi wa sekretari yake hivi sasa. Siamini kuwa wao wanaamini kuwa wabunge 47 wao wanaweza kuwalazimisha zaidi ya wabunge 270 kuwafuata. Kutokana na mazingira waliyoyajenga mara baada ya ushindi wa viti 47 sioni uwezekano wa wao...
  2. K

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Hivi ninyi mnaobishana na huu ujinga wa MTANDAO hamna kazi za kufanya?
  3. K

    Kweli Marehemu Dennis Michael (R.I.P) ni mhanga wa Demokrasia?

    Kama ni hivyo, kwa waungwana wangetoa mchango tu tena bila ya kujitangazia na kuwaacha ndugu kuamua na kutekeleza shughuli za maziko bila kuwaingilia. Lakini ninyi sio tu mkatumia kuwashurutisha na hata kuwatisha ndugu hao lakini mkahakikisha kuwa mnaonekana dunia nzima mmebeba mwili wake huo...
  4. K

    Kweli Marehemu Dennis Michael (R.I.P) ni mhanga wa Demokrasia?

    Msando, Hivi wewe ambaye ni wakili wa viongozi wa Chadema huku ukwaita askari polisi kuwa ni mbuzi na kushangilia kuwa kuna askari polisi wamafukuzwa katika nyumba ya kupanga bila ya kusema kuwa mwenye nyumba ni mchaga amabye ni mfuasi mkubwa wa Chadema unadhani kuwa unaweza kuwa objective kwa...
  5. K

    kongamano la katiba UDSM Lahujumiwa

    Kwa mitazamo kama hii bado mnadhani kuwa Waislamu ndio wakorofi na wengine ndio wahanga? Wazee waliposema tusichanganye dini na siasa walijua kuwa kuna vichwa vibovu kama hivi ambavyo hata wakati moto unawaka wao hawataona mantiki ya kutoogelea katika bwawa la petroli.
  6. K

    kongamano la katiba UDSM Lahujumiwa

    Acha kujidanganya. Katika hali iliyokuwepo sasa na ukichukulia uanaharakati wa viongozi wa kanisa kwa muda mrefu sasa, hata waislamu weny kuumia na mapungufu ya Kikwete ama CCM kwa sasa wako naye. Mlipoambiwa kuwa wanachokifanya viongozi wa kanisa sio busara mling'ang'ania kulazimisha kuwa ni...
  7. K

    Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

    Ni kweli ana uchungu na nchi lakini sekta ya busara na uaminifu kidogo inapiga chenga....
  8. K

    Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

    Hii ya Msabaha na Chenge imekula kwake na pengine ITV....
  9. K

    Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

    Baada ya kufuatilia mjadala huu wa ITV yafuatayo ni machache niliyoyang'amua.... Ni wazi mjadala ulikuwa wa kichochezi zaidi kuliko elimishi. Rugemeleza amejaribu kuwa mkweli zaidi na kuepuka siasa nyingi lakini pia hulka yake ya hamasa tele imemfanya kuwa anajichanganya mambo mengi. Mojawapo...
  10. K

    Kweli Marehemu Dennis Michael (R.I.P) ni mhanga wa Demokrasia?

    Moderator acha ushabiki. Ni haki yangu kutumia kichwa cha habari nilichochagua na kama hakina madhara ya kijamii si jukumu lako kubadilisha na kuweka kichwa cha habari kinachokufurahisha ama kukidhi maslahi yako.....Kichwa cha habari (Title) niliyotumia ni Ninahoji UHANGA wa Marehemu Dennis...
  11. K

    Kweli Marehemu Dennis Michael (R.I.P) ni mhanga wa Demokrasia?

    Ni vizuri mnaojua kiswahili mmenifahamisha maana ya uhanga, lakini mnasemaje kuhusu hali ya kukosa uungwana na uaminifu wa kuweka wazi kuwa marehemu Denis Michael hakuwa mmoja wa waandamanaji ama wafuasi wa Chadema kama ambavyo viongozi wa Chadema wamekuwa wakikaririwa katika kumuelezea marehemu...
  12. K

    Wasifu wa Godbless Lema (MP)

    Hata Rizwani alipoaanza kutamba na BMW X5 mara tu baba yake alipotwa Urais kulikuwa na hadithi kama yako......
  13. K

    Kweli Marehemu Dennis Michael (R.I.P) ni mhanga wa Demokrasia?

    Kiongozi na Mwanafalsafa nguli wa itikadi ya ukombozi wa bara la Africa, Kamarade Amilcar Cabral aliamini kuwa mafanikio ya mapambano ya ukombozi yatategemea sana nidhamu binafsi (Personal Moral Behaviour), uungwana (Dignity) na uaminifu (Honesty) wa viongozi wa mapambano hayo na wafuasi wake...
  14. K

    Wasifu wa Godbless Lema (MP)

    Michelle kwa kusafisha majina ya "wanyumbani" kwa kweli nakukubali....Huyu jamaa angekuwa wa kwengine sidhani kama kungelika hapa na CV yake ya ubabaishaji Bin ujanjaujanja....
  15. K

    Chadema yashinda nafasi ya mwenyekiti wa halmashauri wilaya ya Hai

    Hivi ulivyompamba na jina lake kuwa ni KWAYU inaonyesha wazi kuwa huyu ni Mzee wa nyumbani hivyo hawezi kuwa mbaya kwa Chadema...
  16. K

    Chadema yashinda nafasi ya mwenyekiti wa halmashauri wilaya ya Hai

    Hivi umewafanya hao TLP ni mazezeta kiasi hicho wakakubaliana nawe huku wakijua mnawaangalia katika jicho la uadui? Dogo acha unanga kubali kuwa huku imekula kwenu kutokana na hulka zetu za ubinafsi na kudharau wengine. Halafu pia hii lugha yako inaonyesha nini kilichojificha ndani yako.......
  17. K

    Chadema yashinda nafasi ya mwenyekiti wa halmashauri wilaya ya Hai

    Kwa kifupi una maana huyu ni "mwenzetu"
  18. K

    Chadema yashinda nafasi ya mwenyekiti wa halmashauri wilaya ya Hai

    wewe kama mwanasheria umeonyesha wazi umahiri wako wa kumchezea sheria ili kushinda ama kulazimisha hoja yako. Isipokuwa napenda kujua kuwa kama tatizo ni mapungufu ya kisheria iweje kuamua kutumia "nguvu za umma" kama unazodai na pia kuwatupia lawama CCM kutokana na matokeo ya ujanja wenu? Ina...
  19. K

    Chadema Waishukuru Polisi

    Jibu lake ni fupi. Na pia unanena vizuri. Chadema is big shock to CUF, CCM and evene Tanzanians. Ushindi wa viti 47 umewafanya watoe kucha zao walizozificha. Lakini pia wakati CUf wanakula matunda ya siasa za chuki na vurugu, Chadema nao wanasema ni wakati wao kujitengenezea mlo. Tatizo...
  20. K

    Chadema yashinda nafasi ya mwenyekiti wa halmashauri wilaya ya Hai

    Nilisikia kuwa hata siri ya ushindi wa mwenyekiti wenu ilikuwa ni takrima aliyotembeza kwa wana CCM kuanzia katika kura za ndani za CCM hadi katika uchaguzi wa mbunge isipokuwa hakuwa tayari kumbeba mgombea urais wake....
Back
Top Bottom